Ndugu wana JF,
Matokeo ya jumla kwa maana ya kuchukua jumla ya kura ambazo kila chama kilipata katika kata zote 22 ambapo uchaguzi ulifanyika yanaonyesha kuwa CCM ilipata jumla ya kura 17968 na...
Muungano nikama Koti unaweza kulivua ukiona Joto asema Baba wa Taifa la Watu wa Zanzibar.
Lula wa Ndali Mwananzela
Toleo la 250
18 Jul 2012
TUMEFIKA mahali na wakati ambapo...
Kamanda Chagonja amedai kustushwa na kauli ya mh Mbowe kwenye vyombo vya habari kuwa anao ushahidi wa vurugu za Arusha wakati muda mfupi 2 ndio tumemuhoji kwa saa 5 na kukiri kwamba alinukuliwa...
Hawa G8 ni wasanii tupu
Anza na CHINA na USA
Huku wananchi na watoto wanauliwa ovyo, demokrasia hakuna then wanajifanya kuja TAnzania
Wananchi tuungane, vinginevyo tutazidi kuwa masikini na...
Maoni ya Rasimu ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Uhuru na haki ya mazingira safi na salama: Ibara ya 40 (2)
· Haki ya kuishi katika mazingira safi, salama na ya kiafya...
Baada ya kutokea sintofahamu katika uchaguzi wa mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Mbinga uliokuwa ufanyike leo asubuhi uchaguzi huo umehairishwa mpaka utakapotangazwa tena. Chanzo cha...
Nimemsikia WM 'akitoboa siri' ya mwaka 2010 kwa kusema 'CDM waliposhinda' kisha akajikanyaga kanyaga. Ina maana CCM haiko madarakani kihalali?
Tafakari, chukua hatua.
CHADEMA UK YAMWANDIKIA BARUA RAISI. PIA YATUMA TAARIFA KWENYE TAASISI ZA KIMATAIFA ZA KUSIMAMIA HAKI ZA BINADAMU, BBC LONDON NA BALOZI MBALI MBALI.
TAMKO RASMI CHADEMA UK
CHADEMA UK awali ya yote...
By Nova Kambota,
"the time comes when truth shall be revealed, and look everyone shall see the fact"
Probably I had predicted it correctly once I said that the time comes when Lowassa...
Na Nathaniel Limu
Mjumbe wa halmashauri kuu ya CCM (NEC) taifa manispaa ya Singida Hassan Mazala, amewahimiza wafanyabiashara wa ngazi zote kujiunga na CCM, kwa madai kuwa ni chama pekee...
Wana JF, ninaomba kuelimishwa kuhusu uwepo wa baraza KIVULI ktk bunge la Tanzania. Kila waziri husika ktk wizara fulani, hufuata hotuba/bajeti ya waziri kivuli na mipango yako. Hawa watu wana kazi...
Mambo yanayoendelea yananifanya niulize kama mkuu wetu ana nia ya kuongoza taifa au ndio keshaamua kuwa kwa vile hagombei mwakani basi anatuacha tushuhudie mazingaombwe haya. Au anajiandaa...
nimekuw nikisikiliza kauli za majukwaani na sehemu mbalimbali wanasiasa wa chadema kina mbowe,lema ,tindu lisu kuwa hawaogopi kufa wako tayari kufa kwa ajili ya kupigania haki za watz...
mi mbona...
Wana JF,
Kwa unyenyekevu ninaomba kuuliza kama tume ya kijaji ambayo CHADEMA imeahidi kuipa ushahidi wa yaliyojiri Arusha ni sawa na ile alounda Kikwete kuchunguza mauaji ya wafanyabiashara wa...
Wadau
Kesho uwenda CCM ikapata pigo kubwa wilayani mbinga kutokana na uamuzi wa kamati ya siasa mkoa kukata jina la mgombea anayekubalika kwenye uchaguzi wa mwenyekiti wa halmashauri. Uchaguzi...
Wakuu polen na majukumu ya kila siku.
Nimetafakari kwa kina juu ya kauli ya waziri mkuu mh. Pinda bungeni jana na kugundua kuwa watawala wetu wamechoka.
Kama kwa kauli yake anaweza sema...
A genuine leader is not a searcher for consensus but a molder of consensus.
pinda hapaswi kuwa na jazba bali anatakiwa kuwa na busara na kuzungumza kwa kufuata na kuzingatia sheria za nchi badala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.