Siasa za fitina na uongo wa kusingiziana zinaendelea

Siasa za fitina na uongo wa kusingiziana zinaendelea

Simiyu Yetu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2013
Posts
18,949
Reaction score
4,645
Ndugu wanajf nimepkea sms kwenye simu yangu ambayo inadai eti kuna kundi la watu linamtafuta mbunge wa Arusha bwana Lema ili limuuwe.

Nikajua hii ni michezo ya wanasia kuzusha mambo kwa matakwa wanayojua wenyewe na sijui lengo la sms kama hizi ni nini.

Ifike mahala wanasiasa wafanye siasa safi na zenye manufaa kwa taifa siyo kupanga na kubuni uongo ambayo unajenga picha mbaya miongoni mwa jamii na wanasiasa kwa ujumla kwa hofu kwamba huenda wanawindwa kumbe yawezekana ni uzushi kitu ambacho si kizuri sana.
 
Salim Ahmed Salim ni mwarabu hafai kuwa Rais wa Tanzania. Tena bado ni mfuasi wa Hizbu na alishiriki kumuua ... Sijui hizo siasa safi unazozingumzia hapa unataka kumfundisha nani?
 
kwani kotena zilizosemekana kuwapo bandarini zikiwa na nembo ya M4C, Ambazo hazijaagizwa na cdm siyo siasa chafu? zungumzia na hilo basi!
 
Salim Ahmed Salim ni mwarabu hafai kuwa Rais wa Tanzania. Tena bado ni mfuasi wa Hizbu na alishiriki kumuua ... Sijui hizo siasa safi unazozingumzia hapa unataka kumfundisha nani?
Hizi nazo siyo siasa safi wewe unataka nini umechangia kama limbukeni sijakuelewa,make hichi ulichoandika nazo siyo siasa safi ni wanasiasa kujisahau na kuanza kuchafuana tu,sasa wewe unajibu kishabiki utadhani mimi ndiyo nilisema maneno hayo.
 
sio ya kupuuza hata kidogo, Mwakyembe alikuwa anazipokea akaripoti mpaka poliCCM, matokeo yake sote tunajua.
 
kwani kotena zilizosemekana kuwapo bandarini zikiwa na nembo ya M4C, Ambazo hazijaagizwa na cdm siyo siasa chafu? zungumzia na hilo basi!
Wewe ndiyo unalijua na umefanya vema kuliweka hapa na watu wengine wameliona shida iko wapi.
 
sio ya kupuuza hata kidogo, Mwakyembe alikuwa anazipokea akaripoti mpaka poliCCM, matokeo yake sote tunajua.
Mkuu unachosema yote yawezekana pengine tumshauli lema pia aripoti kwenye vyombo husika.
 
Join Date : 15th June 2013
Posts : 946

Rep Power : 493

Likes Received
103
Likes Given
10

Najua ukikua utaacha watu wanaumizwa kila siku wewe bado unadai UZUSHI!!!!!!Ulimboka,Kibanda na wengine wengi tu wamefanyiwa UNYAMA wala hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa.
 
Ungekuwa na akili nzuri kunabaadhi ya maswari ningekuuliza halafu tushee mawazo lakini kwa vile inaonekana unaongozwa na ushabiki kitoe na usizoee,umeshindwa hata kutoa ushauri namna ya kufanya unalalama tu kama umemwagiwa pombe mgongoni.
 
Jana Mtela Mwampamba alimwaga oil chafu hapa eti "ni kweli mgombea udiwani Erelai ajisalimisha kwa Mwigulu Nchemba , mbona ulishangilia hata ulipoletwa ushahidi wa kuthibitisha kuwa hiyo ilikuwa siasa chafu, wewe Simiyu yetu hukumkosoa gamba mwenzio?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu unachosema yote yawezekana pengine tumshauli lema pia aripoti kwenye vyombo husika.

Tatizo hao hao wanaomtafuta Lema ndiyo hao hao ambao anatakiwa kuwaripotia. Polisi wanahila za muda mrefu Mkuu juu ya Lema, kumbuka polisi wameruka ukuta wa nyumba ya Lema usiku wa manane mara mbili. Bahati nzuri kwamba Lema naye ana watu makini na intelijensia ya chadema iko vizuri.
Lengo la hawa polisi na ccm ni kumpoteza Lema kwenye siasa ya Tanzania. Wanamwona Lema kama Steve Biko
 
Back
Top Bottom