​
Ndugu zangu wakati nafikiri kuandika post hii nilishindwa kupata heading nzuri mana kila nilicho taka kuandika ndio sifa harisi ya CCM na kila mtu anaijua mfano CCM NI MAFISADI jambo hili liko wako wazi na kila mtu anajua, CCM NI MAJAMBAZI inajulikana, CCM WANAKANDAMIZA WANACHI pia kila mtu anajua hilo hata nilipo amua kuandika heading SERIKALI YA CCM NI WEZI NA KATILI pia kila mtu anajua hilo lakini naomba isome hii na tusaidiane.
Siku zilizo pita nilikuwa nafuatilia Leseni ya biashara lakini mambo niliyo kutana nayo kwakweli yaliniskitisha sana mana serikali haina mpango wa kuwasaidia wafanyabiashara wadogo na wasio na mtaji wa kutosha.
Malipo ya Leseni ya biashara kulipa kwa mwaka ni shilingi laki moja (100,000) ambayo unailipa TRA, swali ni kwamba naitoa wapi laki moja kwa mwaka mtaji wangu ni mdogo biashara changa, mtaji ni wa mkopo tenawa liba, na nikijana nilie amua kujiajiri baada ya serikali ya CCM kushindwa kuweka vizuri mipango ya ajira rasmi kwa vijana tunao maliza elimu zetu ( Elimu ya juu).
Lakini kodi hizo haziishii TRA tu bado unapoenda kuchukua leseni kwa afisa biashara wa wilaya unatakutana na tozo ya shilingi hamsini elfu (50,000) ambayo unatakiwa uilipe kwa mkupuo bila ya kujali umeingiza nni kwenye biashara unayo ianza ambayo hata kijimtaji chenyewe ni cha mkopo. Hivi sera ya serikali ya kutaka vijana wajiajili inasemaje munisaidie uenda mimi sijaisoma vizuri.
Napenda pia kujua hivi mapato yayo tozwa na TRA ni ya nchi gani na matumizi yake ni yapi?, pia yanaingia katika mfuko upi? na mapato ya kodi tunayo toa kwa afisa biashara wa halmashauli ni ya nchi ipi na matumizi yake ni yapi? na yanaingia katika mfuko upi?, kwanini serikali isiseme kodi kwa mfanyabiashara mdogo ni shiringi laki moja na hamsini (150,000) ili watanzania wajue kuwa selikari hii ni kandamizi na haiwatakii mema wananchi wake.
Tunapo ongea haya vijana wa CCM watakuja na utetezi kuwa mapato ya TRA yanaingi selikali kuu na mapato tunayo toa kwa afisa biashara yaenda katiaka mfuko wa halmashauli uongo mtupu mana effect zake hatuzioni katiaka halmashauli zetu ni aibu tupu barabara vumbi ya kutosha kwa ujumla majukumu mengi ambayo halmashauri ilitakiwa kutimiza imeshindwa ila ni bingwa wa kukusanya kodi ( case study MBEYA VIJIJINI NILIPO)
KULIPA KODI NI KUONYESHA UZALENDO, watanzania tunaipenda sana nchi yetu na niwazalendo sasa kwa serikali hii ambayo haituvutiii kufanya hivo je inataka tushindwe kulipa kodi ili tuonekane sisi sio wazalendo na badala yake wao wanao panga viwango hivi vya kodi na watoto wao wanaweza kulipa kodi hizo wakiwa na lengo la baadaye kujivisha mataji ya uzalendo wao peke yao, watanzania hatuwezi kukubali upuuzi wa aina hii mana na sisi tuna ubongo kama wao na inawezekana ubongo wetu ni bora sana kuliko ubongo wao usio ona mbali.
Vijana ndio taifa la jana, leo na kesho na ndio wanatakiwa kuendeleza taifa hili hivi hawa wezi wa nguvu na mali zetu kwa kutumia mkono wa kushoto CCM ni kweli wanashindwa kukjua mahitaji halisi ya watanzania wa chini hii wanao taka kujiajiri, hivi vijana wanao unga mkono ccm wao wanapata nafuu ya karaha hizi na hivyo hawazioni na ndo mana wana shabikia na kuunga mkono ccm (uchumi na maendeleo ya kweli yana letwa na siasa safi na yenye mtazamo chanya).
Vijana na wanachama wengi waliopo CCM wanazipenda sana nafsi zao na ndo ndo mana wamesahau kupigania maslahi ya kundi kubwa la watanzania, vijana muliopo CCM amkeni na mupiganiae ukweli na si munakubali kila upuuzi unao fanywa na serikali ya chama chenu, vijana mutapigania mpaka lini maslahi yenu binafsi, maslahi ya wajomba, mashangazi , akinamama zenu, maslahi ya familia zenu kisa tu moja kati ya ndugu yenu munaye mtegemea yupo CCM ko unaona ukiongea ukweli eidha wewe mwenyewe utakosa maslahi au huta saidiwa na mtu unaye mtegemea ambaye yupo na nikiongozi ya CCM, ACHENI UNAFIKI, UONGO, KUJIPENDEKEZA NA KUJIPENDA NAFSI ZENU.
Hivi halmashauli kuu ya chama cha mapinduzi ambayo pia inaweza kuwa mshauri mkuu wa viongozi wake wa kiserikali hawani tija ya kuwashauri wabunge wao, mawaziri wao, makatibu wakuu wao na wengine wengi ambao wana sababisha haya yanayo tukumba sisi wananchi wa kipato cha chini, hivi wanashindwa kuwashauri viongozi wao kukusanya kodi kubwa kwa wafanya biashara wakubwa, wanao tuachia mashimo baada ya kuondoka na almasi na dhahabu, wanao pewa vitalu na badala ya kutaka kudili na mimi mjasi mdogo mwenye mtaji wa kuunga unga na niliye kosa ajira za watoto wa vigogo.
NJIA ZA KUINGIZA MAPATO YA SERIKALI NI NYINGI, SERIKALI YA CCM ACHENI UWIZI NA UKATILI KWA MTANZANIA WA CHINI.