Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nimekuwa nashindwa kupata mantinki ya kazi za Bunge; KUSHAURI na KUISIMAMIA serikali; kazi hizi zinafanyikaje? Katika hoja hii sizungumzii kazi ya Kutunga sheria [ingawa sijui kama Bunge kweli...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
GENTLEMAN: I greet you here on the bank of the James River in the year of our Lord, one thousand seven hundred andtwelve. First I shall thank you, the Gentlemen of the Colony of Virginia...
0 Reactions
0 Replies
712 Views
Kwa wanasayansi ya utawala wataungana na mimi kuwa taasis makin utaipima kwa VISION, MISSION and ORGANISATION GOAL yake. CDM Kwa ss n taasis ya kisiasa ambayo imekosa sifa tajwa hapo juu. Ni...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Waheshimiwa Great Thinkers, naomba tuwekane wazi na tufafanuliane kinagaubaga sababu za kuanguka na kupotea kwa mvuto wa chama cha wananchi CUF. Kwa yeyote aliyekuwa akifuatilia siasa za mfumo wa...
1 Reactions
100 Replies
9K Views
Jana tumeketi kikao Cha wote wenye miji hapa mtaani KWETU kujadili masuala yetu hasa kuboresha Ulinzi Wa mtaa, bila kutazamiwa tulijukuta tumemezwa Na agenda ambayo haikuwa rasmi KWETU juu ya...
9 Reactions
29 Replies
3K Views
Wanabodi wa JF Nimeamua leo kumueleza Mhe, Zito Zuberi Kabwe Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA (Bara), kuwa kuna watu walio karibu nae wanaendelea kulipaka matope jina lake. Watu hao wakiongozwa na...
3 Reactions
27 Replies
3K Views
kwa walioangalia TAMTHILIA YA JUMONG Watakubaliana nami, BINAFS NIPO TAYARI KUJIUNGA NA JESH LA UKOMBOZ WA NCHI YANGU!! Vijana wenzangu ambao tumetelekezwa kujiunga na JWTZ ! Baada ya magamba...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
PICHA ZA VIJANA WENYE SILAHA ZASAMBAZWA Na Betty Kangonga CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetoa hadharani kinachoweza kuitwa ‘ushahidi’, kikionyesha namna Rais Jakaya Kikwete na...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr Wilbroad Slaa amelitaka jeshi la polisi kuvunja mara moja makambi yote ya CCM nchini yanayotoa mafunzo kwa vijana wanaoitwa Green Guards. Kiongozi huyo alikuwa...
24 Reactions
369 Replies
26K Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) cha kaidi agizo la serikali la kusitisha mpango wake wa kuwapatia mafunzo vijana kwenye kikosi maalum kwa ajili ya kukilinda chama na jamii kwa...
1 Reactions
83 Replies
8K Views
Kwanini CDM mpaka sasa haijawalisha ushahidi wa tukio la utupaji wa bomu uwanja wa Soweto Arusha katika mahakama ya ICC. Tuliambiwa hapa jamvini kwamba CDM inao mkanda wa tukio la urushwaji wa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wanajumvi baada ya nchi kukubali mfumo wa vyama vingi ni wazi vyama vyote vyenye malengo ya kushika madaraka vilitakiwa kusajiliwa kisheria na kikatiba ili viwe na haki kisheria kuonngoza nchi hi...
2 Reactions
21 Replies
4K Views
Ndugu wana jf' kwa kile kinachoendelea kati ya Jk na kagame najiuliza' taifa letu litanufaika vipi na vita hii kama ikitokea? Vita ya kagera ilikuwa na manufaa kwani jeshi letu na baba wa taifa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimewasikia wachangiaji wengi sana wakichangia juu ya suala la kuanzishwa kwa Red Brigade, wengi wamelaani sana na kupinga juu ya kuanzishwa kwa Red Brigade na wengi wamefurahishwa sana...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari Zenu, Mimi na maswali kadha : 1) Hivi viongozi wetu, Rais, Wakuu wa wizara, Wakuu wa majeshi na usalama, hawafuatiliwi na nchi jirani ( hasahasa Rwanda na Kenya) wakati wanatumia email...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
AFRICANGLOBE – Not too long ago, I used to call some Black people, especially of African descent, "coconuts". Also, I have espoused thoughts and ideas that claim to represent "Black...
0 Reactions
0 Replies
652 Views
KWA NINI WANACHOMA MOTO OSFISI ZA CCM..? Wale mashabiki wataendelea kunipinga, kwa sababu wako kama maroboti, yanafanya kazi kulingana na jinsi yalivyoelekezwa, na hapa wapo waliolekezwa...
1 Reactions
58 Replies
5K Views
Ewe mwana arusha hasa wale wa kata zinazotarajia kuwa kwenye uchaguzi 14-7-2013 tafadhri piga kura yako hapa,tuone nani ataibuka kidedea ktk kata 4 kati ya ccm, chadema,cuf na tlp. kushiriki...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mkurugenzi wa Oganizasheni na Mafunzo Chadema, Singo Benson Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesemahakitarudi nyuma katika mpangowa kutoa mafunzo ya ukakamavukupitia kikundi chake...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom