Mbowe na Lema: Kweli hamuogopi kufa/kifo??

KIBE

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2010
Posts
943
Reaction score
186
nimekuw nikisikiliza kauli za majukwaani na sehemu mbalimbali wanasiasa wa chadema kina mbowe,lema ,tindu lisu kuwa hawaogopi kufa wako tayari kufa kwa ajili ya kupigania haki za watz...

mi mbona naona hii kauli nikuwadanganya watanzania waonekane ni wapiganaji wa kweli kumbe mioyo yao wamejaa uongo na ulaghahi mkubwa mbele ya wananchi.
naomba niwaulize hawa viongozi wa cdm wanaotangaza kila kukicha kuwa hawaogopi kufa .. sasa kama kweli mbona wakati bomu limerushwa wao tayari walikuwa wamekimbia??? mbona wakati polisi wanarusha mabomu ya machozi ili kuwatawanya wafuasi wa chadema mbowe na lema walikimbia na kwenda jificha hotelini na kuwaacha wananchi wanataabika kwa mabomu ya machozi..

wanasiasa wa chadema acheni uwongo wa mchana kweupe hamna nia ya zati toka mioyoni mwenu ..mmuongeacho hamkiishi hata kidogo lengo leni ni kuwaumiza na kuwaingiza wananchi kwenye matatizo.

jiangalie upya kauli zeni na matendo yenu ....
 
Ulichosema ni sahihi lakini subiri waje 'wambea' wao hapa uje uone shughuli yake,watakutukana kweli wana midomo michafu haooooo!!!
 
nimekuw nikisikiliza kauli za majukwaani na sehemu mbalimbali wanasiasa wa chadema kina mbowe,lema ,tindu lisu kuwa hawaogopi kufa wako tayari kufa kwa ajili ya kupigani haki za watz...

mi mbona naona hii kauli hii nikuwadanganya watanzania waonekane na wapiganaji wa kweli kumbe mioyo yao wamejaa uongo na ulaghahi mkubwa mbele ya wananchi.
naomba niwaulize hawa viongozi wa cdm wanaotangaza kila kukicha kuwa hawaogopi kufa .. sasa kama kweli mbona wakati bomu limerushwa wao tayari walikuwa wamekimbia??? mbona wakati polisi wanarusha mabomu ya machozi ilikuwaawanya wafuasi cha chadema mbowe na lema walikimbia na kwenda jificha hotelini na kuwaacha wananchi wanataabika kwa mabomu ya machozi..

wanasiasa wa chadema acheni uwongo wa mchana kweupe hamna nia ya zati toka mioyoni mwema ..mmuongeacha hamkiishi hata kidodo lengo leni ni kuwamumiza na kuwaingiza wananchi kwenye matatizo.

jiangalie upya kauli zeni na matende yenu ....

Hivi huwezi punguza jazba na kuandika kwa ufasaha?
 
nimekuw nikisikiliza kauli za majukwaani na sehemu mbalimbali wanasiasa wa chadema kina mbowe,lema ,tindu lisu kuwa hawaogopi kufa wako tayari kufa kwa ajili ya kupigania haki za watz...

mi mbona naona hii kauli nikuwadanganya watanzania waonekane ni wapiganaji wa kweli kumbe mioyo yao wamejaa uongo na ulaghahi mkubwa mbele ya wananchi.
naomba niwaulize hawa viongozi wa cdm wanaotangaza kila kukicha kuwa hawaogopi kufa .. sasa kama kweli mbona wakati bomu limerushwa wao tayari walikuwa wamekimbia??? mbona wakati polisi wanarusha mabomu ya machozi ili kuwatawanya wafuasi wa chadema mbowe na lema walikimbia na kwenda jificha hotelini na kuwaacha wananchi wanataabika kwa mabomu ya machozi..

wanasiasa wa chadema acheni uwongo wa mchana kweupe hamna nia ya zati toka mioyoni mwema ..mmuongeacho hamkiishi hata kidogo lengo leni ni kuwamumiza na kuwaingiza wananchi kwenye matatizo.

jiangalie upya kauli zeni na matendo yenu ....

