Chicken hawks ni wale wote wanaopenda vita huku wao hawajawahi kuserve frontline.
Huko,USA watu kama Dick Cheney na other neo cons wanaitwa chicken hawks kwa sababu ya war mongering(Iraq) na hata walitaka USA iingie vita na Iran .
Tuna vijana wetu 100 wako Congo.wengi ni kutoka family duni.Wametumwa na wanasiasa .Je kuna mtoto hata mmoja wa kigogo wa serikali na chama tawala yuko huko Goma?
Na muadmire Nyerere alipoamua kumwadhibu Nduli Idd Amin,baadhi ya watoto wake walikuwa frontline.
Sasa hivi vita ikitokea na nchi jirani,lazima tuwaulize wanasiasa watoto wenu wako wapi ?