Hatuhitaji misaada ya G8 bila haki za binadamu kuzingatiwa Tanzania

MPadmire

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,928
3,224
Hawa G8 ni wasanii tupu

Anza na CHINA na USA

Huku wananchi na watoto wanauliwa ovyo, demokrasia hakuna then wanajifanya kuja TAnzania

Wananchi tuungane, vinginevyo tutazidi kuwa masikini na kuuawa kwa faida ya ukoloni mamboleo

Haki za Binadamu na Demokrasia kwanza, misaada ya kinafiki baadae... Kwani wewe unashindwa kununua net ya Mbuu?

Haya, hizo Uranium, Gold, Tanzanite na gas wanaiba, hatuwezi kujenga barabara....

Tafakari, amka Mtanzania
 
Mauaji ya raia yameendelea licha ya ripoti za mauji ya MWangosi kuenea duniani kote.
 
Haya sasa Waziri mkuu kasema raia wapigwe, ndo haki za binadamu?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom