RAIS wangu, nchi yetu siku hizi ina maajabu yake. Linapozuka jambo moja hata wakati lingine halijaisha, mara linazuka lingine. Leo nimeona ni bora nidokeze kidogo tu kuhusu nguvu kubwa...
Mpumbavu,mjinga,mpuuzi ni baadhi ya maneno ambayo Mwalimu JK Nyerere alikuwa akiyatumia kwenye hotuba zake nyingi nashangaa polisi kumkamata Sugu kisa kaandika facebook ambapo walioona hawafiki...
Kwanza, binafsi sikubaliani na jina la Tanzania bara,jina napendekeza jina la Tanganyika kwa sababu Jina la Tanzania linatokana ja muunano wa Tanganyika na Zanzibar. Hinyo kama mnapendekeza...
Ibara inayohusiana na uhuru wa kuabudu, ina utata mkubwa. Utata huu, unasababishwa na upungufu wa tafsiri. Utata huo utazua mtafaruku mkubwa baina ya makundi ya kiimani na vyombo vya dola, pale...
Daraja la Mto Malagarasi: Oktoba 2001, Juni 2011, Februari 2013 kwa hili la daraja ; Kweli CCM wamefanya kazi .Mungu amuzidishie JK .
Kwa niamba ya tutigite
1. Je, kwa Serikali kutumia nguvu kubwa kuitangazia dunia kuwa Tanzania kuna magaidi na uwepo wa vitendo vya ugaidi kwa kuwakamata na kuwafungulia kesi 'viongozi na wanachama wa Chadema' hakuna...
Pictures speak louder than words!
Wana JF pitieni hizo picha taratibu halafu mjiulize kama Tanzania kweli siyo POLICE STATE!
Part One
Part Two
Part Three
Kuna siku ushahidi kama huu...
MIEZI sita baada ya Waziri wa Uchukuzi Dk. Harisson Mwakyembe, kumteua Mhandisi Madeni Kipande, kukaimu nafasi ya Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari nchini (TPA), viongozi hao kwa sasa hawaivi...
Habari wanajamvi...!!
Nimesikia kauli ya kujichanganya ya waziri LUkuvi kuwa "Nia ya serikali kuufanya Dodoma kuwa makao makuu iko pale pale" hapa anaonyesha kuwa Dodoma bado siyo makao...
Mh. Mbilinyi ameshikiliwa na polisi kufuatia kile alichoandika kwenye ukurasa "wake" wa Facebook kuhusu Waziri mkuu, baada ya mh. Pinda kusema watu wapigwe tu. kwenye akaunti hiyo inayojulikana...
Hivi ndivyo alivyo funguka Twitter na Facebook
"Shikamoo Mbunge wa Segerea Bwana Makongoro Mahanga,imetosha sasa nadhani ni zamu yangu kuwatumikia wana-Segerea 2015 kupitia CHADEMA"
Baada ya kukamatwa kwa Mh. Joseph Mbilinyi kwa kosa la kumuita Waziri mkuu na alichokiongea (watu wapigwe na polisi) Kuwa ni upumbavu, nadhani muda Wowote tutarajie kukamatwa kwa Mh. Peter Msigwa...
Kila mara mkutano au maandamano ya CDM yalipofanyikana kukatokea vurugu hadi kusababisha vifo, Chadema ilikuwa ina respond harakasana kwa kuitisha vikao vya ndani na hatimaye kutoa matamko, makada...
Marekani imetaja sababu nne ambazo zimemfanya Rais Barrack Obama kuijumuisha Tanzania katika ziara yake ya bara la Afrika. Rais Obama amepanga kulitembelea bara la...
MAMBO MATANO MUHIMU KWA CHADEMA.
Kwa sasa CHADEMA ndicho chama kikuu cha upinzani Tanzania,ambacho kinawanyima usingizi vigogo wa CCM ambao wako kwenye "fungate" la kufurahia uhuru wa...
Wandugu wapenda mabadiliko na wapinga uonevu unaoendelea nchini Tanzania na wale wote wenye kuchukizwa na madudu yanayofanywa na "Serikali hii sikivu". Je inawezekana kuandamana na mabango yenye...
Kuna
aliyekuwa kigogo mmoja mstaafu wa polisi aliwahi kusema kuwa Lema ni
criminal, na alihusika sana na wizi wa magari na mengine mengi tu! Kwa
mwenendo anaokwenda nao wa kulazimisha watu...
Waungwana,
In the light of discoveries of vast deposits of natural gas in Tanzania and the plans to use the same for the manufacture and sale, both locally and for export, I cannot comprehend...
Mh Frederick Sumaye
WAZIRI Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye (63), amesema hatua ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuzuia wanachama wake wanaotaka kuwania urais kujitangaza mapema ina madhara zaidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.