Ideally that is how strong nations are built creating a sense of patriotism among its subjects and thus forging loyalty.
However building such a sense of commitment is no mean feat, first people have to understand their roles in society and their government mission before they fully commit such as in Nyerere's era or in socialism states of the same period. Also government need to provide atleast the basic needs to their people, have known goals in society even whereby people are deprived they understand the government long term mission.
But how are you going to tell someone to be a patriot when he doesnt know where he is going to get his next meal nor any known plans to solve his poverty problems. Vijana wana amka asubuhi hawana pa kwenda, hata wale wanaojiita wajanja wa mjini si kwamba labda wanambinu za kupata kipato kwa kutumia rasilimali zilizopo hapana, ni kwa sababu imebidi waaribu system hili waweze kukamua wachache wanao zitumia na wao wale. Ukianzia airport unapotua mtu anataka hela, ukienda kwa mjumbe akusainie form anataka hela, ukienda kununua kitu wakikujua mgeni bidhaa inaongezwa hela, rafiki akikusaidia anakuchongea mchoro utolewe hela, yaani ushamba ndio ujanja.
Yote hayo ni madhara ya kuwa na jamii ambayo ina soko lisilo uiana na mishahara, hapo bado ujagusia wale wasio na ajira, vijana wanao angaika mababarani na biashara zao kero njia nzima, ombaomba kila kona, wizi, ujambazi in short umaskini hupo mbele ya macho yetu, ukizingatia na sera za kuongeza maisha magumu tax kila kukicha huo uzalendo utatoka wapi, wakati watu wengi wanatafuta namna za ku-survive tu si wala kuishi.
Hili watu waijali nchi yao, viongozi wa nchi yao inabidi hiwajali wananchi wao kwanza. Kama viongozi wapo kimaslahi wananchi watakuaje wazalendo kwanza hata huo uzalendo ausisitiziwi tena, maana sioni effort zozote za propaganda ya uzalendo zaidi ya sikukuu za taifa na mwenge kote huko kuna ufisadi ndio maana pengine bado zipo.
Taifa linahitaji new waves of leaders hawa wa sasa they have done enough damage.