Lokissa
JF-Expert Member
- Nov 20, 2010
- 7,444
- 2,510
Habari zanu wakuu,
Week kama tatu hivi nimekuwa nikisoma JF na mambo mengi humo ni mpasho tuu
CHADEMA VS. CCM. Watanzania wenzangu tuachane na haya mambo ya kuwaandama viongozi wanaojaribu kutetea uhai wetu kupitia rasilimali tulizonazo. Itafikia kipindi sio wewe mwana ccm au chadema tukajikuta tukilia wote.
Sasa hivi ujiulize kuna nini Tz wote Europe, USA and Asia they are coming to our country???
Nchi yetu imeshamegwa mno na sasa ndo wanaimalizia ndo maana they are keeping you busy to fight with politicians' leaders while they are looking a better way of signing hidden contracts whatever??
Look!!! Obama na wote wanao ambatana nao wamepewa angalizo kutokunywa hata maji ya Tz!
Huwezi jiuliza ivi kama hata maji mgeni wako anayekuja kukutembelea hawezi kunywa kweli wewe uko salama?
Jibu la haraka hapa ni kwamba Rais wako ameshindwa hata kumpatia mwananchi wa kawaida maji safi na salama.
Nchi yetu iko rehani tuwe makini. Tukae chini tufikiri mara mbili. Tusikubali kuuza utu wetu ambao unapelekea kuuzwa kwa nchi yetu. Tukatae tushikamane tumwondoe huyu mkoloni mweusi. Otherwise tunaangamiza vizazi vyetu vyote. Ukoloni mamboleo