Nchimbi nikisema umeshindwa lisiwe tusi

Wimbo

JF-Expert Member
Oct 23, 2012
842
589
Ajari zimeongezeka, watu wanakufa kama kuku, pamoja na uchache wa Polisi wa usalama barabarani waliopo wanajitahidi kufanya kazi kwa bidii hata usiku wa manane utawakuta wamo barabarani lakini kazi wanayofanya si usalama bali kukusanya posho watu hawajari sheria pesa imekuwa juu ya sheria zote. Hivi hili halina tiba kweli? au kuna kipande kinakuja kwako? Pamoja naudogo wa Nchi yenye zaidi ya watu Milioni 12 Rwanda licha ya kwamba vijana wao wengi wakuwa trained cpc moshi ni ajabu wamedhibiti rushwa za kishenzi kama hzi na Nchi ina adabu. sisi tunawafundisha wengine lakini sisi hatufanyi hi inakuwaje?. ukiwachekea waongozwa watakufanya kama toy. Tunakutegemea wewe ni kijana onyesha kwamba vijana tukiwapa wanaweza.
 
Back
Top Bottom