Yapi ni maoni, mtizamo na mapendekezo yako?

Yapi ni maoni, mtizamo na mapendekezo yako?

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
79,386
Reaction score
169,418
Kitendo cha Rais wa China Xi, Marekani Obama, Marekani Bush, Marekani Clinton, mwanzilishi wa Microsoft Bill Gates nchini Tanzania ukiachilia mbali maneno ya kejeli, unadhani (1) Marais wa nchi jirani? (2) Rais wa nchi jirani wanatafsiri vipi ujio huo?

Wapo wanaosema tunaonekana legelege, wajinga na rahisi wa kuibiwa.
Wapo wanaosema tunaonekana kutoa siri za majirani zetu.
Wapo wanaosema uharaka wa kukutana kwa viongozi wa nchi tatu jana na leo na kumtenga Rais wetu kunaashiria jambo muhimu limetetwa hasa ikizingatiwa kuwa nchi yetu nayo imepeleka majeshi kupambana na waasi, basi inazidi kuchagiza ukali wa mambo.

Je! Uhusiano wetu upo mashakani?

Yapi ni maoni, mtizamo na mapendekezo yako?​
 
Back
Top Bottom