hapo penye red tafadhali fanyia marekebisho. Lema alikimbilia kwenye banda la nguruwe eti na yeye akajifanya kuwa ni kitimoto. kuanzia hapo ndipo lema akabatizwa jina jipya la KITIMOTO
 
Unaelewaje maana ya kutokuogopa kufa? Kama wangekuwa wanaogopa, basi baada ya kukoswakoswa mara kadhaa na kupewa misukosuko isiyokwisha wangekuwa wameshaamua kukaa kimya kama watawala wanavyo taka. Au ungewaona washa jilengesha na kutangaza kujiunga na CCM.
Pale Soweto baada ya lile bomu ambalo kimsingi lilimlenga Mbowe na Lema,hawakuwaacha wahanga peke yao. Kama tulivyo ona ile video walishiriki katika uokoaji licha ya taharuki kubwa iliyokuwo pale. Penda usipende hawa ni makamanda wa kweli na ni mfano bora wa viongozi.
 
ulichosema ni sahihi lakini subiri waje 'wambea' wao hapa uje uone shughuli yake,watakutukana kweli wana midomo michafu haooooo!!!

tumewazoea machadema na matusi yao. Ila ukweli wanaupata
 
we fokojembe kweli...unawauliza hapa ili iweje.

Si ufungue website ya bunge usome namba zao uwapigie simu!

lengo ni kuwatahadhalisha watanzania ili msidanganyike na hawa wanasiasa vihiyo
 
Hivi hujui yale mabomu yanavyowasha macho eeee? Kama wangekuwa wanaogopa wasingekuwa huko Arusha hata sasa
 
nimekuw nikisikiliza kauli za majukwaani na sehemu mbalimbali wanasiasa wa chadema kina mbowe,lema ,tindu lisu kuwa hawaogopi kufa wako tayari kufa kwa ajili ya kupigania haki za watz...

mi mbona naona hii kauli nikuwadanganya watanzania waonekane ni wapiganaji wa kweli kumbe mioyo yao wamejaa uongo na ulaghahi mkubwa mbele ya wananchi.
naomba niwaulize hawa viongozi wa cdm wanaotangaza kila kukicha kuwa hawaogopi kufa .. sasa kama kweli mbona wakati bomu limerushwa wao tayari walikuwa wamekimbia??? mbona wakati polisi wanarusha mabomu ya machozi ili kuwatawanya wafuasi wa chadema mbowe na lema walikimbia na kwenda jificha hotelini na kuwaacha wananchi wanataabika kwa mabomu ya machozi..

wanasiasa wa chadema acheni uwongo wa mchana kweupe hamna nia ya zati toka mioyoni mwenu ..mmuongeacho hamkiishi hata kidogo lengo leni ni kuwaumiza na kuwaingiza wananchi kwenye matatizo.

jiangalie upya kauli zeni na matendo yenu ....

THEY ARE BRAVE BUT NOT STUPIDY. hakunaawezaye kukinga kifua chake apigwe risasi au bomu, kwenye uso huu wa dunia.
 
Mi mbona naona hii kauli nikuwadanganya watanzania waonekane ni wapiganaji wa kweli kumbe mioyo yao wamejaa uongo na ulaghahi mkubwa mbele ya wananchi.
Naomba niwaulize hawa viongozi wa cdm wanaotangaza kila kukicha kuwa hawaogopi kufa .. Sasa kama kweli mbona wakati bomu limerushwa wao tayari walikuwa wamekimbia??? Mbona wakati polisi wanarusha mabomu ya machozi ili kuwatawanya wafuasi wa chadema mbowe na lema walikimbia na kwenda jificha hotelini na kuwaacha wananchi wanataabika kwa mabomu ya machozi..

Wanasiasa wa chadema acheni uwongo wa mchana kweupe hamna nia ya zati toka mioyoni mwenu ..mmuongeacho hamkiishi hata kidogo lengo leni ni kuwaumiza na kuwaingiza wananchi kwenye matatizo.

