Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

kwa tathimini ya awali kabla ya uchaguzi wa nafasi za udiwani kata za A town zilionyesha Chadema itashinda kata zote kwa 88%.. pamoja na mbembwe zote alizoonyesha Mwigulu nchemba na Mwampamba...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wana bodi naomba tuwekane sawa matokeo ya uchaguzi mdogo ya udiwani katika kata hizo mbili yaani Kata ya Iseke iliyoko jimbo la Singida mashariki jimbo la Mhe Tundu Lissu na kata ya Mnima Mtwara...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Iko wapi CCM yetu? Iko wapi ile CCM tuliyosoma katiba yake sekondari? Iko wapi CCM yetu? Ali H.Mwinyi tuambie iko wapi CCM yetu? CCM ile iliyotufanya tujisikie fahari zama zile, Tulipokuwa wajumbe...
4 Reactions
10 Replies
2K Views
Aliyekuwa mgombea udiwani CCM kata ya Iyela analalamika viongozi wa CCM wamekula milion 20 na udiwani kakosa..
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Mnamo mwaka 2003 Taasisi ya SID ilitabiri mambo kadhaa ambayo yangejiri TZ ktk kipind cha muda mfup ujao.Utabiri wao ulizingatia mazingira bashiri ya wakat huo,leo ikiwa n miaka 10 mbele karibu...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
Tume haijatuambia kinachoeleweka kuhusu kutokutangaza uchaguzi mdogo wa udiwani wa Kata moja ya Arusha (Sombetini). Hilo SIO la ajabu, ajabu ni KWETU wa-Tz. Tuko muted, kimya hakuna Hata anayehoji...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kama ijulikanavyo kua Lowassa anamiliki kiwanda cha usagishaji cha Arusha visivyo halali.Serikali inalijua hili na inalifumbia macho,mbunge na madiwani wote wanalijua hili lakini hakuna anaechukua...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Viongozi wa CHADEMA mnapaswa kuwa wabunifu zaidi katika kushughulikia kesi za mauaji zinazotokea katika mikutano yenu ys kisiasa.CHADEMA mnapaswa pia kutambua kuwa hii sasa ni vita kati yenu na...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
United States also has failed to sustain some of the previous investments it has made in Africa, allowing China to get the upper-hand. Take Tanzania as an example. In 2008, under former U.S...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Nyomi hii ndiyo iliyowatisha CCM na hasa baada ya kupata taarifa kuwa kuna wagombea diwani wawili, mabalozi 23, na wanachama zaidi ya 100 kuhamia chadema baada ya kuchukizwa na unyama uliofanywa...
7 Reactions
30 Replies
6K Views
  • Closed
Kwa kulitambua hilo ndio maana Dr Slaa pamoja na makelele ya WANACHADEMA yeye kagoma kuirudisha maana anaiogopa laana itakayomshukia kutoka kwa muumba wake. Sasa siyo wewe unabaki kupiga porojo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana-JF; Suala la wabunge wa CHADEMA kuendekeza chama chao kuliko utaifa (bungeni) kwa sasa limedhihiri. Wabunge wa CHADEMA wamekuwa wakikosa vipindi vingi vya bunge, tena kwa ujumla wao...
0 Reactions
170 Replies
12K Views
Kiwia na Wenje ni vituko kweli,mlichaguliwa na wananchi wa Mwanza na siyo Mbowe na Lema wanaowayumbisha kila kukicha.Wakati bajeti ya serikali ikipitishwa nyie mlikuwa nje mkikata kilaji,ni ajabu...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Jamani nimekuwa nikufuatilia siasa za DRC na hasa uchaguzi. Inaonekana THE FORMER REBEL LEADER MR BEMBA NI MKAIDI SANA.! KWANZA VITA YA KONGO YA WAKATI HUO IMEPELEKEA WATU ZAIDI YA MILIONI 3...
1 Reactions
22 Replies
11K Views
Endapo rasimu ya katiba mpya itapitishwa na wananchi na hivyo kuwepo kwa serikali tatu basi kitakachoiua serikali ya muungano ni rasilimali fedha! Bajeti ya Tanzania bara ni takribani trilioni 16...
4 Reactions
34 Replies
3K Views
Wana JF, Makala hii imenipa wasiwasi kama kweli CCM itakuwa tayari huu uchaguzi ufanyike. Yaliyotokea Arusha: Penye riziki hapakosi fitina - Kolamu - mwananchi.co.tz Inavyoonekana CCM kukubali...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Nimekuwa nikijiuliza maswali mengi sana juu ya ujio wa Rais wa Marekani,Leo nimepita hapa jamvini nikakuta taarifaya kuwa Serikali imewaalika viongozi wote wa nchi za umoja wa wanachama wa jumuia...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimeguswa na kupata simanzi kwa habari ya jana kwenye Gazeti la Mwananchi trh 24 Juni 2013. Kwenye safu ya ndani ya habari, uk 27, kuna picha ya mama aitwaye Neema Malisa akiwa amekaa chini...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Monday, June 24, 2013 MWENYEKITI UVCCM TAIFA  Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Sadifa Juma Hamisi (katikati) akiwa na mwenyekiti wa UVCCM kilimanjaro, Fredrick Mushi (kulia) na...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
South African Muslim Lawyers Submit Request To Arrest Obama When He Visits The Muslim Lawyers Association (MLA) in Johannesburg, South Africa has apparently had enough of President Obama. The...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom