Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Taarifa za ndani na mkakati wa ccm na serikali yake ndio sababu ya kuhairishwa kwa uchaguzi wa madiwani katika jiji la Arusha uliokuwa umepangwa kufanyika tarehe 30/06/2013 na sasa kufanyika...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Dodoma. Kikao cha Kamati Kuu ya CCM, kimemalizika mjini Dodoma huku kukiwa na taarifa kuwa chama hicho kimeweka msimamo wa kutaka kuwepo kwa mfumo wa Serikali mbili katika Katiba ya Jamhuri ya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
  • Closed
Waheshimiwa wa JF Nimekuwa nikijiuliza mara kwa mara kuhusu kauli ya Mheshimiwa Joseph Mbilinyi a.k.a. Sugu kwa kumwita Mh. Mizengo Pinda, kuwa ni "Mpumbavu" jamani hata kuandika hapa najisikia...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Kufuatia Mh.Waziri Mkuu Pinda kutoa kauli bungeni kuwa watu kama hawa fuati sheria wakipigwa wasilalamike,ni heri akawaomba radhi watanzania na kuifuta kauli yake hiyo kwa sababu zifuatazo...
3 Reactions
60 Replies
5K Views
Rasimu ya Katiba Mpya inaendelea kuibua mambo na hisia mpya. Safari hii aliyevunja ukimya ni Mhadhiri mstaafu na mwanasheria maarufu nchini, Profesa Isaa Shivji. Profesa Shivji anazungumzia...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Othman Masoud, amewataka wasomi, wanasiasa na viongozi kuacha kuwatisha wananchi wanaoishi Tanzania bara kuwa watafukuzwa kama Muungano wa Tanganyika na Zanzibar...
3 Reactions
33 Replies
3K Views
Bw.Henry Kilewo akiwa na watuhumiwa wenzake wa mashtaka ya Ugaidi yanayowakabili wakati walipofikishwa Mahakama ya Hakimu mkazi mkoani Tabora kwa mara ya kwanza Wanachama wengine wa Chadema...
0 Reactions
166 Replies
19K Views
Wadau, Kweli nimejua haina haja ya maandamo kuna njia nyingi za kufanya advocacy hadi Obama ajue hali ya Tanzania Hii ni Barua ya wazi kwa raisi Obama ikimuelezea hali halisi ya waandishi wa...
13 Reactions
61 Replies
6K Views
huyu DPP anafanya jeuri ya kuangamiza watu sababu ya uzima wake, lakini kwakuwa hii ni dunia yenye kupokezana maisha na aina ya kuishi,kuna jambo ambalo litamfanya huyu DPP kuyakumbuka haya anayo...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Kuanzia juzi, bunge limepigwa na ubaridi na maeneo ya bunge yamekuwa kimya baada ya wabunge wote wa CHADEMA kutokuwepo maeneo ya bunge. Wabunge wote wa CHADEMA wapo Arusha kuomboleza pamoja na...
4 Reactions
31 Replies
3K Views
Tanzania ni miongoni mwa nchi chache sana ktk bara la Afrika kama sio duniani yenye Amani ambayo imedumu kwa takriban miaka 35 tangia kupaikana kwa Uhuru. Tangia miaka zaidi ya 20 ya utawala wa...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Nguli wa sheria afrika Prof. Issa Shivji amesema kuunda serikali tatu hapa tz ni kuvunja muungano. Amesema si wakati muafaka sasa kulumbana kuhusu idadi ya serikali bali tulumbane kuhusu maendeleo...
1 Reactions
113 Replies
9K Views
Hakika, CCM ina-wabunge ambao hawana sifa ya kuwa wabunge na wala si-wawakilishi wa wananchi. Hivi sasa wanapiga kura za kupitisha bajeti ya serikali lakini cha kushangaza, kwa kuwa wabunge wa CDM...
3 Reactions
34 Replies
6K Views
(Naomba ruksa niandike ku kiingereza ) ( Any correction is welcome, my English is poor, my Kiswahili is poor) :wink2: Full topic iko hapa ...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Mwenyekiti wa taifa wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freema Mbowe leo Ameongoza mamia ya waombolezaji katika mazishi ya Mangi GILead shangali nyumbani kwake Nkwarungo Machame...
4 Reactions
42 Replies
10K Views
  • Closed
Rais Dikteta Kagame wa Rwanda ameanza chokochoko kama zile allizofanya Dada Amini miaka ya mwishoni mwa sabini,Amini alianza kwa kurusha madongo kwa Mwalimu kama anavyofanya Dikteta Kagame,Kagame...
2 Reactions
81 Replies
7K Views
Ilikuwa ni patashika mara baada ya matokeo ya uchaguzi kuwekwa hadharani katika kata ya Mianzini mara ilipogundulika CHADEMA imeanguka vibaya sana huku CCM ikiibuka kidedea. Wananchi hawakushangaa...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
  • Closed
Napenda sana kuangalia BUNGE na nawapenda sana wapunge wanaojenga hoja wakiwa BUNGEN ila Mh;Sugu ananipaga mashaka na kauli zake kuanzia ndani ya BUNGE mpaka nje ya BUNGE mf; alishawahi kuudhuria...
5 Reactions
54 Replies
6K Views
HUKO Brazil kumeshuhudiwa maandamano ya kupinga ongezeko la nauli pamoja na madai mengine kama tunavyoyasikia na kuyasoma kwenye vyombo vya habari. Kutokana na maandamano hayo, leo tunaambiwa...
2 Reactions
38 Replies
3K Views
5.2 SYMBION POWER AFRICA LLC, TANESCO NA KUANZISHA KAMPUNI MPYA YA UMEME KUSINI MWA TANZANIA (SECO). Mheshimiwa Spika, kutokana na andiko la kinadharia ‘conceptual proposal’la kujenga mtambo wa...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Back
Top Bottom