Jamani, naomba kujua...

Jamani, naomba kujua...

kutiti

Member
Joined
Jun 25, 2013
Posts
61
Reaction score
5
JE UCHAGUZI WA KATA 4 ZA ARUSHA MJINI ZA MADIWANI ZNI TAREHE 30/6 AU KUNA MABADILIKO:llama:
 
Subiri ccm wapange tarehe baada ya kukamilisha hongo za chumvi na kanga kwa KISHINDO.
 
subiri ccm wapange tarehe baada ya kukamilisha hongo za chumvi na kanga kwa kishindo.
soo kama ni hivyo cdm nao wasilale wazungukie hizo kata kuakikisha hakuna rafu yoyote inayochezwa ni mawazo yangu tu
 
Back
Top Bottom