Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Binafsi nimesikitika kuwa Rasimu imeitoa sentensi ‘Tanzania ni nchi ya kijamaa’, hii sentensi iko kwenye Katiba yetu ya sasa lakini haiko kwenye Rasimu. Ingawa baadhi wanasema ile maana...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba Katiba Mpya itoe nguvu kisheria inapoona na kujirizisha kisheria kukifuta chama chochote kitachovunja sheria bila kujari kitakuwa na serikali au laa,na viongozi waliochaguliwa na wananchi...
0 Reactions
0 Replies
642 Views
MSAJILI wa vyama vya siasa nchini, John Tendwa hivi karibuni amekaririwa akitoa tamko la kukionya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), na kutishia kukifuta baada ya kutaka kuanzisha...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
WANAJESHI WA TANZANIA WALIOUWAWA DARFUR WAAGWA The African Union – United Nations Mission in Darfur (UNAMID), held a memorial ceremony, in Nyala, the capital of South Darfur, to honor the seven...
2 Reactions
54 Replies
18K Views
Kila kijana ambae anajiunga na CHADEMA anawaza kuwa mbunge.Kila msanii anahitaji ubunge kisa yuko CHADEMA. TUTAFIKA KWELI?
0 Reactions
28 Replies
3K Views
  • Closed
kwa taarifa nilizozipata nikuwa Nape anampango wa kukimbia CCM mda si mrefu na kuhamia chama cha NCCR-Mageuzi.
3 Reactions
38 Replies
5K Views
Awali ya yote ningependa kuwapa pole familia za watu wote waliopoteza maisha katika mlipuko wa bomu Arusha, pia niwape pole majeruhi wote na nawaombea kwa mungu wapate kupona haraka na kurudi...
0 Reactions
101 Replies
11K Views
Mwenyekiti wa jumuiya ya wazazi CCM taifa Abdallah Bulembo amesema kwamba ndani ya CCM kuna undumilakuwili akimaanisha kwamba kuna usaliti unaofanywa na wanachama. Amesema hayo huku akilinganisha...
3 Reactions
24 Replies
3K Views
wanajf, naomba kuuliza wabunge wengi wamajimbo wanatumia fedha za mfuko wa jimbo kuendeshea ligi za mpira wa miguu je hilo ni sahihi? hutumia fedha hizo kujiimarisha kisiasa kwa kuanzisha ligi za...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Binafsi nashangaa sana kwasababu wenzetu wameshindwa kuleta yale maendeleo tunayoota kila siku kwa muda wa miaka 50 wakiwa madarakani. lakini sisi tunafurahia kupata nafasi hiyo ya kata kwa muda...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mwaka 1986, katika mkoa wa Mwanza. Nasoma darasa la nne katika shule ya msingi Pamba (siku hizi ni Pamba Secondary). Agizo linatolewa na mwalimu mkuu wa shule yetu kuwa tunapaswa kujiandikisha kwa...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Mwigulu alikuwa humu hivi karibuni akidai kuwa Green guards ni vikundi ambavyo wanachama wa CCM wanafundishwa itikadi za chama pamoja na ujasilia mali. Mimi kama raia wa kawaida nimekuwa kwnye...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jana mbunge John Mnyika alianzisha utaratibu wa wananchi wa Dar es Salaam kusaini waraka utakaopelekwa bungeni kupinga utozaji kodi kwenye laini za simu. Ni ukweli usiopingika kwamba watanzania...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Salaam, natamani msajili wa vyama vya siasa kesho ama kesho kutwa afute CDM, hamu yangu ni kuona hasira ya watanzania ni kubwa kiasi gani! Ahsanteni!
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mkuu wa wilaya ya Ngara Bw. Constantine Kanyasu ameamuru kufungwa kwa shule ya sekondari Rusumo iliyoko wilayani humo kutokana na ukosefu wa madawati. Mkuu huyo wa wilaya ametoa agizo kwa wazazi...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
WanaJF! Viongozi wa CHADEMA, tofauti na vyama vingine, hawana desturi na utamaduni wa kuweka mambo wazi kuhusu vyanzo vya mapato na matumizi ya chama. Usiri huo wa vyanzo vya mapato...
2 Reactions
164 Replies
12K Views
Wakuu nimekuwa nikijiuliza maswali pasipo kupata majibu nijuavyo mie vitu viwili vikiungana kuna mawili kipatikane kimoja yaani vile viwili vife au viwepo afu kitokee cha tatu,sasa huu muungano...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Tajiri wa Mabasi ya Mshikamano, Mh Diwani Laurent Hoya, ambaye ni Diwani wa kata ya Mpwayungu iliyopo Jimbo la Mtera, Wilaya ya Chamwino amefariki jana usiku wa Saa 4, baada ya kuendesha Kikao cha...
2 Reactions
39 Replies
7K Views
Tuesday, July 16, 2013 | 10:27 PM Kesi ya mauaji ya Padri Evarist Mushi imechukua sura mpya, kufuatia Jaji wa Mahakama kuu ya Zanzibar, Mkusa Isaac Sepetu kujitoa baada ya upande wa utetezi...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Tukiwa tumeshuhudia kumalizika kwa chaguzi za udiwani katika mikoa mbalimbali nadhani sasa ni wakati wa chama tawala kukaa na kutafakari wapi imekosea na wapi ijirekebishe ili dhahama hizi...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom