Wana JF,
Mimi baada ya kutafakari kwa kina kwa ushindani uliopo na chuki inayojitokeza kati ya vyama vikuu viwili vya siasa CHADEMA na CCM nimekuja kugundua kwamba CHADEMA imeweza kufanya kazi...
EBU watanzania tuwe realistic,hivi kweli chadema ni chama kinachoweza kupewa ridhaa na wananchi ili kiunde dola?hivi kweli rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania awe padri alitoroka kazi ya Mungu...
Katika siku za hivi karibuni, Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara Mwigulu Nchemba amekuwa akitembea katika kila kona ya nchi ya Tanzania na mfuasi mwenzetu wa CCM aitwaye Tesha. Mfuasi huyu anadaiwa...
Kwanza salaam. Tangu mda mrefu kila mtu anajitahid kuonyesha waswas wake kuhusu ujio wa Obama, wengi tunajiuliza anakuja kufanya nini hasaa? Wenginre tunahoji...
Nini swali najiuliza mara nyingi. Watu wa Mtwara walikuwa wapole sana, ila nashangaa wamekuja kufanikiwa kufanya maandamano na migomo kwa mafanikio makubwa. Wachambuzi wa mambo, embu tutafakari...
KWA UFUPI
Vilevile, wamesema kuwa hawako tayari kukaa kimya huku wakiona amani na utulivu nchini ikivurugika, badala yake wataendelea kusema ili amani na utulivu viweze kurejea
Morogoro...
Ndugu zangu wanachadema,wasalaam.
Niandikapo waraka huu wapo ndugu wengi waenzetu wanaohangaika nyuma ya nondo na kwenye makarandinga kwa ajili ya kesi anuai walizofunguliwa kutokana na kujitolea...
Tendwa anatamani kuona siku inafika na anatangaza kukifutia usajili chadema. Nasema tusishangae kusikia jaribio hilo likifanyika. Tendwa keshazungumzia mara nyingi akilenga chadema jinsi gani...
Ningepata kukaa na Rais Kikwete ningekuwa
mkarimu na mpole na kisha ningeanza maswali
yangu kama ifuatavyo.
1: Ningemuuliza kuhusu MIAKA MINANE
anayotimiza akiwa madarakani na kama...
Kutokana na vitendo vya ugaidi kuendelea kukithiri ktk taifa letu la Tanzania , sasa ni dhahiri kuwa hali ya usalama wa taifa letu sio nzuri hata kidogo katika ukanda huu wa Afrika ya mashariki...
Nakumbuka miaka iliyopita nilishikwa na jazba baada ya kuona watu wenye vilema vya ngozi wakiteswa au kuuawa kwa imani za kishirikina. Huruma ilinizidi, Jazba ikachukua mkondo na kuropoka "wanaoua...
Wanajamvi,
Nisaidieni, hivi mzee kama Lukuvi kujivika uhuni kama wa akina Mwigulu, Nkamia, Serukamba, n.k., si anajiaibisha na kudhalilisha ccm ya Nyerere? Kwanini amseme hivyo mbunge mwenzake?
Habari kutoka kwa kwa chanzo kinachopga mzigo ndani ya ofisi ya Ludovick Utoh kinasema kuwa ijumaa ya wiki iliyopita kimepewa maagizo ya kuchapa barua ya malalamiko na mapendekezo kutoka kwa Utoh...
Marekani ni taifa tajiri sana duniani lenye viwanda vingi, uchumi mkubwa na demokrasia inayokubalika na wananchi wake. Nchi hii imefanikiwa kupata uchumi mkubwa kwa kuvuna rasilimali kutoka...
1. Tumeshuhudia mauaji ya kutisha ya Daudi Mwangosi kule Nyololo, Iringa, yule askari aliyemlipua Mwangosi hakushtakiwa kwa ugaidi
2. Polisi wameua watu zaidi ya 10 kule Mtwara, hao sio magaidi...
Kutokana na hali halisi inavyojionesha,ccm inakufa na chadema wanazidi kuwa maarufu na kuungwa mkono na jamii,maana ccm wanatumia mbinu nyingi kujaribu kuiodhoofisha chadema badala yake ndiyo...
Mimi ni mfadhili na mdhamini wa tawi la ccm Bereko Kondoa,Nimekerwa na Polisi kunyanyasa wananchi Arusha chini ya mwamvuli wa ccm,na pia nimetatizwa na kauli ya waziri mkuu aliposema 'WAPIGWE TU'...
Monday, June 24, 2013
Why Rwanda should talk to FDLR rebels
By EMMANUEL NTABAYE
When America, under the then President George Bush Jr romped into Afghanistan Rambo-style in its earnest desire...
Ni jambo ambalo halina ubishi kwa wale wasomaji au wafuatiliaji wa mambo ya historia. Hakuna nchi ambayo imewahi kuwa na utawala kama wa CCM na ukakubali kuondoka bila kukwaruzana na vyama vya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.