Nchi imemshinda na Chama chake kimemshinda; aombe wawekezaji? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nchi imemshinda na Chama chake kimemshinda; aombe wawekezaji?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzee Mwanakijiji, Nov 6, 2009.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Nov 6, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,077
  Likes Received: 5,240
  Trophy Points: 280
  Mambo yanayoendelea yananifanya niulize kama mkuu wetu ana nia ya kuongoza taifa au ndio keshaamua kuwa kwa vile hagombei mwakani basi anatuacha tushuhudie mazingaombwe haya. Au anajiandaa kutafuta wawekezaji waje kusaidia CCM?
   
 2. N

  Nyauba JF-Expert Member

  #2
  Nov 6, 2009
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 1,099
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Jambo moja kubwa Mkuu amekuwa akifaidii ni kutokulaumiwaa moja kwa moja..

  Ni bahati ya pekee kuwa Baba wa familia usiyelaumiwa kwa kutowajibikaa kwa ajili ya familia yako..Natamani aina hii ya Uongozi.
   
 3. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #3
  Nov 6, 2009
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,069
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  kazidiwa nguvu na maarifa ya kuongoza hana ..so kwake kukaa kimya ndo solution ya matatizo ya chama chake na nchi..yeye alidhani kuongoza nchi ni kuonekana kwenye TV tu..it is more than that na sasa ndo analiona joto
   
 4. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #4
  Nov 6, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,077
  Likes Received: 5,240
  Trophy Points: 280
  siku moja mtasikia watu wanatwangana ngumi mbele zake! I wish he would be bold enough to summon CCM's Special Congress badala ya kutumia hivi vikamati uchwara vya kuongezeana hasira tu na machungu!
   
 5. W

  WildCard JF-Expert Member

  #5
  Nov 6, 2009
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,469
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Dhamira inamsuta sana kwa namna alivyoyatafuta MADARAKA haya.
   
 6. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #6
  Nov 6, 2009
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 12,968
  Likes Received: 890
  Trophy Points: 280
  Kuna forces zimetake shape zinabadili kabisa political landscape ya Tanzania. Mkapa alijaribu kwa nguvu kudhibiti hali kama hii na ndio maana matatizo mengi hayakujulikana mpaka alipotoka. JK kwa kuwa kimya ametoa fursa ya watu wengi zaidi kuona yanayoendelea nyuma ya pazia.Kuna vita kubwa ya maslahi binafsi ndani ya siasa za TZ.

  Ama kweli tuna shida kubwa ya uongozi maana kama haya malumbano ni ya wakuu na wasaidizi wake ndani ya serikali, sijui kazi za ujenzi wa Taifa zinafanywa kwa stahili gani!!
   
 7. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #7
  Nov 6, 2009
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,432
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Wakati ukuta uliposema Mene Mene Tekel uphrasin, alilipuuzia.

  Sasa kuna mwangwi pale Golgota unasema "Eloi, eloi lama sabachthani"!

  Nyie hamuusiki huo mwangwi?
   
 8. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #8
  Nov 6, 2009
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Why r u concerned? As a person crying for change, i would imagined u having a drink to this turmoil!! mbona hueleweki? Badala ya kubeba silaha na kumwangamiza adui akiwa chini, wewe unamwambia amka!! Muache muungwana akae kimya, acha watukanane, for in the end, it all this works to the best interests of upinzani!

  Am actually starting to like Kikwete. Maybe that's his method of bringing change...
   
 9. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #9
  Nov 6, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,077
  Likes Received: 5,240
  Trophy Points: 280
  umemwambia aende Gethsemane.. shoot! kule akienda anaweza akatoka jasho la damu!
   
 10. a

  asha ngedere Member

  #10
  Nov 6, 2009
  Joined: Nov 6, 2009
  Messages: 92
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nadhani wakae chini watafakari kama wanawatendea haki waliowapa dhamana.
   
 11. Zitto

  Zitto MP Kigoma Urban

  #11
  Nov 6, 2009
  Joined: Mar 2, 2007
  Messages: 1,193
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 135

  Labda taarifa ya kamati ya Mwinyi itakapowasilishwa kwenye NEC itaamuliwa kwenda kwenye Congress (kumbuka wana congress mwakani kwa ajili ya uteuzi wa mgobea Urais na Mwenza). Huko wamejaa wajumbe wa Lowassa ujue. Lowassa ndio mwenye CCM. Sitta ana bunge. Ingawa hana sustainability ya kulidhibiti Bunge. Nimeshangaa kusikia hata mama Mushashu spoke against wana mgambo wa ufisadi. Kamati ya Uongozi ya wabunge wa CCM is with Lowassa pia.

