Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

​ Ndugu zangu wakati nafikiri kuandika post hii nilishindwa kupata heading nzuri mana kila nilicho taka kuandika ndio sifa harisi ya CCM na kila mtu anaijua mfano CCM NI MAFISADI jambo hili...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MAAMUZI YA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CHAMA KILICHOFANYIKA TAREHE 06-07/07/2013 KATIKA HOTEL YA BLUE PEARL, DAR ES SALAAM. Kamati...
32 Reactions
422 Replies
29K Views
Mkurugenzi wa chadema Benson Kigaila amesema hawatarudi nyuma ktk suala la kuanzisha kikosi cha ulinzi red brigedi.. Amesema mapambana dhidhi ya ccm yameanza na watapambana kwa kila aina, kuanzia...
6 Reactions
51 Replies
6K Views
Maisha ya jamii kuanzia mtu binafsi yanahitaji mtaji wa afya kiakili, kiroho/kifikra na kimwili. Huwezi kudeliver 100% kama mwili wako ni goigoi. Hata kwenye michezo kuna kitu kinaitwa 'physic'...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Niukweli uliowazi kuwa ccm haikotayari kutoka madarakani kwa kura peke yake. Ukweli huu umedhihirika zaidi ya mara moja kwa matukio ya kushambulia watu na vyama vilivyokuwa mstari wa mbele...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Tuna mambo ya msingi sana kwa mustakabali wa nchi yetu na watanzania kwa ujumla ambayo tunapaswa kuyajadili lakini tatizo naliona kuna watu kazi yao kukwepesha hoja za msingi kwa watanzania badala...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Did you know that a nation's decay occurs in nine cycles, analyze and see in which cycle Tanzania is, then don’t be surprised with what is happening; 1. People go from bondage to spiritual faith...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
WaTanganyika wote wapenda amani. Tangu Mwigulu abebwe na kuwekwa katika cheo chake ndani ya chama chake cha ccmafisadi. Kumetokea matukio mengi sana, za ajabu na za kigaidi dhidi ya raia bila...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
MSIMAMO WA CHADEMA KUHUSU UCHAGUZI Ujumbe wa CHADEMA ulikushukuru kwa kikao chenye lengo la kuwezesha uchaguzi wa HAKI na USAWA, Hata hivyo ulisikitishwa na ofisi yako kuahirisha uchaguzi...
6 Reactions
46 Replies
5K Views
Hakuna ubishi kuwa Nyerere alijgundua tofauti kubwa sana kati ya Mkapa na Kikwete mnamo mwaka 1995 kipindi cha kumpitisha kwenye halmashauri kuu ya ccm(NEC) kwa ajili ya kugombeaa urais, Nyerere...
16 Reactions
101 Replies
12K Views
Wakati ambapo ni dhahiri CHADEMA kimedhamiria kuharibu amani na utulivu, ambavyotumekuwa tukijivunia tangu historia ya nchi hii na kupigiwa mfano kwa nchi jirani, chama cha mapinduzi (CCM)...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Hivi sasa mbunge wa viti maalum mkoa wa mbeya Dr Mary Mwanjelwa anapita katika kata za jiji la mbeya anafanya vikao vya ndani na wanaccm eti kusikiliza kero za wananchi na pia kuwapa taarifa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ndugu zangu, Utotoni mbali ya michezo mingine kuna tuliopenda kucheza ‘ Mchezo wa vita’. Kadri miaka ilivyoenda na umri kuongezeka kuna tulioelewa maana ya vita. Binafsi nimeishi kumsikia...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Siasa ni teknolojia ya ajabu sana maana sasa hivi kila mtu anaijua sana japo haimsaidii kitu zaidi ya kummaliza kimaisha hasa kiuchumi. Dude hili Siasa ni baya sana kwa sababu linazo rangi nyingi...
4 Reactions
26 Replies
3K Views
MARTINE SHIGELA KATIBU MKUU WA UVCCM AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI makao makuu ya UVCCM DSM LEO TAR 12/07/2013 AMEZUNGUMZIA MAMBO MATATU YA MSINGI 1.kuanzishwa kwa REDBRIGED ya chadema...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Kuna watu walikuwa wakiilaumu CHADEMA kwamba haishirikiani na Wapinzani wengine. Hivi Mpinzani mwingine ni nani?? Maalim Seif alishalipwa mafao yake yuko Kimya sasa. Lipumba wenyewe tumemsikia...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
  • Closed
Askofu Emmanuel Lazaro wa T.A.G anayehutubia mkutano mkubwa mjini Arusha amebashiri kuwa nchi moja ya jirani itaivamia na kuitwanga Tanzania. Askofu huyo akaitaja kabisa Rwanda na kudai kuwa TZ...
3 Reactions
121 Replies
19K Views
WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa mdahalo wa wazi ulioandaliwa na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Barua ya Rais wa Iran kwa Bush! Agence France Presse -- English May 9, 2006 Tuesday 4:47 PM GMT HEADLINE: Text of Ahmadinejad's letter to Bush DATELINE: WASHINGTON, May 9 2006 Iran's...
1 Reactions
51 Replies
13K Views
Back
Top Bottom