napendekeza angalau watanzania wote tunaomiliki simu tuzime simu kwa muda wa saa 12 tu kwa siku maalumu tutakayoichagua sisi. natoa ombi hili kwa wanaharakati wote wanaotetea haki za binadamu...
THURSDAY, JULY 18, 2013
Wananchi wakiendelea na ujenzi wa shule ya kijiji
Wananchi wakishusha shehena ya saruji iliyonunuliwa na wananchi
Mwenyekiti wa kijiji cha Kapunga...
Hadi sasa ndio ccm wanakwenda half time chadema wamepiga goli 2-0 kwa kila nafasi ya uongozi.Tena kuwashangaza wamepiga bao hadi viongozi waliopo bench.Mf. Migiro hawezi tena ingia kwani kadakwa...
WanaJf ,
Ni miaka miwili tu imesalia kuelekea kwenye uchaguzi mkuu panapo mwaka 2015, ni suala la wazi kabisa lisilopingika kuwa umaarufu na ungwaji mkono toka kwa wananchi kwa chama cha CCM...
Tumekubaliana. CHADEMA na NCCR-M kuongoza Halmashauri ya Wilaya Uvinza ambapo CHADEMA yenye madiwani 7 itatoa Mwenyekiti, NCCR -M itatoa Makamu Mwenyekiti. CCM itaunda Kambi ya upinzani.
Hii Ni...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA kinatarajiwa kuongeza nguvu yake kisiasa kwa kuongoza Halmashauri mpya ya wilaya ya Uvinza inayotarajiwa kuanza kisheria 20 Julai,2013.Halmashauri hii iko...
Wakuu,
Ningependa kufahamu kuhusu kupitishwa kwa jina la Mtela Mwampamba ili aweze kugombea ubunge kupitia tiketi ya CHADEMA katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2010?
Ningependa pia kufahamishwa...
Teknolojia ya marekani kuwaokoa JWTZ nchini CONGO. WAKATI hofu ikiwa imetanda kuhusu usalama wa askari wetu wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), wanaolinda amani katika nchi za Sudan Kaskazini na...
Katika vikao vya ndani CCM Iringa mjini.. Vimekuwa vikijidaliwa kuhusiana na namna watakavyo nyakua jimbo la irnga.. Kwa kuwa jimbo hilo lina historia ya kudumu miaka mitano tu kwa wapinzani, na...
Waziri mkuu aliejiuzulu kwa kashfa EDWARD NGOYAI LOWASSA,amekanusha kuwa hajaamishia siasa zake kzk nyumba za Ibada(MISIKITINI NA MAKANIASNI) amesema kua wale wote wanaozungumza hivyo ni wale...
Wadau, safari ya kupambana na ufisadi katika nchi hii ni ngumu sana. Leo kuanzia saa 5 hadi saa 8:30 mchana, Mhariri Mtendaji wa Jamhuri, Deo Balile, amehojiwa Makao Makuu ya Polisi kuhusu habari...
CHADEMA wana oganaizesheni ya mafunzo ambayo mkurugenzi wake ni Benson Kigaila. nachotaka kujua je haya ni mafunzo ya darasani ama mafunzo ya namna gani hasa?. ni hilo tu linaloniumiza kichwa...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiteremka kwenye ndege GF1 alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere Dar es salaam akitokea...
Below is the ranking of African countries by the literacy rate. This entry includes a definition of literacy and Census Bureau percentages for the total population, males, and females. There are...
HATAMU ni tamu, walioshika hatamu wanaujua utamu na hawataki kamwe kuuachia, lakini wasiokuwepo madarakani nao wanapambana kushika hatamu labda pia wangependa huo utamu.
Sasa katika haya...
Ole Medeye umeamua kumuasi Mungu?
Na Msema Kweli
Si kawaida yangu; narudia tena; kunukuu maandiko takatifu katika kazi yangu hii isiyo rasmi, kwani sijaajiriwa kwayo ya uandishi. Lakini...
Wanabodi,
Napenda kuwasalimu wote mahali mlipo kwa kuwatakia amani mioyoni mwenu itokayo juu kwa Mungu wetu aliye hai.
Awali ya yote napenda kumshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa ulinzi alonipa...
Angalia hii hesabu ya mapato kutokana na wateja wa simu za mkononi kwa huduma ya SMS tu.
Chukulia kampuni ya mawasiliano yenye wateja 1000,000, kila mteja atume SMS 3 kwa shilingi 60 kila sms...
Kama ilivyo ada kwa serikali ya CCM kufumbia macho maslahi ya umma na kuwabeba wawekezaji huku raia wakiachwa na athari za uchimbaji madini Tanzania, UCHIMBAJI UNAOTARAJIWA KUANZA HIVI KARIBUNI WA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.