Habari za uhakika kutoka kwa kiongozi wa chama ngazi ya jimbo alieibiwa Tablet(Mircomax P560) siku ya tarehe 15/06/2013,siku moja kabla ya uchaguzi mdogo wa udiwani,zinasema kuwa Ipad hiyo...
Ukija majengo utadhani kuna machimbo ya madini jinsi kulivyo na vumbi na ndio kuna wananchi wengi, hakuna hata dalili za kuisha matatizo, hakuna hata kituo cha afya.
PASUA ndio utadhani haiko...
Awali niseme nimeishi na kufanya kazi sehemu hizo mpaka Feb 2012, Na mpaka mimi naondoka maeneo hayo hali ya miundo mbinu inatia huruma. Mfano kutoka Njia panda ya Mbande mpaka Kongwa wilayani ni...
Kama ilivyo ada kwa serikali ya CCM kufumbia macho maslahi ya umma na kuwabeba wawekezaji huku raia wakiachwa na athari za uchimbaji madini tanzania, UCHIMBAJI UNAOTARAJIWA KUANZA HIVI KARIBUNI WA...
na Tatu Mohamed
SERIKALI imepanga kujenga miundombinu ya reli kutoka Tanzania hadi Jamhuri ya Demokrasia ya Congo (DRC) katika kipindi cha miaka mitatu ijayo.
Kauli hiyo ya serikali...
HEBU TUANGALIE MTIRIRIKO WA MATUKIO HAYA AMBAYO YALIFUATIWA NA MATAMKO TATKA YA CHADEMA
1.Tukio: Matukio la Gazeti la MWANAHALISI la kuchapisha taarifa iliyodaiwa kuwa ni mazungumozo kati ya...
-Mimi ni support wa Mwalimu,at least aliishi kwa mfano.Unaweza kuona family yake,hakujihusisha na deal za kishenzi na alikuwa na msimamo.
-Tukumbuke Nyerere alimweka Mkapa.Alitushawashi wa Tz...
Wakuu.
Leo majira ya saa 9, Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, kamanda Freeman Mbowe akiandamana na viongozi kutoka Makao Makuu na wabunge wa Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, atakuwa na mkutano wa...
Hapa nchini tunaambiwa na vyombo vya habari kuwa akari wetu waliuawa na waasi wa Sudan!
Waasi wako weni ni nani hasa mtuhumiwa ?????
Ukisoma habari nyingi na reputable news wordwide waasi...
Uzinduzi wa kanda ya kusini mjini Songea leo. hakuna kulala mpaka kieleweke...
HATIMAYE MIRADI YAKAMILIKA CCM YAZIDI KUTIMIZA AHADI
PICHANI NI Mlezi wa ccm mkoa wa pwani bibie zakhia...
Akihojiwa ktk kipindi cha dakika 45 amesema anakubali sana serikali tatu kama ilivyopendekezwa na tume ya warioba, though anapinga spika na naibu wake kutotoka ktk vyama.
Ni fedheha sana kuwa muumini wa uwongo…ni fahari kwa mwanadamu kuusimamia kweli…tunu ya ukweli na haki ni heshima!!! Nimefadhaika sana na vijana wanaotumia jukwaa hili kuwasemea watu...
Wakuu
Nimekuwa nikijiuliza maswali kuhusu Meya mpya wa Arusha, baada ya CHADEMA kushinda kata zote, kwa hali ilivyo hakuna jinsi lazima meya atokane na CHADEMA, watu wengi wa Arusha wanaulizia...
Wanajamvi.
Uchaguzi wa Bavicha unatarajiwa kufanyika mwaka huu mi napendekeza Mwenyekiti anayefaa wa kumrith John Heche ni Laurent Mngweshi Mwenyekiti wa Bavicha Mkoa wa Katavi.
Twende...
Ikupendeze Mtukufu Jaji Mkuu wa Tanzania,
Mimi nakuomba uwezeshe ujenzi wa Mahakama ya Mwanzo yaMailimoja-Kibaha. Mahakama hii pamoja na kuwa 'usoni' kabisa mwa Mji wa Kibaha,ina mazingira...
Serikali imeanzisha mfumo mpya wa kukusanya takwimu zote za kila mtumishi wa umma, ili kupata taarifa zote sahihi na kuhakikisha vyeti vinavyotumiwa na watumishi hao ni sahihi na halali...
Kwanza nawapongeza kwa uchambuzi wenu wa kina mlioufanya kwenye rasmu ya Katiba mpya. Mambo mengi mmeyaeleza na kuweka msimamo. Pamoja na msimamo wenu nashukuru kwa kumalizia kila hoja kuwa...
What Goes around comes around. Magamba sasa wanazinduka nao wnapata kibano kwa amri ya Waziri Mkuu wao..........................
MBUNGE wa Bumbuli (CCM), January Makamba, amemuandikia barua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.