Peter Kibatara vp?

Peter Kibatara vp?

Ziroseventytwo

Platinum Member
Joined
Mar 27, 2011
Posts
9,504
Reaction score
18,068
Kuna uvumi hapa Ifakara,kuwa mwanasheria wa CHADEMA Peter Kibatara amepigwa na kuumizwa vibaya na watu wasio julikana na amelazwa hospitali. Nimepita hapa jf sijaona kitu. Je kuna ukweli wowote?
 
Mkuu hebu kuja na taarifa iliyokamilika tafadhali
 
Kuna uvumi hapa Ifakara,kuwa mwanasheria wa CHADEMA Peter Kibatara amepigwa na kuumizwa vibaya na watu wasio julikana na amelazwa hospitali. Nimepita hapa jf sijaona kitu. Je kuna ukweli wowote?

Hizi habari sio sahihi na zimesambaa sana.Nimeongea na Wakili Mahiri Peter Kibatala na yupo salama kabisa.Atatoa statement maana uzushi huu umesambaa sana.
 
Duh! Halleluyah! Shukrani kwa taarifa Mkuu. Maana bila kuzungungusha akili nilijua tu pengine Wakili wetu mpendwa na mahiri ameangukia kwenye mitego ya uovu ya watesi, yaani wale majibrili wanaouwa kwa staili ya kuwatoa watu kucha na macho bila ganzi na kuponda watu mataya.
 
Hizi habari sio sahihi na zimesambaa sana.Nimeongea na Wakili Mahiri Peter Kibatala na yupo salama kabisa.Atatoa statement maana uzushi huu umesambaa sana.

Nakushukuru kwa kuliweka hili sawa. Ahsante kwa taarifa pia.
 
Hizi habari sio sahihi na zimesambaa sana.Nimeongea na Wakili Mahiri Peter Kibatala na yupo salama kabisa.Atatoa statement maana uzushi huu umesambaa sana.

Mkuu Lengo la huo uzushi ni nini?

CCM wanamikono iliyojaa damu, na inawezekana yupo kwenye mpango wa kudhuriwa na ccm, sasa ukute aliyetoa huo uzushi alipewa kazi ya kumdhuru afu akaja na ndoto zake kama vile alishatekeleza kazi
 
Yupo mahakama kuu now kwenye majukumu yake ya kisheria,huu ni uzushi na kwa maelezo zaidi na yake mwenyewe mcheki kwa wall yake facebook katoa tamko!!
 
Back
Top Bottom