Hii imedhihika wazi vyuo vikuu vya Iringa katika chaguzi za vyuo hivyo ikiwemo RUCO, MKWAWA na TUMAIN ambapo kuna kamtindo ka wagombea kutoka vyama tofauti kuitana katika vikao njeo ya chuo na...
Muheshimiwa rais nakuomba utumie fursa hii ya leo wakati tukiadhimisha miaka 50 jeshi letu la kujenga taifa kumueleza huyu jirani yetu "paulo kagame" aache mara moja kukutusi wewe na kuwatusi...
Ni kipindi sasa tunaona utendaji wa waziri wa afrika mashariki ukiwa chini ya kiwango. Huku mawaziri wengine wakichapakazi Kenya , Uganda na Rwanda.
Mfano rais wetu kashindwa kuhudhulia vikao vya...
Wana JF
Kila mtu ana uwezo wake wa kufikiri na kipao chake cha kupambanuwa mambo na matukio yanapojiri. Lakini katika kufanya hivo tunaweza tukasema kwamba kila mtu yuko sawa kwa ufafanuzi wake...
YANAYOTOKEA MISRI NI KIELELEZO CHA UKOMAVU WA DEMOKRASIA ? KUUWA DEMOKRSIA AU KUELEKEA KWENYE DEMOKRASIA
Na. KESSY Francis
Neno demokrasia limekuwa rahisi na jepesi sana kulitaja vinywani mwa...
Ndugu wanajf nimepkea sms kwenye simu yangu ambayo inadai eti kuna kundi la watu linamtafuta mbunge wa Arusha bwana Lema ili limuuwe.
Nikajua hii ni michezo ya wanasia kuzusha mambo kwa matakwa...
Katika kile kinachoendelea kuthibitisha udhaifu wa Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Shukuru Kawambwa ambaye Elimu ni Wizara yake ta Tano kuiongoza kutokana na kuhamishwa hamishwa kila...
Katika hali isiyokuwa ya kawaida mitandao ya kijamii hata magazeti pia, vyote vinazungumzia namna Chadema inavyohusika na swala la Ludovick anayedaiwa kuwa kada nguli wa chama, kuwa CDM...
Kuna uvumi hapa Ifakara,kuwa mwanasheria wa CHADEMA Peter Kibatara amepigwa na kuumizwa vibaya na watu wasio julikana na amelazwa hospitali. Nimepita hapa jf sijaona kitu. Je kuna ukweli wowote?
Chicken hawks ni wale wote wanaopenda vita huku wao hawajawahi kuserve frontline.
Huko,USA watu kama Dick Cheney na other neo cons wanaitwa chicken hawks kwa sababu ya war mongering(Iraq) na...
Baada ya kupata matibabu katika Hospitali ya Muhimbili,
Kamanda Nassari anarudi Arusha Jumatano baada ya matibabu kutokana na vipigo vya wasomali waliokodishwa na CCM Monduli kwa Lowassa siku ya...
Chama chochote cha upinzani; kinapo karibia kushika dola ni lazma kiwe kime wiva ndani ya sifa za mzingi sita (06). Sifa hizo ndio kama viashiria kwamba sasa Chama kimefika mahala pake na sasa...
The fourth edition of the East African Community (EAC) annual conference on Good Governance opened Monday in Rwandan capital, Kigali.
Presidents Museveni, Kenhyatta and Kagame
The two-day...
Mods naomba sana fair play.Msiiondoe hii thread.
Hii habari ni kweli na mm nipo Arusha,Na ninaiweka kwa ID yangu hii kuwahakikishia kuwa ni kweli.Naomba tuwe non-partisan kabisa kabisa kwenye...
Mdogo wangu ambaye ni Mwanafunzi wa UDOM amerudi nyumbani, na kwa sababu nilikuwa namsubiri kwa hamu kujadiriana naye juu ya kuonekana kwake kwenye vyombo vya habari (yeye na wanafunzi wenzake)...
Namtaja Mzee Mwanakijiji kwa kuwa yeye ni legend wa 'uchambuzi wa mambo ya kisiasa' katika vyombo vya habari. Wapo baadhi ya watu hapa Jf na kwenye magazeti ambao walitumia matokeo ya uchaguzi...
Habar wakuu
Naomba kuleta kwenu leo ukweli wa mvutano na visa vywa arusha kisiasa ambapo zamani lilikuwa jiji zuri sana kwa mikutano, watalii na uzuri mwingi tofauti na sasa...
KISA
Nikiwanda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.