Nathubutu kusema CCM haina tofauti na Novice | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nathubutu kusema CCM haina tofauti na Novice

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Nicholas, Aug 23, 2012.

 1. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #1
  Aug 23, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,351
  Trophy Points: 280
  Tofauti na watu wanavyoamini kuwa CCM ni chama Kikongwe.Matukio na mwenendo wa kisiasa unaonyesha wazi kuwa CCM bado ni Novice.Umri wake na uwezo wa safu nzima ni dhihirisho tuu kuwa "Age ant nothing but a number".CCM ina wazee waliokwama, na vijana walijikuta katika siasa kwa kuambiwa tu wanafamilia wewe unafaa kuwa mwanasiasa, na kuamua kufanya hivyo kwa vile nafasi za wazee wao ktk chama zinwaweka katika nafasi ya kuingia.Hawa vijana wameelimishwa katika taasisi zenye watendani wazee waliokwama na vijana wa fasta ila waliolelewa na kuishi katika CCM.

  Huu mtiririko wa watoto wa vigogo ambao walivuka mambo mengi, ila wana matukio fulanifulani waliyofanya na kuwafanya wazee wawaone kuwa mbadala kwa upinzani unaoendeshwa na dhana ya Ujana.Hawa vijana wamepewa nguvu kubwa na kwa haraka, huku nguvu ya wazee imekwisha na hivyo kukwama.Kinachooneka sasa hivi CCM inaongozwa kama chama cha voda fasta.Na hii imejaa sana katika maeneo mengi ya utendaji katik nchi na hivyo kuishia kufanya nchi yote kuwa "novice" ktk mambo mengi ya ndani na ya nje.

  Huu msururu wa watoto wa viongozi au hata wenye ukaribu umerahisisha sana njia ya kujiweka katika chama, achilia mbali msururu wa wasanii, na waandishi wasiokuwa makini, umekifanya chama kuwa na asilimia zaidi ya 80 ya watu wageni katika siasa, misingi ya nchi, uzalendo(hawajui vipengele vya uzalendo ha hivyo kudhani kwa kusema naipenda nchi),misingi ya haki za binadamu(walishazoea kushurutisha wafanya kazi, kwa hivyo wanaamini pia nchi ni yao na wana weza fanya lolote na kulinda na kivuli cha wazazi katik dola),hawajui sheria, wala historia sahihi ya nchi, hawapo tayari kwa mamabo mengie yanayohitaji wao kujitoa.Vijana ambao kipindi chote cha akusoma hawajawahi penda masomo yenye kujijenga kisiasa, wala fanya siasa ya kukomaza.Wamekuja ona siasa ukubwani, na mbaya huwa si watu wa kujisomea na kujifunza basi wakajikuta wanapwaya.
  Matokeo yake, CCM ni chama kichanga sana katika siasa na dunia ya leo.Na hii inaonekana katika siasa za zamani za CCM wenyewe,na ni wachanga zaidi linapokuja suala la siasa za kileo ambazo CDm wameshika Jackpot.Wazee wameingia katika anasa kiasi ch akuwabakisha majina na umri tuu,umri unaohitaji kula na kufuata chochote ha hivyo kufuta kabisa uzoefu wote CCM wanaoweza jivunia.
   
 2. t

  tenende JF-Expert Member

  #2
  Aug 23, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 6,560
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  CDM imewapiga shot!.. hawajapenda kuwa hivyo. Hakuna njia ya kutokea hadi kifo!.
   
 3. Bambo

  Bambo JF-Expert Member

  #3
  Aug 23, 2012
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 237
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  sijaelewa unataka kusema nini???either huelewi definition ya NOVICE
   
 4. Tetty

  Tetty JF-Expert Member

  #4
  Aug 23, 2012
  Joined: Jan 6, 2012
  Messages: 25,538
  Likes Received: 16,513
  Trophy Points: 280
  Ulichokisema kina ukweli kabisa! Ni rahisi sana kwa mtoto wa aliyekuwa waziri,mbunge au mtendaji serikalini kuingia kwenye siasa kuliko mtoto wa mkulima au mtu wa kawaida au mtoto wa maskini a.k.a mlalahoi.

  Pili ni rahisi sana watoto wa viongozi kufanya kosa lolote kubwa la jinai au la kawaida na akatoka bila kufunguliwa kesi yoyote au kesi yake ikaisha tu ,mfano hai ni ile kashfa ya mtoto wa Lowasa kumgonga kwa makusudi trafiki akiwa kazini na sidhani kama kesi ile bado ipo au trafiki yule alipelekwa tu hospitali na mzee akaenda kumalizia kesi.

  Nicholas ulichokiandika kinaukweli wa aslimia mia moja.
   
 5. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #5
  Sep 10, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,351
  Trophy Points: 280
  vipi wanalia km wapinzani?kuwa CDM wamevuruga uchaguzi wa jumuia muhimu kwa CCM ya vijana UVCCM.Kuna mtu kawakumbusha kuwa huko ni kutangaza kushindwa vita...hakuna mzee wa ccm aseme hata vijana wachache wamekosa adabu..?badala ya kusema kuwa wamehongwa na chama cha msimu?raia ataamini vipi CCM kutulinda?..
   
 6. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #6
  Oct 23, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,351
  Trophy Points: 280
  kuwepo kwa CCM ktk siasa kwa muda mrefu hakumaanishi kuwa wanaelewa siasa za kisasa.Siasa zakisasa na CCM wanajifunza kama wengine,ila pakiwa na shida moja CCM bado haijaanza hata jishauri kama inataweza jitoa ktk mkanganyiko wa ama kuacha fikra za zamani au na kujifunza za kisasa.Mfano rahisi ni swali alilopea mshindi wa UWT kutoka kwa mwansiasa kijana,na kuishia gombana vibaya.Cha kushangaza ni kwamba CCM wameamua chagua siasa za zamani huku hawajui kabisa kitu ktk siasa za kisasa.Hii ni mifano inayonifany aniwaite NOVICE
   
 7. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #7
  Jul 15, 2013
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,351
  Trophy Points: 280
  the novice and too naive mwigulu....
   
Loading...