WanaJF!
Dhana hii ya kuwajibika na kuwajibishwa imekuwa ikielekezwa upande mmoja tu, nako ni CCM na serikali yake. Tena mara kwa mara mashinikizo yamekuwa yakitokea CHADEMA, kuwa serikali...
Hatimaye Majeshi ya Misri yameonyesha njia tena..this time around wamemwamia rais aliyeingia na kuanza leta udini, na upendeleo ktk kuteua watu ktk nafasi mbalimbali kwa kuangalia vipaumbele vya...
Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa, akipongezwa na kiongozi wa Sunni al Jamaa Afrika Mashariki, Shariff Hussein al Badawi kwa kumvika joho la kilemba baada ya kufanikisha harambee kwa ajili ya...
RAIS JK alipoingia madarakani aliitaka UVCCM kujipanga ili kujitegemea na aliahidi kuisaidia jumuiya hiyo ahadi ambayo inakamilika.
Hauwezi kuzungumzia UVCCM bila kumtaja MARTINE REUBEN...
Habari Makamanda! Maazimio ya Kamati Kuu ya CHADEMA iliyokutana kwa siku mbili tarehe 06-07/07/2013 pale Hotel ya Blue Pearl Ubungo Plaza kutolewa leo. M/kiti wa Taifa atazungumza na Waandishi wa...
Katibu mkuu mstaafu wa CCM Yusuph Makamba amewaasa waislamu kusomesha watoto elimu akhera na Dunia, ili waweze kuajiriwa na serikali ktk nafasi mbalimbali.
Amesema kuwa anashangaa Waislamu...
Mbunge wa Arusha mjin anatarajwa kuitiksa mbeya 20/07/13 pamoja na wananch wa Mbeya kwa kuwashukuru wananch wa Kata ya Iyela kwa kumpgia kura diwan wao na kulnda
WAZIRI mkuu wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mizengo Pinda ambae ni mlezi wa chama cha mapinduzi (CCM) mkoa wa Iringa jioni ya leo amewasili mkoani Iringa na kufika nyumbani kwa...
Kama kuna mwanasiasa ambaye anaweza kuisaidia sana CHADEMA kumthibiti Lowassa katika mbio zake za kuelekea Ikulu kama atapata ridhaa ya CCM ya kuwawakilisha katika Urais 2015 basi ni Mh Nape...
Nitakuwa sijawatendea mema watanzania wenzangu wa leo na kesho. kwani kila kitu kipo wazi kuwa lowasa ni vema akastaafu siasa na aachane na mipango ya urais kwani tunamfahamu kuwa hana sifa ya...
Pro Ibrahim Lipumba amesema kwamba vyombo vya ulinzi na usalama vinaipeleka nchi kubaya kwa kuwanyanyasa wananchi. Ameonya kuwa wasipoangalia itawafanya wananchi kutafuta njia za kujihami kutokana...
Rais Jakaya Kikwete jana alipuliza kipenga kuzindua Tamasha la Matumaini Dar es Salaam na kuwanyooshea kidole viongozi wa dini wanaohubiri siasa katika maeneo ya ibada akisema kufanya hivyo ni...
Hii nchi haina tena wazee wanaoweza kukaripia viongozi wa sasa kwa yanayoendelea? Hakuna aliyebaki na walau chembe ya ujasiri wa Mwl Nyerere? Tusubiri muujiza wa Mwl Nyerere kufufuka ili atoe...
Kila mtu anafahamu ubabe wa mtu huyu na jinsi anavyopenda sifa na kujulikana kwa kila anachokifanya. Kinyume na hapo safari hii ujio wa Bush hapa nchini umekuwa wa kimyakimya sana huku ukijaribu...
Katika Hukumu ya dakika 7, Mahakama ya Hakimu Mkazi, Tabora, imetoa uamuzi juu ya hoja za upande wa utetezi na kesi yenyewe, ambapo Hakimu Mkuu Mkazi kaamua kuwa, mahakama hiyo haina uwezo wa...
Obama's Toast at State Dinner in Tanzania
President Kikwete, Madam First Lady, distinguished guests -- on behalf of myself and Michelle, our delegation, our daughters -- we want to thank you for...
Hakuna chama kilichowahi na kitakachokuwa makini kama chama cha demokrasia na maendeleo.Chama hiki kimekumbwa na propaganda zisizo na kichwa wala miguu kutoka ccm,lakini bado kipo imara na...
Nape,
Juzi sikushangaa kabisa kutokukuona pale mwanza wakati Mh. Lowassa akichangisha harambee kwa ajiri ya machinga'z wa pale makoroboi. siku hiyo walikuwa na Mwigilu bosi wako tena akimpigia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.