Jiangalie upya kauli zeni na matendo yenu ....

yaani hapa tanzania hakuna wanasiasa waoga kama wa chadema. Nakumbuka siku mbowe anasafirishwa kwa ndege toka dar kwenda arusha suruali yake ililowa mbele na nyuma. Sikutegemea kama atarudia tena kamchezo haka ka kuropoka. Ila ndo maana safari hii hakukimbilia dar maana kulichofanyika toka dar hadi arusha ndani ya ndege anakijua mwenyewe
 
nimekuw nikisikiliza kauli za majukwaani na sehemu mbalimbali wanasiasa wa chadema kina mbowe,lema ,tindu lisu kuwa hawaogopi kufa wako tayari kufa kwa ajili ya kupigania haki za watz...

mi mbona naona hii kauli nikuwadanganya watanzania waonekane ni wapiganaji wa kweli kumbe mioyo yao wamejaa uongo na ulaghahi mkubwa mbele ya wananchi.
naomba niwaulize hawa viongozi wa cdm wanaotangaza kila kukicha kuwa hawaogopi kufa .. sasa kama kweli mbona wakati bomu limerushwa wao tayari walikuwa wamekimbia??? mbona wakati polisi wanarusha mabomu ya machozi ili kuwatawanya wafuasi wa chadema mbowe na lema walikimbia na kwenda jificha hotelini na kuwaacha wananchi wanataabika kwa mabomu ya machozi..

wanasiasa wa chadema acheni uwongo wa mchana kweupe hamna nia ya zati toka mioyoni mwenu ..mmuongeacho hamkiishi hata kidogo lengo leni ni kuwaumiza na kuwaingiza wananchi kwenye matatizo.

jiangalie upya kauli zeni na matendo yenu ....

Unatumia kiungo gan kufikiri?
 
THEY ARE BRAVE BUT NOT STUPIDY. hakunaawezaye kukinga kifua chake apigwe risasi au bomu, kwenye uso huu wa dunia.

naona hujamwelewa vizuri. mathalan, wakati juzi akina arfi na lissu wakipambana na polisi, mbowe na lema walikuwa wamesepa. lema aligeuka kuwa nguruwe na mbowe alijigeuza kuwa kichaa pale alipovaa kaptula iliyochanika na kukimbia nduki ili asikamatwe.
 
Katika watu waoga ni mbowe yeye ukita ujue kuwa ni muoga mtafute akiwa peke yake uwe umevaa vazi la polisi halafu mwambie uko chini ya ulizi utashuhudia kitakajotokea.
 
unajua lazima tuwe wakweli tuache siasa za uchochezi... maan wanasema hawaogopi kufa wanachochea vurugu zikianza wenyewe wanakuwa tayari wamekimbi siku nyingi wanao umia ni wananchi....

chadema mjipime upya kama kweli mnastahili kupewa nchi..kumbukeni jambo moja kuna wanachama wa vyama na wako ambao hawana vyama ambao ndio kundi kubwa la wapiga kura..matendo yenu yanaharibu mtazamo wa siasa za kweli ...

najua mtakuja tukana sana hapa kwa sababu kisu kimegonga mfupa lakini ukweli ndo huo
 
Isitoshe huyu mkuu sijui anatumia nini kufikili ninavyojua mtu unaona mabom ya machoz unabk unasimama kisa huogopi kufa huo ni upambavu
 
unajua lazima tuwe wakweli tuache siasa za uchochezi... maan wanasema hawaogopi kufa wanachochea vurugu zikianza wenyewe wanakuwa tayari wamekimbi siku nyingi wanao umia ni wananchi....

chadema mjipime upya kama kweli mnastahili kupewa nchi..kumbukeni jambo moja kuna wanachama wa vyama na wako ambao hawana vyama ambao ndio kundi kubwa la wapiga kura..matendo yenu yanaharibu mtazamo wa siasa za kweli ...

najua mtakuja tukana sana hapa kwa sababu kisu kimegonga mfupa lakini ukweli ndo huo

hakuna mwanasiasa jasiri ndani ya chadema na uchagani. fuatilia tu utanambia. ni waoga wa kukamatwa hao maana wanajua shughuli za mkong'oto wa polisi
 
hahaha! kuna mwanasiasa kihiyo kuzidi Nchemba, na yule Gradueate wa Ihemi Lukuvi?

mwanasiasa gani kati ya lema na mbowe utawalinganisha na lukuvi na nchemba? acha mapenzi mabaya wewe. utapata mimba isiyotarajiwa bure
 
Back
Top Bottom