Mlipuko wa bomu Arusha:Opening the Pandora's box

Mlipuko wa bomu Arusha:Opening the Pandora's box

mayenga

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2009
Posts
4,118
Reaction score
1,975
Wakuu,

Ni ukweli ulio wazi kwamba so far,the prime suspect on Arusha incident ni CCM!ila katika kusaidia uchunguzi huru na usio acha mashaka,hatuna budi kuangalia zaidi ya tuhuma moja.Kama alivyosema Mkt wa Chadema taifa,suala hili linawezekana lina mambo mengi ndani yake.Hivyo basi,katika tukio hili,hatuna budi kwenda mbali zaidi na pengine kuhoji nafsi zetu,matendo na utashi wetu katika matendo ya sasa na yaliyopita.

Ningeshauri kuwa uchunguzi huu,usihusishe tu vyama viwili bali hata chama cha CUF,ambacho hivi karibuni kimekuwa kikikerwa pengine kwa udhaifu na kwa kutokujua kauli za CHADEMA,kwa kukihusiha na uliberali,pengine pia kina mkono wake kwenye hili.Yamesemwa mengi pia kuhusu chama hiki pia kuwa linked na ugaidi,katika hatua hii hili pia si la kupuuzwa,kuna uwezekano mkubwa,magaidi kwa kutumia tofauti hizi pia nao wakajiepenyeza na kufanya uovu.Zipo kauli za viongozi wa CUF ambazo pia hazipaswi kupita bila kutazamwa.

Ni maoni tu
 
Kuna ukweli katika maelezo yako mkuu. CUF nao wasiwe mbali katika uchunguzi huu.
 
yes,,good ideal....nadhani paul chagonja anatakiwa kuyafanyia kazi mawazo yako,,,,
 
Back
Top Bottom