Askofu atabiri Tanzania kupigwa na Rwanda! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Askofu atabiri Tanzania kupigwa na Rwanda!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mpinga shetani, Jul 12, 2013.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. mpinga shetani

  mpinga shetani JF-Expert Member

  #1
  Jul 12, 2013
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 3,265
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Askofu Emmanuel Lazaro wa T.A.G anayehutubia mkutano mkubwa mjini Arusha amebashiri kuwa nchi moja ya jirani itaivamia na kuitwanga Tanzania. Askofu huyo akaitaja kabisa Rwanda na kudai kuwa TZ haitaiweza Rwanda!

  [​IMG]
   
 2. ZionGate

  ZionGate JF-Expert Member

  #2
  Jul 12, 2013
  Joined: Oct 17, 2012
  Messages: 4,541
  Likes Received: 177
  Trophy Points: 160
  Welcome Kagame,kuna Koti lipo Magogoni lichukue ukalihifadhi kwako...
   
 3. Chimbuvu

  Chimbuvu JF-Expert Member

  #3
  Jul 12, 2013
  Joined: Jul 17, 2012
  Messages: 4,402
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Mbona hiyo aliitabiri since may mwaka jana,alisema kuwa kuna nchi jirani na tanzania inajipanga bila sisi kujua na akaona mapambano baina ya wanajeshi wa nchi yetu na wa hiyo nchi ila aliona wanajeshi wa nchi yetu ya Tz wakirudishwa nyuma kwa kuzidiwa .na alichosema mshindi wa hiyo vita ni yule atakayekuwa na maombi,akasema tuiombee nchi yetu.hakutaja jina la nchi kwa sababu wakati anatoa unabii hata mgogoro wa malawi ulikuwa haujapamba moto
   
 4. T

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #4
  Jul 12, 2013
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,807
  Likes Received: 635
  Trophy Points: 280
  Mwambie akasaidie wenzake wamekamatwa A.kusini na mzigo
   
 5. k

  kingukitano JF-Expert Member

  #5
  Jul 12, 2013
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,971
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Huyu ni askofu wa faida hana polite,mtu anaeona matukio ya msuguano na kujifanya ameoteshwa,hovyo kabisa huyu
   
 6. L

  Lilambo JF-Expert Member

  #6
  Jul 12, 2013
  Joined: Jun 5, 2013
  Messages: 2,526
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Katumwa huyooo.
   
 7. L

  Lilambo JF-Expert Member

  #7
  Jul 12, 2013
  Joined: Jun 5, 2013
  Messages: 2,526
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  kweli wewe mwezi mchanga.
   
 8. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #8
  Jul 12, 2013
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,828
  Likes Received: 1,509
  Trophy Points: 280
  Mpuuuuuzi Huyo mchungaji...
  Ndio walewale kina mzee wa upako waliotabiri odinga anashinda
   
 9. L

  Lilambo JF-Expert Member

  #9
  Jul 12, 2013
  Joined: Jun 5, 2013
  Messages: 2,526
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  ka babu wa Loliondo huyooo
   
 10. C

  Chibolo JF-Expert Member

  #10
  Jul 12, 2013
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 2,810
  Likes Received: 1,066
  Trophy Points: 280
  hawa ndio maaskofu wetu wa kichina.
   
 11. Isalia

  Isalia JF-Expert Member

  #11
  Jul 12, 2013
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 925
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  Hawa ndio walewale wa kikombe cha babu loliondo hawana lolote zaidi ya kuuza madawa ya kulevya hawana wakijuwacho
   
 12. Dancani

  Dancani JF-Expert Member

  #12
  Jul 12, 2013
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 800
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Sasa hapo maombi ya nini wakati ameshasema majeshi yetu yanarudi nyuma kwa kuzidiwa? Vipi hakusema itakuwa lini au itakuwa ghafla
   
 13. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #13
  Jul 12, 2013
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,528
  Likes Received: 492
  Trophy Points: 180
  Dah!! ... tulipofikia kunahuzunisha.
   
 14. A

  ACADEMIA TODAY Senior Member

  #14
  Jul 12, 2013
  Joined: Jun 7, 2013
  Messages: 180
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  anatafuta kiki
  angetabiri kabla ya mgogoro
   
 15. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #15
  Jul 12, 2013
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,828
  Likes Received: 1,509
  Trophy Points: 280
  Napata Hasira sana niwaonapo wachungasanaji njaa na wapuuzi kama hawa....

  Hakika wanaruzalilisha wakristo.
   
 16. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #16
  Jul 12, 2013
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,208
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  Utabiri utumbo tu huo. "Mwisho wa dunia ukikaribia watatokea manabii wa uongo nao watadanganya wengi"


  -Wameshatokea wengi,
  -Na wengi mnadanganyika.
   
 17. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #17
  Jul 12, 2013
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,353
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 0
  Safi sana mtumishi wa mungu. Watanzania mnabakia oooooh tuna jeshi oooooh nchi yetu kubwa ooooooh tuna silaha: Haya ni maneno ya mfa maji. Vietnam ni nchi ndogo sana lakini kila mtu anajua nini kilimpata marekani.
   
 18. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #18
  Jul 12, 2013
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,353
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 0
  hii inarudia alishatabiri tangu april.
   
 19. mathcom

  mathcom JF-Expert Member

  #19
  Jul 12, 2013
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 1,402
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Kwahiyo anatupa ushauri gani, wakati tunasubiri hicho kipigo..!!??
   
 20. Dancani

  Dancani JF-Expert Member

  #20
  Jul 12, 2013
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 800
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Sasa wewe unafurahia kupigwa? au unamaanisha nini,
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...