Utabiri wa SOCIETY FOR INTERNATIONAL DEVELOPMENT(SID) SASA WATIMIA.

Biko Chavez

Member
Joined
Jun 14, 2013
Posts
38
Reaction score
6
Mnamo mwaka 2003 Taasisi ya SID ilitabiri mambo kadhaa ambayo yangejiri TZ ktk kipind cha muda mfup ujao.Utabiri wao ulizingatia mazingira bashiri ya wakat huo,leo ikiwa n miaka 10 mbele karibu 80% ya walichotabiri kimetokea.nitaanisha machache.1.Mgogoro kati ya WAKULIMA na WAFUGAJI,Mgogoro wa Kitabaka kati ya MASKINI na MATAJIRI kila moja likipigania maslah yake,Mgogoro wa RASILIMALI(rej MTWARA),Migogoro ya kisiasa (ref CDM na CCM)Uanzishwaj wa KATIBA MPYA,Mwisho SID Walitabiri wakionesha jamii ya watu walioamka na kupinga unyanyasaj,unyonyaj,ubarakala na ufisadi unaofanywa na serikali.Hitimisho nimerejea utabiri huu ili kuonesha haya yanayotokea sasa hayaji Kama mvua bali kama Taifa tulikua na muda wa kutosha kujipanga.
 
Nakumbuka kitabu chao kilichoitwa ''Tanzania bila ramani; je tutafika? mengi yalitabiliwa mkuu na ndo ya mesha tokea.
 
Mnamo mwaka 2003 Taasisi ya SID ilitabiri mambo kadhaa ambayo yangejiri TZ ktk kipind cha muda mfup ujao.Utabiri wao ulizingatia mazingira bashiri ya wakat huo,leo ikiwa n miaka 10 mbele karibu 80% ya walichotabiri kimetokea.nitaanisha machache.1.Mgogoro kati ya WAKULIMA na WAFUGAJI,Mgogoro wa Kitabaka kati ya MASKINI na MATAJIRI kila moja likipigania maslah yake,Mgogoro wa RASILIMALI(rej MTWARA),Migogoro ya kisiasa (ref CDM na CCM)Uanzishwaj wa KATIBA MPYA,Mwisho SID Walitabiri wakionesha jamii ya watu walioamka na kupinga unyanyasaj,unyonyaj,ubarakala na ufisadi unaofanywa na serikali.Hitimisho nimerejea utabiri huu ili kuonesha haya yanayotokea sasa hayaji Kama mvua bali kama Taifa tulikua na muda wa kutosha kujipanga.

Tupia ripoti yao kama unayo kamanda.. Hayo unayosema nikweli ndo yanayoendelea nchini..
 
Back
Top Bottom