Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nimekuta hii ofs ya manispaa nkaona si mbaya zikija hapa kwa uhakika zaidi.Mweny uhakika tujuze zaid.Asante WARAKA NO M/D20/CL524....... YAH.MABADILIKO YA MUUNDO WA UTUMISHI NA MADARAJA KWA...
0 Reactions
64 Replies
18K Views
Kamishna wa Operation na Mafunzo Paul A. Chagonja ukweli hafai kupewa jukumu kubwa la kusemea Jeshi la Polisi katika matukio makubwa yoyote hasa ya kisiasa kwa sababu zifuatazo; 1.0 Ana jazba...
5 Reactions
45 Replies
6K Views
habai zenu wanajamii naomba mwenye hotuba ya Prof. Shivji kuhusu rasimu ya katiba mpya iwe kwa maandishi ama yutube yake.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wale wote wanaoonea raia wasiokuwa na hatia. Kamuhanda, Mwigulu (kwa kumwagia Tesha Tindikali na kusingizia wengine, kuratibu bomu la Arusha) JK Said Mwema Lowassa n.k.
0 Reactions
1 Replies
794 Views
Naona tunatumia NGUVU nyingi sana kutaka kuiua CHADEMA kabla ya 2015; zingine zinaanza kuleta madhara kwa taifa, sasa zifuatazo ni Njia sahihi kabisa za kuimaliza CDM kifo kikuu: 1. Punguzeni...
10 Reactions
37 Replies
3K Views
Wazee wa ngangari wanachekesha sn nao eti wanapiga mkwala lazima juni 29 waandamane mnaiba kila staili ya chadema kweli nyie ni noma
0 Reactions
4 Replies
1K Views
hili lipo wazi na imethibitika lei hii bila chenga ,kweli nimeamin mbunge 1 wa CHADEMA sawa na wabunge 200 wa CCM ndani yake akiwepo MWIGULU,WASSIRA,LUKUVI,NYANGWINE,NKAMIA,PINDA,JK(baba liz)...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hii kwa wabunge wa chadema ninawaomba ifike mahala sasa waanze kuchuja baadhi ya maamuzi yanayochukuliwa au kutolewa na mwenyekiti wa chama hicho mh.freman mbowe. Kumekuwa na maamuza mengi...
2 Reactions
40 Replies
3K Views
Katika kile kinachoonekana ni muendelezo wa siasa majitaka za chadema,kuna baadhi ya vijana wa chama hicho wamekuja na kitu kinachoitwa waraka mpya kinachoonesha kupanda madaraja ya mishahara kwa...
0 Reactions
74 Replies
5K Views
Wakubwa naomba kuelimishwa nini umuhimu wa kambi ya Upinzani kwenye vikao vya Bunge..Je ni halali bunge kuendelea na vikao wakati kambi ya upinzani ikiwa haipo bungeni?\ Je ni halali kwa spika wa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimesoma thread ya meljons inayosema kuwa walimu wjiepushe na siasa za maji taka za chadem nikasikitika sana! Moyoni nikahisi walimu tumedhalilishwa! Sina shaka mtu huyu mwenye kila dalili za kuwa...
0 Reactions
0 Replies
899 Views
Bungeni wabunge wa chadema wana dhihakiwa wameenda kwenye maandamano, na wanao fanya hivyo ni wabunge wa CCM. Hali ni tete. My take; Kwanini Mbowe ana fanya wabunge wa CHADEMA waonekane...
0 Reactions
85 Replies
7K Views
Ndugu wana jf na wale wote wenye mapenzi mema na nchi hii. Napenda kutoa angalizo. Kwa kiasi kikubwa sana muungano umemomonyoka, na unazidi kuendelea kumomonyoka. Kufuatia rasimu mpya ya kaitba...
0 Reactions
1 Replies
883 Views
Katika siku za hivi karibuni, baadhi ya wanachama na viongozi wa chadema wamekuwa wakishikiliwa na polisi ama kupelekwa mahakamani kwa tuhuma za kuhusika na matukio ya kihalifu. Moja ya matukio...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Ccm 235 upinzani 35
0 Reactions
3 Replies
1K Views
BABA WA TAIFA MWL JULIUS KAMBARAGE NYERERE ANASEMA KATIKA KITABU CHAKE CHA" TUJISAHIHISHE"UKWELI UNA TABIA MOJA NZURI SANA,HAUJALI MKUBWA WALA MDOGO,HAUJALI ADUI WALA RAFIKI,KWAKE WATU WOTE NI...
2 Reactions
128 Replies
9K Views
inatia aibu kwa serikali hasa wabunge wanawake wanao dai wapewe nafasi halafu wanalitumia bunge kama sehemu ya mipasho kweli nimeamini wabunge wa CCM hakuna wa afadhari na haya ni madhara ya...
0 Reactions
0 Replies
872 Views
Imefika hatua itabidi atumie kifungu cha sheria cha 102, ili kujenga dhana ya kutiliwa shaka kwani viongozi wote wa CHADEMA sasa wamefunguliwa kesi katika maeneo mbalimbali nchini, huku wale wa...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Wana-JF! Leo ndio siku ambayo wabunge watapata fursa ya kupiga kura ya maamuzi ya bajeti kuu ya serikali, utaratibu wa kura utakuwa wa kuitwa jina na kutoa maamuzi yako kama unaunga mkono...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
ccm wanaonyesha udhaifu wa hali ya juu sana na kejeli kwa wananchi ambao wamewapa ridhaa wabunge wa chadema kwenda kuwawakilisha bungeni Ukweli ni kwamba wabunge makini awawezi kukaa na...
0 Reactions
0 Replies
890 Views
Back
Top Bottom