Akizungumza na waandishi wa habari leo Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Dk.Helen Kijo-Bisimba amesema kitendo cha Waziri Mkuu Bizengo Pinda kuruhusu matumizi ya...
Ona haya ya polisi,
Wanatumiwa na watu wachache kuhujumu nchi,
Wanaamrishwa kuua raia wasio na hatia,
Wanafanya biashara haramu za bangi,
Wanabambikiza watu kesi za ajabu,
Wanakula rushwa...
WanaJF nimeipata Fb hii nikaipenda bure. Tusiwe wanachama wa kutoa pole na kudemand tu tujaribu kuunga mkono harakati za kuikomboa nchi yetu japo kwa sehemu kidogo. Kama tunavyojua hawa jamaa wana...
WAPENZI WA CHAMA
CHADEMA
CCM
Wapenzi wengi wa chama ni wananchi wa kawaida na masikini sana wanaotaka maisha yenye nafuu kidogo
Wapenzi wake wengi ni watu walioko kwenye system...
ILE meli maarufu kwa jina la Meli ya Magufuli ambayo serikali iliinasa katika eneo lake la bahari ya Hindi ikivua samaki bila ya kibali, imezama baharini, Tanzania Daima Jumatano limebaini...
Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kislamu (JUMIKI) imekusanya zaidi ya majina elfu 60 na saini zao kwa ajili ya kudai kura ya maoni ya kukataa au kuukubali Muungano.
Akitoa taarifa ya Jumuiya...
Habari wana Jf,
Huu ndio mtazamo wa ndugu Zitto kwa ufupi juu ya suala la Mtwara.
Zitto Kabwe:
Serikali iangalie upya namna inavyolitazama suala la Mtwara. Hivi sasa suala hili linaonekana...
MTUHUMIWA HUYO ALMAARUFU KWA JINA LA (CHEWAJA)ALIKUWA NI MPANGAJI KATIKA NYUMBA YA MAREHEMUNI (waliishiwote myumba moja) NI MZALIWA WA SINGIDA,MKAZI WA ARUMERU MASHARIKI,AMEKAMATWA DODOMA AKIWA...
IT IS A TIME!
Time 4 changes!
Time 4 liberation!
Time 4 revolution!
Time 4 removal of corruption!
Eradication of poverty!
Time 4 all Tanzanians to enjoy our resources!
Time 4 CHADEMA!
Time 4...
WanaJF!
Katika historia ya nchi yetu Tanzania, hatukuwahi kupata wabunge wa upinzani wajeuri kama hawa tulionao sasa!
Kwa mantiki hiyo hiyo ya ujeuri, wabunge wa CHADEMA wamekuwa wakitumia lugha...
Hivi karibuni chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kilielezea
kile ilichoeleza kuwa ni kutishwa na wimbi la mauaji yanayotishia
amani ya nchi kikidai kuwa jumla ya wanachama wake 15...
Uthibitisho wa Mhe. Lema kuhusu Pinda kuongea uongo Bungeni
Maelezo ya uthibitisho ya Mheshimiwa Godbless Jonathan Lema (mbunge) juu ya kauli ya uwongo iliyotolewa na Waziri Mkuu Mheshimiwa...
Habari za Jumapili WanaJF.
Tuko live kuwaletea yatakayozungumzwa muda si mrefu hapa Makao Makuu ya CHADEMA Mtaa wa Ufipa, Kinondoni Jijini Dar es Salaam. Ni Mkutano wa ghafla juu ya harakati...
The United States Supreme Court made two landmark decisions early Wednesday with regards to a pair of controversial laws limiting rights for same-sex couples.
With regards to the Defense of...
Kwa mara ya kwanza tangu nimfahamu mhe Msigwa, leo nimeona ameongea kwa staha na utulivu wa hali ya juu alipokuwa akiuliza swali kwa waziri wa mambo ya ndani kuhusiana na kujenga na kuboresha...
Katika kuonyesha kwamba mambo ndani ya CCM yanaenda Mrama, kumetokea Mpasuko mkubwa. Hii imetokea baada ya vyuo vitatu kujitenga na kitu kinachoitwa siasa feki.
Wakizungumza kwa nyakati tofauti...
hali ya kampeni za Arusha ndio zilishwa hitimishwa tarehe 15.. Au tutegemea kampeni za lala salama kabla ya uchaguzi.. Je na ni kweli zile tetesi za kujitoa kwa waloi kuwa wagombe udiwani wa 2...
Chinese President Xi Jinping (R) shakes hand with traditional dancers upon his arrival at Julius Nyerere International airport in Dar es Salaam, Tanzania, March 24, 2013.
Gabe Joselow | VOA |...
Habari zenu great thinkers, nimesoma makala ya dee lee mmarekani inayoitwa BLACKS DONT READ,humo kasema kua utafiti unaonyesha watu weusi hapendi kusoma vitabu na ukitaka kuficha siri za mafanikio...
Tanzania ni nchi yenye watu zaid milion 44 . Asilimia kubwa ya watu wapo vijijini, sasa uwezi amini hapo majuzi nilikwenda kumtembelea bibi yangu huko kijijini. Alikuwa akiongelea jinsi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.