CCM majanga

CCM majanga

hopaje

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2013
Posts
1,726
Reaction score
1,218
Aliyekuwa mgombea udiwani CCM kata ya Iyela analalamika viongozi wa CCM wamekula milion 20 na udiwani kakosa..
 
CCM ni waasisi wa rushwa hapa Nchini
huu ni unafiki anasema baada ya kukosa
je angepata unadhania angeropoka hivi.


Duuh CCM ni janga jamani,
 
When you Invest Take Risk kaka ,acha kulalamika, tafuta mil.20 zingine uje kuwapa 2015 sawa kaka?
 
Alikuwa anategemea kuzirudisha vipi katika miaka 2 iliyobaki. Katika Investment kuna kupata na kukosa. Imekula kwake hiyo. Mwizi mkubwa huyo
 
Aliyekuwa mgombea udiwani ccm kata ya iyela analalamika viongozi wa ccm wamekula milion 20 na udiwani kakosa..

Masikini....Pole zake diwani kakumbana na nguvu ya umma kaangukua chali....Wajanja magamba wamekula pesa yake..
 
Analalamika nini sasa huyo? Amesahau kuwa ukicheka na nyani utavuna mabua?
 
Hahahaha Magamba ni wezi mnoo! baba ya Rushwa nchini ni magamba
 
2015 toa dau kubwa ili ufilisike kabsa. Na ukileta ukaidi VIRUNNGU
 
Aliyekuwa mgombea udiwani ccm kata ya iyela analalamika viongozi wa ccm wamekula milion 20 na udiwani kakosa..
Hiyo ni kata moja....Hivi uchaguzi nchi nzima CCM watatumia shilingi ngapi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!????? Wananchi kaeni makao wa kula na kunywaa lakin kura zenu mwajua mahala pake halali.:cheer2::rockon:
 
mshike ndege tunduni, sisi wajanja tumekimbia...x2
vijana wa siku hizi wanatisha...TAFAKARI
 
Hili nalo ni jizi lilitoa za ninini inamana alikua na mpango wa kuzirudishia kwenye udiwani kwa miaka miwili kweli ma ccm ni majizi bado hazija liwa tafta zingine kesho kutwa 2015 uzitoe tena
 
Back
Top Bottom