Kule Masaki
Member
- Jul 1, 2012
- 57
- 8
A genuine leader is not a searcher for consensus but a molder of consensus.
pinda hapaswi kuwa na jazba bali anatakiwa kuwa na busara na kuzungumza kwa kufuata na kuzingatia sheria za nchi badala ya kutoa matamshi ambayo si mwafaka kwa nchi inayoongozwa kwa kufuata sheria na taratibu. Hii inaweza kuhatarisha amani ya nchi kwa ujumla​