Wana jf hebu tuone aibu kidogo na tuwaulize hawa wenzetu hiyo people's power yao iko wapi ikiwa hata kutoka tu ndani kwenda kituoni kupiga kura wameogopa kati ya wapiga kura 60,000 wanajitokeza...
Is Obama talking to Kagame through Kikwete about Congo?
Tanzanian President Jakaya Kikwete sparked the outrage of Rwandan President Paul Kagame and other prominent Rwandans last week when he...
Tundu Lisu anajidanganya Star Tv eti CHADEMA ndio wapinzani wengine wanafuata Msafara amesahau CUF ndio walioweka presha Tz kukaja mfumo wa vya vingi 1992 na hadi leo ndio chama pekee kilicho na...
Salamu wanaJF,
Kupitia kauli ya kamati kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) juu ya uimarishaji kimafunzo kwa Red Guard, napenda kutoa angalizo hili:
Katika kambi ambazo...
Hivi ni kwa nini Elimu lisiwe ni suala la kikatiba badala ya kuwaachia watu wachache kulishikilia?,
Katika nchi zote zilizo endelea Elimu imewekwa kipaumbele cha kwanza na bila shaka hakuna...
Kama kuna jambo ambalo serikali ya awamu ya nne imetekeleza na inaendelea kutekeleza kwa nguvu, ari na kasi mpya ni hili la kugawanya mikoa na wilaya hapa nchini. Lengo (justification) la kugawa...
Uwekelazaji wa wachina na miradi mingi ya Ujenzi imilikiwayo na wachina, utakuta ina lenga zaidi kuwatafutia wachina ajira ndani ya nchi yetu, kuliko kuwaletea ahueni watanzania. Lengo la...
Leo majira na saa tatu kasoro za usiku, nikiwa nimetulia nyumbani kwangu maeneo ya Lizaboni nimesikia gari la matangazo la CHADEMA likitangaza kuwepo kwa mkutano hapo kesho. Sikusikia vizuri...
....
MZIMU wa vurugu na hasira za wakulima wa zao la korosho mkoani Mtwara umeibuka tena jana baada ya wananchi wenye hasira kuwavamia na kuwashikilia viongozi wa vyama vya ushirika Wilaya ya...
Ndugu zangu watanzania,mimi ninatatizwa na mambbo haya :-
Kila anayelaumu kauli ya CHADEMA kuhusu Red Brigade, hatoi lawama yoyote kuhusu Green guard wa CCM ambao wanateka na kutesa wafuasi wa...
Wana jf, naomba kuelimishwa, kwa takwimu zilizo wekwa kwenye hili jamvi, inaonyesha Chadema wanaizidi Ccm kwa diwani mmoja, yaani Cdm wako 15 na Ccm wako 14,
hii ni pamoja na viti maalum, ki...
Baadhi ya wanachama wa CCM jijini Arusha wametoa wito kwa viongozi wao wa mkoa na wilaya ya Arusha kujitathmini na kuachia ngazi mara moja kabla ya kutimuliwa kufuatia kushindwa vibaya sana katika...
Kuna watu wamekuwa wakjidanganya eti bila kuandika au kutangaza habari za Magwanda magazeti hayawezi kununuliwa na redio kusikilizwa. Lakini kinachoendelea kutokea kwa sasa kimewafundisha...
Mimi ni mmojawapo wa wengi waliowashauri CHADEMA hatuaza kuchukua kukabiliana na siasa zinazoendeshwa na CCM kwa sasa. Mabandikomengi humu jamvini yameshaandikwa kuwashauri viongozi wa CHADEMA...
Wana Jf,
Baada ya uchaguzi wa kata nne za Arusha uliofanyika tarehe 14 July 2013, hebu sasa tuangalie uwiano wa madiwani wa vyama vinavyowakilisha kata kwenye halmashauri ya jiji la Arusha...
Let us distinguish ourselves between strangers and citizens of this Nation: by our commitment and our love toward this country.
Citizens are not strangers; they endure forever in their land...
Ndugu Wana JF,
Nadhani sote tuna kumbu kumbu njema mda si mrefu mwaka jana wakati wa kampeni za uchaguzi, Mgombea wa CCM JAKAYA MRISHO KIKWETE aliwatangazia watanzania kuwa vyama vya siasa vya...
Waziri wa Nishati na Madini,Profesa Sospeter Muhongo amekaririwa leo akisema kuwa gesi asilia ya Mtwara itatoka na Serikali itaendelea kutekeleza mipango yake kama ilivyopangwa.
Waziri Muhongo...
TAMKO LA KUTOA UFAFANUZI DHIDI YA TAARIFA BATILI ZILIZOZALISHWA NA MWENYEKITI WA BAVICHA
BWANA: JOHN HECHE [WEGESA CHARLES SUGUTA] KUHUSU KUVULIWA UANACHAMA WA BAVICHA, NA KUSHABIKIWA NA MH...
Kuzidi kuimarika kwa Chadema katika miaka ya hivi karibuni in terms of organization and institutionalization, kumepelekea matukio mbalimbali nchini ambayo hatima yake inaweza kuchukua moja ya sura...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.