Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ni jambo jema la kisiasa kupita maeneo mbalimbali ya nchi kueneza chama na kusema chama husika kina nini kipya kwa watanzania. Kuonesha jinsi gani CHADEMA ni mbadala wa CCM-kama chama tawala ili...
7 Reactions
12 Replies
2K Views
by JOHN BUKUKU on JUNE 24, 2013 Mtangazaji wa televisheni ya Chanel 5 EATV Joyce Kiria akiwa amewashikilia watoto wake Lingatone Kileo kulia na Lincorn wakati alipozungumza na waandishi wa...
43 Reactions
340 Replies
34K Views
Ajari zimeongezeka, watu wanakufa kama kuku, pamoja na uchache wa Polisi wa usalama barabarani waliopo wanajitahidi kufanya kazi kwa bidii hata usiku wa manane utawakuta wamo barabarani lakini...
0 Reactions
0 Replies
804 Views
JE UCHAGUZI WA KATA 4 ZA ARUSHA MJINI ZA MADIWANI ZNI TAREHE 30/6 AU KUNA MABADILIKO:llama:
0 Reactions
2 Replies
1K Views
JUN242013 Inasikitisha kuona kwamba huyu mama Joyce Kiria anaingilia mambo ya kisheria na kutaka kupotosha jamii kwamba hajui mume wake yuko wapi pia nadhani analenga kuichochea jamii...
3 Reactions
159 Replies
16K Views
Wakuu, Ni ukweli ulio wazi kwamba so far,the prime suspect on Arusha incident ni CCM!ila katika kusaidia uchunguzi huru na usio acha mashaka,hatuna budi kuangalia zaidi ya tuhuma moja.Kama...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Labda mnifahamishe wenzangu wenye uelewa! Mm nazid kuwashangaa watanzania wanaochekelea ujio wa Obama "et karibu mgen mwenyeji apone" hv tokea lin bepari akafanya kitu kwakukufaidisha mnyonge hebu...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
  • Closed
Jukwaa moja la mtandaoni (si jamiiforums) uliibuka mjadala kuwa Zitto ana mpango wa kuanzisha chama kipya cha siasa na sasa yuko Ujerumani kutafuta wafadhili. Kwenye sehemu ya majibu yake na hapa...
3 Reactions
56 Replies
4K Views
MBUNGE WA Kigoma Kaskazini, Ndugu Zitto Z. Kabwe amealikwa kuhudhuria tamasha la tisa la Aspen la mwaka huu huko Marekani. Tamasha hilo linawaleta pamoja watu mashuhuri kutoka nyanja mbalimbali...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Habari zanu wakuu, Week kama tatu hivi nimekuwa nikisoma JF na mambo mengi humo ni mpasho tuu CHADEMA VS. CCM. Watanzania wenzangu tuachane na haya mambo ya kuwaandama viongozi wanaojaribu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wanajamvi, Mh.Museven amempokea kwa mbwembwe zote Mh.U.Kenyata. ziara ya Mh.Kenyata Uganda imesemekana nia kuu ni kuhusu Port ya Mombasa. Lakini jana jioni nikaskia kupitia bbc, Mh. Kagame nae...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Dodoma. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, amewaagiza Watanzania kuwa na uzalendo wa kuwaenzi na kuwakumbuka wenzao ambao wamefanya kazi muda mrefu kwa kuthamini mchango wao. Pinda alitoa kauli hiyo...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
By Pascal Mayalla Tanzania imeshinda tuzo tatu za juu za ubunifu katika Utumishi wa Umma, barani Afrika, kufuatia Tasisi tatu za Tanzania, kushinda nafasi ya kwanza, na kukabidhiwa vikombe vya...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Waliona na Tuliona hata kwa historia fahari ya kuwa na Rais wa awamu ya kwanza Mwl Julius Kambarage Nyerere, na tukashuhudia utofauti wa mambo awamu ya Pili ya Rais Mwinyi baada ya nchi kuingia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kitendo cha Rais wa China Xi, Marekani Obama, Marekani Bush, Marekani Clinton, mwanzilishi wa Microsoft Bill Gates nchini Tanzania ukiachilia mbali maneno ya kejeli, unadhani (1) Marais wa nchi...
0 Reactions
0 Replies
805 Views
Naendelea kuwaasa wote wanasiasa uchwara wanao pigania maslai yao kuliko maslai ya watanzania masikini,WAJUE KUWA NCHI HII ni yetu sote wanaopenda siasa na wasiopenda siasa,MJARIBU KUMUANGALIA...
1 Reactions
0 Replies
848 Views
Mhe Nassor Salim Ali Jazeera wa Kisauni Mombasa Usitukane wakunga na uzazi ungalipo, iweje leo raia wa kenya anakuwa Mwakilishi wa CCM katika jimbo la rahaleo, ama kweli Tanzania katika swala la...
4 Reactions
36 Replies
7K Views
Nimekuwa nikijiuliza Tanzania imepigana nchi kibao za Africa, na zote zimekuwa na rasilimali sana kuanzia s/africa, nigeria, zimbabwe, msumbiji, Angola, Uganda, Juba, na Congo, Kongo tumekuwa na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwanza nitoe pole kwa wafiwa na majeruhi wa tukio lililotokea jumamosi kama hii ya wiki jana. Pili niwapongeze watu wa arusha kwa uvumilivu wanaoendelea kuuonyesha dhidi ya matukio ya kikatili...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Makazi ya Polisi Rombo Mkuu, Mkoa wa Kilimanjaro eneo linaloitangaza Tanzania kwa walimwengu kutokana na utalii. Inasikitisha kuona Askari polisi walivyodharaulika na kutopewa umuhimu na serikali...
3 Reactions
46 Replies
8K Views
Back
Top Bottom