Sana JF hivi siasa ina kazi gani ktk maendeleo ya nchi hii zaidi ya kujenga unafiki,visa,chuki, ushirikina kupoteza fedha za wananchi za kuleta maendeleo zinazotumika kwenye propaganda? Kwani...
Zamani katika gazeti la sani waliwahi kumchora Komredi Kipepe akiwa chekesha Mafisi. Katika katuni hiyo Mzee mmoja alikuwa na Zoo ambako alikuwa akifuga wanyama mbalimbali wakiwemo fisi. Mojawapo...
Yupo kwenye kipindi cha tuzungumze asubuhi,jicho la habari anadai kwa hali jinsi ilivyo nchini kuna kila dalili kuwa kuna watu wapo kwenye system yaani mfumo wa serikali wanatumia viongozi wa...
Mkuu wa operesheni ya polisi,Paul Chagonja amesema lazima wamshuulikie Mwenyekiti wa taifa CHADEMA mh MBOWE,ili kuacha kuihusisha polisi na bomu lililorushwa kwenye mkutano wa CHADEMA.
Amesema...
RC wa Arusha Mulongo amelitaka jeshi la polisi wsiziachie pikipiki zote zilizo kamatwa siku ya mlipuko mpaka jumatano baada ya uchaguzi na kuna kundi la polisi wakiwa na SMG wanapita kwenye vituo...
Habari jf.
Kwanza lazima nieleze haya mimi ni mwana Chadema na naamini na chama ambacho kitatufikisha watanzania pale tunapotaka.
Kama mwanachama naomba viongozi wangu mnitoe kwenye hii...
Naomba kuhoji,jana Bunge lilifunga mjadala wa bajeti kuu ya serikali ambayo ilipangwa kujadiliwa siku saba 7,badala yake wakajadili siku 3 na nusu wakapitisha kwa sababu wooote walishachangia...
wakuu, wanabodi , marafiki na wanajamvi, wlala la sumu lililo kuwa the hot debate humu Jf, linalomhusu, Ben na wenzie liliishia wapi, naomba mnijuze wadau ..nimepitiwa kidogo..mambo yamekua...
Friday, June 21, 2013 Balozi Seif amuaga Sheha wa Tomondo
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akimuaga Sheha wa Shehia ya Tomondo Mohd Omar Said { Kidevu } anayekwenda...
Usiwaze nani anafaa kuingoza Tanzania siku za mbeleni bali waza nani ataikombo Tanzania kwa jinsi ilivyo sasa ukiachia mbali utajili tulokuwa nao sisi kupitia rasilima zetu wenyewe na kuibiwa na...
Kabla ya kuweka kile nilichonacho, naomba niweke wazi kuwa mimi si mwanachama wa chama chochote, si mwanasiasa na sifungamani na upande wowote kisiasa. Nitatoa ushirikiano kwa chama au itikadi...
Yawepo na haya kwenye katiba mpya bila kukosa!!
( 1 ) Raia mwema A kalala ni usiku,
Wakatokea raia D na G wanagombana karibu na nyumba yake,mpaka mmoja akamuua mwenza wake,halafu muuaji akapotea...
Ni yamkini kabisa chama cha mapindizi kina rudi nyuma tena kwa kasi ya ajabu, wanachama, makada wanakikimbia chama kwa maelfu, maeneo ambayo yalikuwa salama kwa chama cha mapinduzi usalama...
Nguvu isiyo ya kawaida ya Taifa la Marekani kuingia Tanzania inaweza kuwa na neema au kilio baadaye. Pamoja na ujio wa Rais Obama akiambatana na familia yake, George W. Bush formal president (USA)...
Hon.Dr Salim A Salim,it is high time now to resign from being an active member of a political party.You being a ccm cc member,with the current and hitherto political and social comflicts in our...
Jana na juzi tumepokea katika mitandao na barua pepe mbalimbali Tamko la Chama cha DP kuhusu bomu la Arusha, licha ya kulisoma tamko hilo, wote mliotumiwa angalieni limetumwa kwa kutumia barua...
Akizungumza kwa sauti ya unyonge ...amesema kauli ya kwamba ''msipoichagua ccm mtakufa'' ni ya kutengenezwa.
Source Voa via RFA.
majibu ya Mwigulu Nchemba katika thread hii....
by Mwigulu...
Kila siku najiuliza eti nchi îtaingia kwenye machafuko hayo machafuko ayawezi kusababishwa na raia kwa raia narudia haitatokea bali kwa askari polisi kwa kutumiwa na serikali ndio watakao leta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.