Katika mahojiano na mtangazaji wa BBC leo jioni msemaji wa jeshi la polisi afande Advera Senso amesisitiza kuwa ni kosa kisheria kwa chama cha siasa kuunda jeshi kwa ajili ya kujihakikishia...
Ndani ya ccm kuna mnyukano mkali kati ya makundi makuu matatu yalionania ya kumweka mgombea wao katika mbio za urais aweze kushinda moja kundi la kaskazini pili kundi la kusini tatu kanda ya...
Katika taarifa ya habari ITV saa 2, Nimesikia Dr. Shein kuwa amevipa vyombo vinavyohusika na udhibiti wa vyakula nguvu za kuwachukulia hatua wale wote watakao wauzia Waislam katika mwezi huu...
Mimi Binafsi kwa muda mrefu nimekuwa nikiamini kwamba DR SLAA ndiye aliyeshinda uchaguzi mkuu wa mwaka 2010, na mara zote nimekuwa napinga kwa nguvu nyingi sana matokeo ya uchaguzi huo hasa katika...
Dalili zimeshaanza na maswali yamekuwa mengi kwa wapiga kura hapo tarehe 30.
Wengine wakiaanza kuamini propaganda za CCM kuwa CHADEMA hipo nyuma ya mlipuko wa Bomu
1. Hii ni kutokana na...
Katika uhai wake wote kama chama cha siasa, CCM imekuwa na nguzo kuu tatu kama ifuatavyo:
1)Muungano;
2)Azimio La Arusha;
3)Amani na Utulivu;
Nikianza na nguzo namba mbili (azimio la arusha)...
(1) kutakuwa na bunge la jamhuri ya muungano,
(2)wajumbe WA bunge watakuwa WA aina zifuatazo:
a)wabunge waliochaguliwa kuwakilisha majimbo ya uchaguzi
b)wabunge watano watakaoteuliwa na raisi...
Majeruhi wote wa bomu na risasi za Mwingulu Nchemba (Kutoka kiwanda moja cha serikali ya China) lililorushwa kwenye uwanja wa soweto jijini Arusha siku ya tarehe 15.06.2013 siku ya kufunga kampeni...
Kutumia vijana hasahasa wanasiasa katika siasa na nyie kuwaacha watoto wenu vijana majumbani ni kukosa utu na kujipenda wenyewe bila kupenda wananchi. naandika haya baada ya kusikia kauli za...
The Maasai further seek President Obama's intervention in Loliondo land dispute. The longstanding conflict over grazing land in the Loliondo area has taken a new twist, as Maasai elders are now...
Dowans wameshinda kesi ya Kimataifa , fedha wanalipwa, mitambo walioisema chakavu imeuzwa na ndiyo inatumika mpaka leo.
Hawa wameisababishia taifa hasara kubwa sana. Kama serikali ingenunua hii...
Chama Cha Mapinduzi kimedhihirisha mikakati yake haramu ya kuhakikisha katiba mpya itabeba MATAKWA yote ya NEC.. Jioni ya leo kuanzia saa 9-11 jioni kulikuwa na kikao kikuu cha wilaya/halmashauri...
By U Tejonmayam - CHENNAI
Fifty-nine-year-old Mohamed Omar from Zanzibar, a victim of acid attack, had lost all hope of living after developing an infection in his wounds and suffering...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na Chama cha Wananchi (CUF) vimewasilisha maoni kwa tume ya Mabadiliko ya Katiba vikitaka madaraka ya Rais yadhibitiwe pamoja na kutaka Muungano wa...
9th July 2013
Katika kauli inayoekelea kumlenga mtangulizi wake katika Ikulu ya Zanzibar, Rais Ali Mohamed Shein, amesema hawezi kumzunguka Rais wa Jamhuri ya Muungano, Jakaya Kikwete...
More than one in four people around the world have paid a bribe in the past year, according to a new survey.
HONG KONG (CNNMoney)
Have you recently paid a bribe to a local politician, judge or...
WaNdugu...
Tukiacha tofauti zetu za kisiasa hii hatua iliyofikiwa na Rwanda ya kukosa uvumilivu tena kwenye suala la Amani na wala sio la shari KUMTISHIA mhe. Rais wa JMT, ndugu Kikwete...
Ni Muda sasa nimekuwa nikiziangalia hizi asasi zetu kwa jicho la tatu. Je ni sahihi kwa kila asasi au mdau kutoa tafsiri yake ya katiba? kama jibu ni sawa ni nani anawajibika ikiwa kutatokea...
Mheshimiwa spika naomba kumuuliza swali waziri wa uchukuzi kama ifuatavyo
1. Je mheshimiwa waziri ni kwanini taasisi zake zote zilizo chini yake kama huduma za reli, meli bandari na Kampuni ya...
Ndiyo wakuu, heshima kwenu !
Awali ya yote, nitaanza na nukuu toka kwa Mwl Nyerere Octoba 22,1987 wakati alipokuwa akihutubia mkutano mkuu wa CCM alisema " LAKINI...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.