Update - Kesi ya Lwakatare

Update - Kesi ya Lwakatare

Candid Scope

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2010
Posts
11,897
Reaction score
6,933
[h=5]
970489_173609029475855_803492562_n.jpg

​
Wilfred Lwakatare
[/h][h=5]Wasalaam waheshimiwa Wananchi,ndugu,jamaa na marafiki.Leo asubuhi,kesi yangu imeitwa katika mahakama ya mkazi Kisutu na kusikilizwa na Hakimu Mfawidhi Aloyce Katemana.Kesi imehairishwa hadi 08/Julai/2013,ikiwa simu zangu bado ziko mikononi mwa polisi mpaka uchunguzi utakapokamilika.Pia,mshtakiwa wa pili Joseph Ludovick Rwezaula amerudishwa mahabusu mpaka atakapokamilisha nyaraka za dhamana ikiwa dhamana yake iko wazi.
Nichukue fursa hii kumshukuru kila mmoja anayeniombea na kunitakia kila lenye kheri.
Nawatakia siku njema Makamanda.
— with Mutalemwa Lwakatare and 3 others.
[/h]
 
The truth will set you free, CCM thinks CHADEMA is their size but I bet they are wrong, Watch as things unfold
 
huyu jamaa yani, he is very close to zitto, very very yaani very close!!!!!!!
 
Malizia kabisa Heaven on Earth Nape mtoto wa Mwando....... @ work
 
SHERIA ICHUKUE mkondo wake na hukumu itoke haraka huyu mtu afungwe
 
Pole kiongozi kaza buti haki yako haiko mbali.
NB
katemana sio hakimu mfawidhi ni hakimu mkazi (aidha RM1 au senior kama keshapanda kwa vile ana miaka 6 kazini sasa)
 
vijana wa chadema, msipobadilika mtakiuwa chama chenu. kwa kumkumbatia lwakatare pamoja na wahalifu wengine wanaokamatwa kama wale wa tindikali
 
Pole kiongozi kaza buti haki yako haiko mbali.
NB
katemana sio hakimu mfawidhi ni hakimu mkazi (aidha RM1 au senior kama keshapanda kwa vile ana miaka 6 kazini sasa)

pole sana denis msaki, mbaya wako ameumbuka
 
Nakupogeza kwa ujasiri wako. Namuomba Mungu wangu wa Ibrahimu azidi kukuongoza katika harakati zako za kuwapigania wanyonge wa Tanzania, amin.
UQUOTE=Candid Scope;6674235][h=5]
970489_173609029475855_803492562_n.jpg

:
​
Wilfred Lwakatare
[/h][h=5]Wasalaam waheshimiwa Wananchi,ndugu,jamaa na marafiki.Leo asubuhi,kesi yangu imeitwa katika mahakama ya mkazi Kisutu na kusikilizwa na Hakimu Mfawidhi Aloyce Katemana.Kesi imehairishwa hadi 08/Julai/2013,ikiwa simu zangu bado ziko mikononi mwa polisi mpaka uchunguzi utakapokamilika.Pia,mshtakiwa wa pili Joseph Ludovick Rwezaula amerudishwa mahabusu mpaka atakapokamilisha nyaraka za dhamana ikiwa dhamana yake iko wazi.
Nichukue fursa hii kumshukuru kila mmoja anayeniombea na kunitakia kila lenye kheri.
Nawatakia siku njema Makamanda.
— with Mutalemwa Lwakatare and 3 others.
[/h][/QUOTE]
 
vijana wa chadema, msipobadilika mtakiuwa chama chenu. kwa kumkumbatia lwakatare pamoja na wahalifu wengine wanaokamatwa kama wale wa tindikali

Mkuu unatumia ubongo wa kwako au wa nguruwe? Maana unaongea mambo vise verse
 
970489_173609029475855_803492562_n.jpg

​
Wilfred Lwakatare


Wasalaam waheshimiwa Wananchi,ndugu,jamaa na marafiki.Leo asubuhi,kesi yangu imeitwa katika mahakama ya mkazi Kisutu na kusikilizwa na Hakimu Mfawidhi Aloyce Katemana.Kesi imehairishwa hadi 08/Julai/2013,ikiwa simu zangu bado ziko mikononi mwa polisi mpaka uchunguzi utakapokamilika.Pia,mshtakiwa wa pili Joseph Ludovick Rwezaula amerudishwa mahabusu mpaka atakapokamilisha nyaraka za dhamana ikiwa dhamana yake iko wazi.
Nichukue fursa hii kumshukuru kila mmoja anayeniombea na kunitakia kila lenye kheri.
Nawatakia siku njema Makamanda.
- with Mutalemwa Lwakatare and 3 others.

Kamanda Lwaks; ukweli utashinda hila na ufisadi; you are suffering for a good and just cause; be assured you will triumph. Soldier on Mandela wetu!
 
ongea yote lakini ukweli ni kwamba, hatupaswi kumsifia mhalifu kwa vitendo vyake vya kinyama dhidi ya wananchi wenzake. huo sio ubinadamu..mwalimu nyerere alihimiza usawa na haki.

Subiri kutoa hizi kauli zako baada ya hukumu kutoka na si kabla ya hapo....kumbuka kauli "innocent until proven guilty"
 
ongea yote lakini ukweli ni kwamba, hatupaswi kumsifia mhalifu kwa vitendo vyake vya kinyama dhidi ya wananchi wenzake. huo sio ubinadamu..mwalimu nyerere alihimiza usawa na haki.[/QUOTuE]

aiseeee babayangu huna jipya nenda kachukue buku 7 yako kwa nape ha ha ha ha
 
Back
Top Bottom