Waziri wa Africa Mashariki (EAC) Mh. Sitta jiuzuru kwa manufaa ya nchi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waziri wa Africa Mashariki (EAC) Mh. Sitta jiuzuru kwa manufaa ya nchi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by R.B, Jul 10, 2013.

 1. R.B

  R.B JF-Expert Member

  #1
  Jul 10, 2013
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 6,111
  Likes Received: 1,043
  Trophy Points: 280
  Ni kipindi sasa tunaona utendaji wa waziri wa afrika mashariki ukiwa chini ya kiwango. Huku mawaziri wengine wakichapakazi Kenya , Uganda na Rwanda.
  Mfano rais wetu kashindwa kuhudhulia vikao vya viongozi wa kanda kwa muda wa mwezi mmoja vikao viwilil.

  1. Kikao cha ushuru wa pamoja
  2. kikao cha good governace
  3. Kikao cha smart partenship siju waziri hakuwalika viongozi wa Rwanda, Burundi na Kenya
  4. Kikao cha wake wa marais ni Janeth Mseveni ndo alihudhulia, hatujawona mke wa Kenyatta, Kagame ,rais wa Burundi

  Ukisikiliza majibu ya waziri ni mepesi mfano kuhusu kikao kilichofanyika uganda alidai hakikuwa kiako cha EAC, inakuwaje asikemee hadharani kamatunavyo mshudia mh membe kuhusu swala la malawi alivyo likalia na kuliweka sawa na watu kujua msimamo wake.

  Kama yupo busy na kampeni za 2015 ni wakati muafka aachie madaraka.

  Sisi atuwezi kusarvive bila EAC na EAC haiwezi kusavive bila Tanzania.
   
 2. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #2
  Jul 10, 2013
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 12,884
  Likes Received: 1,649
  Trophy Points: 280
  Mkuu nikuunge mkono kwa asilimia mia kuhusu watu kuyahitaji hayo majibu. Sasa hivi inaonekana Jumuiya inamegeka na Tanzania ndio tunaohujumiwa lakini hatujasema chochote hadharani. Waziri wa ushirikiano wa Afrika Mashariki anatakiwa atoke hadharani na kutupatia comfort kwamba Jumuiya iko salama ama haiko salama. Haiwezekani viongozi wa nchi tatu ndani ya Jumuiya wanakutana na kufanya mikutano na kutoa maamuzi mazito ambayo yana impact kwa nchi wanachama wa Jumuiya lakini sisi tunakaa tu na kusema haukuwa mkutano wa Jumuiya. Tuambiwe ulikuwa Mkutano wa nini? Nimesikia tena kulikuwa na kikao cha Good Governance na kama kawaida Tanzania haikuwepo! Kama si kuvunja Jumuiya basi ni dharau kwa Tanzania. Ina maana Tanzania haina mchango wowote katika mikutano hiyo?

  Mh. Samwel Sitta mimi binafsi nakuheshimu na kuuheshimu mchango wako katika nchi hii na pia mchango wako mkubwa wakati unasimamia Bunge ukiwa kama Spika. Hili suala la hii mikutano kama lilivyoletwa hapa na mkuu R.B linahitaji majibu yako muafaka. Niseme neno moja kwamba kabla hujajiuzulu kama alivyopendekeza R.B mimi naomba utupatie majibu kwanza ili tuyapime.

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. Simiyu Yetu

  Simiyu Yetu JF-Expert Member

  #3
  Jul 10, 2013
  Joined: Apr 29, 2013
  Messages: 18,900
  Likes Received: 1,551
  Trophy Points: 280
  Nani kakwambia kuwa hatuwezi kuishi bils EAC huku ni kupotoka na kujidanya kwani wakati haijaundwa tuliishije,

  swala la eac linamambo mengi ndani yake wewe unfanya pupa wenzetu wamelenga ardhi yetu ndiyo maana tuliposema ardhi siyo swala la shirikisho wamenuna sana.
   
 4. Simiyu Yetu

  Simiyu Yetu JF-Expert Member

  #4
  Jul 10, 2013
  Joined: Apr 29, 2013
  Messages: 18,900
  Likes Received: 1,551
  Trophy Points: 280
  Mkuu kwani jumuiya unaitaka ya nini washirika wenyewe wamekaa kutaka kuinyonya tanzania.
   
 5. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #5
  Jul 10, 2013
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,737
  Likes Received: 2,277
  Trophy Points: 280
  JK anaona bora ushirikiano na nchi za mbali kuliko majirani hajui kuwa waasi huanzia jirani na kuingia nchini
   
 6. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #6
  Jul 10, 2013
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 12,884
  Likes Received: 1,649
  Trophy Points: 280

  Mimi wala siitaki ila watuambie tu kwamba wanajitenga na sisi tulijue hilo kwa uwazi kuliko kufanya mambo kinyemela na kutufanya kama majuha. Wote mamcho yao yalikuwa kwenye ardhi ya Tanzania walivyoona tumewashtukia na fast tracking yao wakaona hatufai.
   
 7. R.B

  R.B JF-Expert Member

  #7
  Jul 10, 2013
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 6,111
  Likes Received: 1,043
  Trophy Points: 280
  sisi hatukatai ni wakati wa waziri husika kutoa msimamo kuhusu vikao vikubwa . Bila ya tanzania kuhusishwa na vyojua mkataba ni lazima hueshimiwe.
  Mbona mwaziri wengine wanatoa msimamo kwa mambo madogo iweje yeye anakaa kimya kwa jambo kubwa kama hili au tena hiyo ni kazi ya raisi??????????????
   
 8. mayenga

  mayenga JF-Expert Member

  #8
  Jul 10, 2013
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 3,626
  Likes Received: 436
  Trophy Points: 180
  Swali la kujiuliza,kama wizara imemshinda,urais atauweza?
   
 9. hekimatele

  hekimatele JF-Expert Member

  #9
  Jul 10, 2013
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 9,503
  Likes Received: 217
  Trophy Points: 160
  Jamaa amekosa morale tangu wampige chini Uspika. Fatilia nyendo zake tangu ameupata huo Uwaziri baada ya kumiminwa na Mama House mjengoni.
  EAC imeshakosa mvuto kwa Tanzania. Jamaa wanapiga mishe mishe zao wenyewe sasa hivi KE, UG na RWANDA.
  Waziri ameshindwa kumshauri Rais wake vitu vya msingi kufanya ndani ya EAC.
  Nadhani anahisi 2015 anaweza akafanya mabadiliko sana.
  Tugange yajayo

  Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
   
 10. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #10
  Jul 10, 2013
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,056
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Sitta yupo busy anafanya kampeni zake za urais atashughulika na Jumuiya ya EA.

  Chezea urais wewe.

  Ni bora angekaa chonjo kama Lowassa afanye yake.
   
Loading...