Polisi: Mh Mbowe hana credibility

Polisi: Mh Mbowe hana credibility

assadsyria3

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
6,909
Reaction score
4,057
Kamanda Chagonja amedai kustushwa na kauli ya mh Mbowe kwenye vyombo vya habari kuwa anao ushahidi wa vurugu za Arusha wakati muda mfupi 2 ndio tumemuhoji kwa saa 5 na kukiri kwamba alinukuliwa vibaya yeye hana ushahidi wowote source ch10
 
Vilevile amedai wananchi wanashida kwani viongozi km ndo hawa hawaaminiki
 
Wanataka wachukue ushahidi kwa Mbowe then wajinadi kuwa wameupata kwa juhudi kubwa.
 
Kamanda chagonja amedai kustushwa na kauli ya mh mbowe kwenye vyombo vya habari kuwa anao ushahidi wa vurugu za arusha wakati muda mfupi 2 ndio tumemuhoji kwa saa 5 na kukiri kwamba alinukuliwa vibaya yeye hana ushahidi wowote source ch10

wote tunafaham mbowe ni mlopokaki, kwa nin wanaacha akili ndogo iwaongoze cdm.
 
Kamanda chagonja amedai kustushwa na kauli ya mh mbowe kwenye vyombo vya habari kuwa anao ushahidi wa vurugu za arusha wakati muda mfupi 2 ndio tumemuhoji kwa saa 5 na kukiri kwamba alinukuliwa vibaya yeye hana ushahidi wowote source ch10

I have never heard that Police department are the one to provide credibility to politicians. Isn't not CHAGONJA who lied openly that Mwangosi was not assassinated by the Police force at Nyololo Iringa?
 
Kufoka kwa juzi na jana leo kumemuhisha,lakini mwigulu Leo jioni bungeni ameendelea kuthibitisha chadema walijilipua wenyewe.Cha ugonjwa mbona huyu savimbi hutaki ushaidi wake?

Mbona anazaidi ya miezi sita anatamka maneno hayo?
 
Kama chigonja si mnafiki kwanini hakumkamata tena Mbowe alieongea akiwa upenuni mwa polisi na chigonja akimshuhudia Kamanda mbowe? ccm mmeishiwa hoja mnatumia polisi kuvuruga utulivu akiongea ukweli
Kamanda chagonja amedai
kustushwa na kauli ya mh mbowe kwenye vyombo vya habari kuwa anao
ushahidi wa vurugu za arusha wakati muda mfupi 2 ndio tumemuhoji kwa saa
5 na kukiri kwamba alinukuliwa vibaya yeye hana ushahidi wowote source
ch10
 
ofcoz mkuu ukicma unao watakwambia ok ulete

Mimi nadhani jeshi la polisi ndo haliaminiki, hebu tumuulize Chagonja ripoti zifuatazo ziko wapi? Ili tuone kama anasifa za kuendelea kuwa kwenye tume
Mauaji ya Mwangosi,
Mauaji ya Nyamongo
Mauaji ya Arusha
Mauaji ya Songea
Kote huko alikuwa kwenye tume alileta mrejesho gani zaidi ya kutumia kodi za Watanzania kwa manufaa ninafsi? Akijibu hapa ndo amnyooshee Mbowe kidole
 
Na Polisi yake ndio ina credibility?

Police-brutality-in-Tanzania-375x248.jpg


police_brutality_1.jpg


benson-kigaiya-akiwa-chini-ya-ulinzi-wa-polisi-wa-ffu-5-huku-wengine-wakinyatia-kwa-pembeni-akiambulia-makofi-ya-mgongo-na-makalio.jpg
 
I have never heard that Police department are the one to provide credibility to politicians. Isn't not CHAGONJA who lied openly that Mwangosi was not assassinated by the Police force at Nyololo Iringa?

220px-Police-sniper_600.jpg
Wapi Mbowe, Lema &Co.?
​
 
Nashangaa uzi huu wa pro-govt unaachiwa kudumu peke yake wakati nyingine nyingi za pro-CDM mara moja huhamishwa na kupelekwa kwingine. MODS nao siku hizi Bwana!

Uzi huu ulipaswa pia kuunganishwa na zile nyingine.
 
We mwenyewe akili ndogo kajifunze kuandika na kusoma.😱
 
Kamanda hakumuelewa Bw. Mbowe; lakini nadhai mpaka muda huu ameshapata jibu ni kwa nini mazungumzo yao hayakwenda kwa style alioitegemea yeye. Wanasheria watakuwa wameshamuelewesha. Ishu ni ya kiintelijensia zaidi na hata maongezi yanapaswa yapelekwe kisheria zaidi na si vinginevo. Nadhani Bw. Mbowe ameonyesha weledi wa hali ya juu sana katika hili; ataeleweka tu wakati muafaka ukifika.
 
Nashangaa uzi huu wa pro-govt unaachiwa kudumu peke yake wakati nyingine nyingi za pro-CDM mara moja huhamishwa na kupelekwa kwingine. MODS nao siku hizi Bwana!

Uzi huu ulipaswa pia kuunganishwa na zile nyingine.

Usemayo ni kweli kabisa siku hizi MODS wanashangaza sana! Hebu jaribu kuanzisha topic isemayo 'Chagonja hana credibility' kama hujaona ikihamishwa within seconds.
 
Back
Top Bottom