Kwanza kabisa poleni kwa kazi nzuri ya kukijenga chama humu mtandaoni na mitaani kwa ujumla,pili niwatoe hofu kuhusu uchaguzi wa kesho ta 14/7 hapa Arusha kuwa tumejipanga vya kutosha kuhakikisha...
Hawa watu wa mitandao tumewatajilisha sana, Kiasi ambacho Tanzania ni Nchi inayoongoza katika Africa ya Mashariki katika matumizi ya simu, leo wanatugeuka, kodi ambayo wanatakiwa walipe kutoka...
Tumaini Makene kama utaona thread hii naomba uniambie ukweli kuhusu M4C, imeishia wapi? Au mmejikuta mnaconcentrate kwenye kujibu propaganda za CCM na kusahau kitu kizuri ambacho mlikianzisha kwa...
Jamani wanajamvi nisaidieni uenda mimi ndo sielewi. Kwani ukiwa chama pinzani ni uadui coz naona sku hizi serikali ikikujua kuwa wewe ni mfusi wa chama pinzani basi inakuwa tabu, mfano ni hapa...
Kumekuwa na kanda mbalimbali za cCHADEMA,hali ni tofauti sana kanda ya ziwa maahariki ambayo kinyume na utaratibu ina viongozi kutoka mikoa tofauti na kanda hii,kwa mpango huu wa CHADEMA itakuwa...
Katika msimu wa sabasaba mbunge wa Bukoba(M) mh.Hamis Kagasheki amelitembelea jimbo na kukutana na makundi mbalimbali na kuyamwagia pesa ya kutosha ambapo katika hali kawaida mtu unashindwa...
Chama cha demokirasia na maendeleo (chadema)tumejipanga vizuri kila idara kuhakikisha hatuibiwi kura hata moja,tuko vizuri tunawaomba wapenzi wa chadema kujitokeza kwa wingi siku ya kesho kupiga...
Wanabodi, nchi sasa imekuwa na malumbano ya kiitikadi yaliyofikia kiwango cha kupotosha wananchi na kuwafarakanisha kupitia mitandao ya kijamii na matumizi ya vyombo vya habari siku hadi siku...
Hadhi ya BBC SWAHILI siku hizi imeshuka.
Ukisikiliza idhaa hiyo katika matokeo ya dunia utaona jinsi gani idhaa hiyo inavyotoa habari zake.
Mgoro wa Misri. Kama CNN , bbc nao wamesimama huko...
TAARIFA YA OFISI YA MBUNGE KUHUSU MGOGORO KATI YA SERIKALI NA WAMACHINGA MANZESE
Ofisi ya Mbunge Jimbo la Ubungo, John Mnyika inaendelea kuchukua hatua kuhusu mgogoro unaoendelea baina ya...
Tarehe 14/7/2013 yaani Jumapili ya kesho kutwa, kutafanyika Uchaguzi Mdogo wa Madiwani katika Kata nne za Arusha.Kampeni zimeshaisha ingawa bado 'zinaendelea'. Sasa ni kampeni zisizo rasmi. Ni...
Wana Jf Salaam,
Mambo ya kisiasa yametawala sana katika nchi yetu, na nimepata muda wa kutafakari nakuona kuna mambo ambayo yamekua yakitokea na sisi kuyasahau kwa haraka zaidi hasa mikakati ya...
Nimepata haya mabandiko kutoka kwenye vyanzo tofauti na kuona ni vizuri kushare na wanajamvi.
Tafakarini tafadhali!
Hebu fikiria fikra hizi bora "Ni jambo la kijinga kuchagua fedha kuwa ndiyo...
Jamani, POLISI wa Tanzania waongo, walisema hapa FBI wameitwa Arusha kwenye uchunguzi wa bomu lililorushwa kwenye mkutano wa CHADEMA sasa American embassy wamekanusha! Hii imekaeje? Source: Gazeti...
Msimamo wetu kuhusu rasimu ya katiba mpya na mustakabali wa taifa utatolewa leo Jumamosi ya Julai 13, 2013 kwenye mkutano wa hadhara katika viwanja vya Shule ya Ukombozi-Manzese kuanzia saa 8...
Nimeona uzi unaozungumzia kilichoitwa mbinu chafu CCM za kuagiza magwanda ya chadema ili kuwavalisha watu wafanye vurugu ionekane ni CHADEMA chini ya uratibu wa katibu mwenezi na naibu katibu...
CHADEMA na CCM ugomvi wao mkubwa
kwa Jiji la Arusha ni kuongoza
halmashauri hiyo na kutoa meya, hivyo
uchaguzi wa keshokutwa ndio utaamua
majaliwa ya nafasi ya meya aliyepo hivi
sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.