Chadema wapanga kuvuruga uchaguzi, red brigade kutumika!

HAMY-D

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2011
Posts
7,146
Reaction score
3,830
Wakuu,

CHADEMA wamepanga mpango wa kuvuruga uchaguzi Arusha kwa mbinu ya kitoto na ya kishamba kweli kutumika katika nyakati hizi za kidigitali.

Mpango umesukwa kama ifuatavyo; CHADEMA watakuwa na vijana ambao wameandaliwa mahususi kwenye kata zote wakijifanya wapiga kura.

Vijana hao watazua ugomvi mkubwa wao kwa wao huku wakiwa na lengo la kuharibu amani kwenye eneo la uchaguzi na kuvuruga mchakato mzima wa kupiga kura.

Katika hali hiyo RED BRIGADE watavamia kwenye vituo wakijifanya wana lengo la kusaidia, ila wao ndio wamepangwa waibe visanduku vya kupigia kura na watokomee navyo.

CHADEMA si vyema kuharibu mchakato wa uchaguzi, kama wananchi wamewachoka msing'ang'anie!

Source: Mmoja wa vijana walio pangwa na CHADEMA kufanya vurugu hizo.
 
Wewe ni --------,peleka propaganda kwa washenzi wenzio wenye akili fupi kama wewe!!!!
 
Mnafiki wewe. Peleka upuuzi wako kwenye wall ya Juliana Shonza. Nyie si ndiyo mnapinga tamko la kuanzishwa Red Brigade,sasa kama haija anzishwa hiyo imetoka wapi? 'pumb....vu'
 
CDM bila mbinu za ziada, leo kushinda haiwezekani!

Na kwa ulinzi ulivyo imarishwa, hii mbinu ya kipuuzi haiwezi kufanikiwa.

Najua Lema ndiye mratibu.
 
Ndo matatizo ya kunywa gongo then asubuhi una amkia kipolo cha ugali wa mtama, unategemea nini,
 
Mnafiki wewe. Peleka upuuzi wako kwenye wall ya Juliana Shonza. Nyie si ndiyo mnapinga tamko la kuanzishwa Red Brigade,sasa kama haija anzishwa hiyo imetoka wapi? 'pumb....vu'

Red Brigade haianzishwi upya, bali serikali ina pinga mpango wa kuiimarisha.

Wewe mwenyewe umejionea matumizi ya kikundi cha RED BRIGADE yalivyo. Kuvuruga amani tu.
 
Acha ujinga, ccm tunafaham mipango yenu ccm, kata yoyote mtakayoona mmeshindwa ndipo hapo nie mtakapoanzisha fujo....maisha sio siasa peke yake, TUNAHITAJI AMANI..acha ushabiki kwa mbweha
 
Wakuu,

CHADEMA wamepanga mpango wa kuvuruga uchaguzi Arusha kwa mbinu ya kitoto na ya kishamba kweli kutumika katika nyakati hizi za kidigitali.

Mpango umesukwa kama ifuatavyo; CHADEMA watakuwa na vijana ambao wamewandaa mahususi kwenye kata zote wakijifanya wapiga kura.

Vijana hao watazua ugomvi mkubwa wao kwa wao huku wakiwa na lengo la kuharibu amani kwenye eneo la uchaguzi na kuvuruga mchakato mzima wa kupiga kura.

Katika hali hiyo RED BRIGADE watavamia kwenye vituo wakijifanya wana lengo la kusaidia, ila wao ndio wamepangwa waibe visanduku vya kupigia kura na watokomee navyo.

CHADEMA si vyema kuharibu mchakato wa uchaguzi, kama wananchi wamewachoka msing'ang'anie!

ZINDE ninaomba ukosoe hapo juu kwani inaelekea umeandika baada ya kutoka kwenye usingizi. Sahihi ni: wewe na ndugu zako mmpenga kuvuruga uchaguzi kwa sababu ya ahadi za kupata UDC
 
Wakuu,

CHADEMA wamepanga mpango wa kuvuruga uchaguzi Arusha kwa mbinu ya kitoto na ya kishamba kweli kutumika katika nyakati hizi za kidigitali.

Mpango umesukwa kama ifuatavyo; CHADEMA watakuwa na vijana ambao wamewandaa mahususi kwenye kata zote wakijifanya wapiga kura.

Vijana hao watazua ugomvi mkubwa wao kwa wao huku wakiwa na lengo la kuharibu amani kwenye eneo la uchaguzi na kuvuruga mchakato mzima wa kupiga kura.

Katika hali hiyo RED BRIGADE watavamia kwenye vituo wakijifanya wana lengo la kusaidia, ila wao ndio wamepangwa waibe visanduku vya kupigia kura na watokomee navyo.

CHADEMA si vyema kuharibu mchakato wa uchaguzi, kama wananchi wamewachoka msing'ang'anie!
Peleka taarifa kituo kikuu cha polisi,kwani hapa ni polisi? au haujui matukio ya kihalifu yana ripotiwa wapi? POOR THINKING
 
Mleta mada acha upuuzi mke wako unamchungulia ya nini bafuni?cdm hatuna utaratibu wa kuvuruga wakati wananchi 2umeamua kuipa kura.kachukue buku 7
 
na wewe ni mmojawapo au ndio wale vijana walioandaliwa na Mwiguru kwa kuwavisha combat za CHADEMA ili kuwaaminisha watanzania CDM ni chama cha vurugu. Kama haupo kati ya vijana wa Mwiguru umeyajuaje hayo? Vijana tuache kutumika kwa njaa zetu na kwa manufaa ya wengine ambao wanajielewa wameshachokwa bali wanataka kulazimisha kuendelea kutawala kana kwamba wanamkataba na Mungu. Tujikite katika kufanya kazi kwa bidii na kutengeneza maisha yetu na si vinginevyo.
 
Wakuu,

CHADEMA wamepanga mpango wa kuvuruga uchaguzi Arusha kwa mbinu ya kitoto na ya kishamba kweli kutumika katika nyakati hizi za kidigitali.

Mpango umesukwa kama ifuatavyo; CHADEMA watakuwa na vijana ambao wamewandaa mahususi kwenye kata zote wakijifanya wapiga kura.

Vijana hao watazua ugomvi mkubwa wao kwa wao huku wakiwa na lengo la kuharibu amani kwenye eneo la uchaguzi na kuvuruga mchakato mzima wa kupiga kura.

Katika hali hiyo RED BRIGADE watavamia kwenye vituo wakijifanya wana lengo la kusaidia, ila wao ndio wamepangwa waibe visanduku vya kupigia kura na watokomee navyo.

CHADEMA si vyema kuharibu mchakato wa uchaguzi, kama wananchi wamewachoka msing'ang'anie!
Ludovick alikamatwa hivi hivi kwa uijnga wake,baada ya kupiga kazi za ajabu akaja kujihami kwenye fb,hivi unafikiri ukitafutwa hapa JF unafikiri utakosekana?JF sio pango la wezi na wahalifu,kama mmepanga kupiga kazi zenu za ajabu msije makaja kuhalilisha ujinga wenu hapa,ukitakiwa utapatikana.
Kuwa makini.
 
Back
Top Bottom