CCM wana Polisi,CHADEMA mna kitu gani?

CCM wana Polisi,CHADEMA mna kitu gani?

jmushi1

Platinum Member
Joined
Nov 2, 2007
Posts
26,644
Reaction score
26,038
Tafadhali sana naomba msiseme

"Mna Mungu", maana najuwa hilo litakuwa jibu la awali kabisa. Pengine mtasema "Nguvu ya Umma",hilo ni sawa,lakini hadi usawa huu huo umma umesaidia kitu gani dhidi ya polisi? Ama mlimaanisha nguvu ya umma kwenye upigaji kura?

Huwa nasikia kuna "Brigades" kutokea vyama vyote, moja nadhani green na nyingine red kutokea CHADEMA, CHADEMA mnaweza kuangalia namna ya kuioboresha ili iendane na wakati. Je CHADEMA mna utaratibu wa kuwafundisha vijana wenu ukakamavu kama ambavyo CCM wamekuwa wakifanya? Kiukweli huu si wakati wa kulalamika ni wakati wa kuchukuwa hatua. There is no such a thing as a free freedom.

Freedom has a price, na hadi usawa huu hamjaona mambo bado. CCM hawawez kufanya haya maasi in a "full scale" terms, wanawajaribu kuona ni wapi mna guts za kufika, so wanatumia style ya uchokonozi. Mkionyesha kurudi nyuma mmekwisha.
 
Hata Afrika Kusini waliangaika sana katika kupata uhuru wao ila hatimae waliweza kuwashinda wakoloni.

Tanzania tunasema bado hatujapata uhuru kwamaana nchi imekua na manyanyaso ya kila aina, waandishi wa habari wanauliwa pasipo sababu, watu wanauliwa katika mikutano ya kisiasa(lengo ni kutaka wananchi wakichukie CDM kwa madai kwamba Chadema ni chama cha kuua watu).

Watu walioshiriki kufanya matukio hayo ya kinyama (kama vile kuwatesa vikali binadamu wenzao na hata wengine kuwatoa uhai) wanajulikana vizuri kwa majina, sura na hata mahali wanapofanyia kazi zao lakini Serekali yetu inayafumbia macho mambo haya kana kwamba hawajui lolote linaloendelea.

Ila naamini yanayowatokea Chadema ni sawa na yale yaliyowatokea wana wa Israeli walipokua wanaelekea nchi ya ahadi. Japo vizingiti ni vingi ila Chadema itavishinda kwa uweza wa Mungu.
 
Last edited by a moderator:

Let it be mkuu.

Pia naomba nikukumbushe kuwa hatuwezi kuitegemea serikali tunayoipinga,ni sawa na kutwanga maji kwenye kitu!
 
Aahaaa haa serikali hiyo hiyo ndiyo mnayoitegemea kwa ruzuku! Mabosi wenu wa mtaa wa Togo wanatesa mjini hapo kwa pesa za ruzuku; huu ukombozi mpo peke yenu viongozi wenu wanakula bata kiana!!
 
Acha upumbavu wewe!!! Serikali inapata wapi ruzuku!? Hizi ni pesa za walipa kodi na si za Serikali.
Hii Serikali dhalimu kwa jinsi inavyoichukia CDM pesa hizi zingekuwa za kwao basi CDM wasingepata hata senti moja ya ruzuku lakini hawana ubavu wa kufanya hivyo.

Bora mkoloni kuliko utawala huu wa ccm, kama sio mwanaccm kubambikiziwa kesi, kuuawa na hata kuumizwa ni kawaida! Ccm wanaamini mtanzania wa kweli ni mwana ccm na si vinginevyo, hii itafanya taifa kukosa umoja.amani na mshikamano kiujumla!
 
Acha upumbavu wewe!!! Serikali inapata wapi ruzuku!? Hizi ni pesa za walipa kodi na si za Serikali.
Hii Serikali dhalimu kwa jinsi inavyoichukia CDM pesa hizi zingekuwa za kwao basi CDM wasingepata hata senti moja ya ruzuku lakini hawana ubavu wa kufanya hivyo.
sasa mpumbavu mimi au wewe?
 
Aahaaa haa serikali hiyo hiyo ndiyo mnayoitegemea kwa ruzuku! Mabosi wenu wa mtaa wa Togo wanatesa mjini hapo kwa pesa za ruzuku; huu ukombozi mpo peke yenu viongozi wenu wanakula bata kiana!!

Kwani hiyo ruzuku ni kodi waliyokatwa wana ccm peke yao?maana ccm huwa mnajiona kama mali za taifa ni za ccm.

Serikali ya ccm nyie ni wasimamizi tu wa hayo mapato,siyo ya kwenu hayo mapato.Na ndiyo maana hadi tutakapoiweka hiyo tofauti ndo kitaeleweka,otherwise ndo maana toka niliposema ccm ina polisi,hakuna aliyeshituka!
Kama ni kweli ccm ina polisi,basi hakutakuwa na mabdiliko kama na wapinzani nao hawana counter attack.

This is the time...
 
Mkuu nakuelewa na hizo counter attack ndio mmeanza na mabomu sasa mnakataa kitu gani naona kwa dhambi ya kuuwa mliyo nayo mnawehuka mpaka hamjui mnaongea kitu gani!
 
Acha upumbavu wewe!!! Serikali inapata wapi ruzuku!? Hizi ni pesa za walipa kodi na si za Serikali.
Hii Serikali dhalimu kwa jinsi inavyoichukia CDM pesa hizi zingekuwa za kwao basi CDM wasingepata hata senti moja ya ruzuku lakini hawana ubavu wa kufanya hivyo.

Wewe ndio mpumbavu kwani hiyo ruzuku inaisaidia Chadema au nabii na circle yake?
 
Mkuu nakuelewa na hizo counter attack ndio mmeanza na mabomu sasa mnakataa kitu gani naona kwa dhambi ya kuuwa mliyo nayo mnawehuka mpaka hamjui mnaongea kitu gani!
Dhambi ya kumuuwa nani?
 
hawa watu ni mapunguani kabisa, wanadhani ni michango ya wanancha wa CCM? hakuna mtanzania asiyelipa kodo, maana iko kila mahari, kila kitu anachotumioa analipia kodi, isipokuwa hewa ya mungu tu ndio bure

Back
Top Bottom