Benson Kigaila: Tutapambana na CCM

Benson Kigaila: Tutapambana na CCM

Bangoo

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2011
Posts
5,597
Reaction score
1,016
Mkurugenzi wa chadema Benson Kigaila amesema hawatarudi nyuma ktk suala la kuanzisha kikosi cha ulinzi red brigedi.. Amesema mapambana dhidhi ya ccm yameanza na watapambana kwa kila aina, kuanzia bungeni, mahakamani, na kila sehemu itakayofaa...


Pia amesema mafunzo kwa ajili ya vijana hao yataanza wiki ijayo na yeye ndo mkufunzi.. Jamaa namwaminia sana kwani tulkuwa nae jkt miaka hiyo


Si kuanzisha.

Hakuna kitu kipya kinachoanzishwa. Red Brigade ipo siku nyingi. Iko ndani ya katiba ya CHADEMA ambayo imepitishwa na kusajiliwa kwa Msajili wa Vyama vya Siasa.

Kinachofanyika ni kuwapatia vijana hao mafunzo ya UKAKAMAVU! That is all about. Red Brigade haitafanya kazi kama wanazofanya Green Guard wa CCM.

Green Guard wa CCM wamekuwa wakishambulia, kupiga, kutesa na kuteka watu. Tena wamekuwa wakishambulia hadi waandishi wa habari, hadharani kwenye shughuli za CCM. Hakuna hatua zimewahi kuchukuliwa, kwa sababu wanafanya kazi under cover.



EA.radio BREAKING NEWS
 

Attachments

  • chadmbowe.jpg
    chadmbowe.jpg
    59.5 KB · Views: 563
Pia amesema mafunzo kwa ajili ya vijana hao yataanza wiki ijayo na yeye ndo mkufunzi.. Jamaa namwaminia sana kwani tulkuwa nae jkt miaka hiyo
 
Kazi imeanza JK asipoangalia itabidi amwage damu mara 100 maana ukianza kunywa damu ya mtu huachi
 
...nipo tayari kung'olewa kucha na meno yoote lakini sitorudi nyuma kamwe,twende baba kigaila tupo pamoja mpaka kieleweke...
 
Si kuanzisha.

Hakuna kitu kipya kinachoanzishwa. Red Brigade ipo siku nyingi. Iko ndani ya katiba ya CHADEMA ambayo imepitishwa na kusajiliwa kwa Msajili wa Vyama vya Siasa.

Kinachofanyika ni kuwapatia vijana hao mafunzo ya UKAKAMAVU! That is all about. Red Brigade haitafanya kazi kama wanazofanya Green Guard wa CCM.

Green Guard wa CCM wamekuwa wakishambulia, kupiga, kutesa na kuteka watu. Tena wamekuwa wakishambulia hadi waandishi wa habari, hadharani kwenye shughuli za CCM. Hakuna hatua zimewahi kuchukuliwa, kwa sababu wanafanya kazi under cover.
 
walijisahau kama pia sisi ni wanaume kama wao, ni watu dizini ya ya wakina Riz ndiyo wamezoea kufanywa wanavyo taka mabwana zao ili mradi wapate chochote, hii sasa imetosha...
 
Mkurugenzi wa chadema Benson Kigaila amesema hawatarudi nyuma ktk suala la kuanzisha kikosi cha ulinzi red brigedi.. Amesema mapambana dhidhi ya ccm yameanza na watapambana kwa kila aina, kuanzia bungeni, mahakamani, na kila sehemu itakayofaa...

EA.radio BREAKING NEWS

Hakuna kurudi nyuma,,hakuna wakuogopa

cc Mwigulu Nchemba
 
Mnapambana na nani.........ebu mwigulu kaka angu njoo huku tuwajibu cdm
 
Tupo pamoja kamanda Benson Kigaila. Kwa mapenzi ya nchi yetu Red Brigade inapaswa ipewe uwezo wa kujilinda na kuwalinda viongozi wa chama. Naomba mafunzo yawahi kuanza na vijana wengi washirikishwe. This is because we love our country deeply
 
Magobole, SMG, AK47, Mabomu ya machozi na maji ya kuwasha huku vijana wakakamavu wa FFU wakisubiri amri tu ya kufanya kazi.

Tahadhali kwa wakaidi!
 
Ilikuwa zamani mlikuwa mnawatishia nyau si sasa tena...wa Tanzania siku hizi wamechoka na mahubiri ya amani,huku mkiwauwa raia, kutesa waandishi nk.. Siku hizi tutapambana...
 

Attachments

  • ulimbo.jpg
    ulimbo.jpg
    27.2 KB · Views: 158
Red Brigedi ya Chadema ni yakujilinda tu na wala sio kama ya Green Guard ya CCM yakutoa watu kucha na meno bila ganzi.Sasa najua matukio yatapunguwa ya kuonewa bila sababu ya msingi ndio maana ccm wameanza kuweweseka mapema wanajua mipango yao itagundulika mapema sana kabla hawajatenda maovu yao.
 
...

bora vijana waanze kupasha itatusaidia endapo Kagame naye ataanza kurusha mawe.......
 
Heri yeye anaejitambua kuliko wewe uko kwenye chupa... Toka kwenye chupa ndg..
 

Attachments

  • mbowe+na+peoples+power+2.jpg
    mbowe+na+peoples+power+2.jpg
    58.5 KB · Views: 177
Magobole, SMG, AK47, Mabomu ya machozi na maji ya kuwasha huku vijana wakakamavu wa FFU wakisubiri amri tu ya kufanya kazi.

Tahadhali kwa wakaidi!

kesho kutwa mtavuna mabomu ya machozi na risasi......
 
Magobole, SMG, AK47, Mabomu ya machozi na maji ya kuwasha huku vijana wakakamavu wa FFU wakisubiri amri tu ya kufanya kazi.

Tahadhali kwa wakaidi!

Uliona wapi utawala uliodumu kwa kutumia vifaa hivyo ulivyovitaja? Hujawahi kuona FFU wakikimbia kwa kihoro kutetea roho zao?
 
Back
Top Bottom