  Tuwaache hawa jamaa wajipasukie. Nimesema kwa sasa CCM ni threat to national security!
   
 12. a

  asha ngedere Member

  #12
  Nov 6, 2009
  Joined: Nov 6, 2009
  Messages: 92
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kaka zangu na akinamama wenzangu, Waswahili wana: Usimuudhi mchinja mbwa, wazimu utakurudia! nadhani hii ni dhambi ambayo wamekuwa wakiifanya, sasa inawasuta. ni jukumu la wananchi kujipanga vyema mwakani kwa kuwatambua wale wote waliokwenda kujinufaisha kwa kura zao na kusahau wale waliowaweka madarakani. we really need a change!!
   
 13. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #13
  Nov 6, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,077
  Likes Received: 5,240
  Trophy Points: 280
  Zitto kupasuka kunakoendelea ni uncontrolled explosion which to me pose a clear and present danger to the nation's welfare... are you guys ready to seize the moment
   
 14. Lyangalo

  Lyangalo JF-Expert Member

  #14
  Nov 6, 2009
  Joined: Sep 10, 2009
  Messages: 680
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 45
  Ni ukweli usiopingika kuwa mubwa wetu wa nchi alijiandaa kuchukua madaraka na si kuongoza. Ku prove hili ni rahisi:

  1. Angalia uteuzi wake wa watu wa kumsaidia, kama si washikaji, mashemeji, au ndugu wa karibu, basi wanamtandao. Hivyo uwezo wa kufikiria na kupanga strategy za maendeleo inakuwa kazi sana. labda uwape safari. Angalia baraza lake la kwanza la mawaziri lilivyokuwa kubwa!
  2. Jinsi alivyoingia madarakani kwa kuwachafua wengine na sasa ni zao ya kundi lake hivyo hana ubavu wa kutoka hadharani na kukemea utasikia analalamika tu kama mwananchi wa kawaida wa Manzese.
  3. Angalia anavyotoa majibu mepesi kwenye maswali magumu tena yaliyojaa mzaha
   
 15. W

  WildCard JF-Expert Member

  #15
  Nov 6, 2009
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,469
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Akina Zitto nao si WAMOJA kiivyo. Ninachokiona ni CCM kujipanga upya baada ya uchaguzi wa 2010. Vyombo vyetu vya DOLA viwaache wanyukane kwanza, kisha viuache uchaguzi wa mwakani uwe HURU na HAKI tupu itendeke au ionekane inatendeka.
   
 16. jambo1

  jambo1 JF-Expert Member

  #16
  Nov 6, 2009
  Joined: Jul 5, 2009
  Messages: 242
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mzee Mwanakijiji msaidie mheshimiwa kupata wawekezaji maana akitafuta yeye yetakuwa yaleyale ya kina RICHMOND....nchi imemshinda....!!!Tanzanian we have to do something next year otherwise we will suffer much.....!!!
  Hi to all.......
   
 17. Zitto

  Zitto MP Kigoma Urban

  #17
  Nov 6, 2009
  Joined: Mar 2, 2007
  Messages: 1,193
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 135
  U want me to be honest? Or political? Or a patriot as usual?
   
 18. Zitto

  Zitto MP Kigoma Urban

  #18
  Nov 6, 2009
  Joined: Mar 2, 2007
  Messages: 1,193
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 135
  In seizing the opportunity tu wamoja. A day after having power..........!
   
 19. Susuviri

  Susuviri JF-Expert Member

  #19
  Nov 6, 2009
  Joined: Oct 6, 2007
  Messages: 3,713
  Likes Received: 222
  Trophy Points: 160
  I think mkuu, this is somewhat an unfair question because of course Chadema has no experience in running the country and we will never know if they are ready but I think that they have at least proved to us that they have the maturity and intelligence (superior to that of CCM) to head us in the right direction. I tell u, anything is better than what we have now...
   
 20. W

  WildCard JF-Expert Member

  #20
  Nov 6, 2009
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,469
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Experience. The fool's best teacher. Hivi TANU wakati ule walitoa wapi experience wakakabidhiwa NCHI?
   
Loading...