Vyama vya siasa ni vya msimu-by JK-Sasa Hataki chadema wafanye siasa! Kulikoni? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vyama vya siasa ni vya msimu-by JK-Sasa Hataki chadema wafanye siasa! Kulikoni?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by George Maige Nhigula Jr., Jan 23, 2011.

 1. George Maige Nhigula Jr.

  George Maige Nhigula Jr. Verified User

  #1
  Jan 23, 2011
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 470
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Ndugu Wana JF,

  Nadhani sote tuna kumbu kumbu njema mda si mrefu mwaka jana wakati wa kampeni za uchaguzi, Mgombea wa CCM JAKAYA MRISHO KIKWETE aliwatangazia watanzania kuwa vyama vya siasa vya upinzani vinafaa kupuuzwa na kuto aminiwa na wananchi kwani ni vya msimu, yaani ni vyama vya uchaguzi tu!

  Nadhani wengi wetu tulipinga sana kauli hiyo ya mgombea wa CCM JK na iliyokuwa ikipigiwa tarumbeta na makada wengi kwenye social media mbali mbali kama JF, FB, TWITER etc.

  Lakini baada ya uchaguzi kumalizika CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO kimeendelea kufanya shughuli zake za kisiasa kama kawaida kwa hari na vuguvugu jipya la ukombozi kwa kudai katiba mpya na kupambana na ufisadi unaendelea kulitafuna Taifa letu, Lakini tumeshuhudia jinsi serikari ya CCM chini ya JK ikifanya kila mbinu kuhujuma CHADEMA isiweze kufanya siasa na kuendelea kujiimarisha kama chama kikuu cha upinzani bungeni.

  Kitendo cha serikari kupiga marufuku mikutano kadhaa ya wabunge wa chadema nchi nzima na kuzuia maandamano ya amani ARUSHA ni dhahiri kabisa ni jitihada za kutaka tamko la JK wakati wa kampeni kutimia yaani vyama vya siasa vya upinzani ni vya msimu.

  Tumemsikia mkuu wa kitengo cha propaganda TAMBWE HIZA akisema kuwa uchaguzi umekwisha chadema hawapaswi kufanya siasa, Je hii ina maana gani?

  Ni ukweli usiopingika kuwa CHADEMA kimechukua nafasi yake kama chama kikuu cha upinzani Tanzania kwa ufanisi mkubwa na kimekuwa mstari wa mbele kupigania haki za wananchi na kuwaumbua watawala kiasi kwamba hali ya CCM ni taabani kutokana na kibano cha chadema. Hivyo mimi binafsi napenda kumwambia Raisi Jakaya Kikwete kuwa inawezekana kuna vyama vya upinzani ni vya msimu yaani wakati wa uchaguzi lakini sio chadema, kwani kibano wanachokupa nadhani unakuwa na wakati mgumu sana,

  Sasa ni mda wako JK to show leadership kwani CHADEMA ni mwendo mdundo mpaka 2015
   
 2. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #2
  Jan 23, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  Alisema vya msimu? Ataona msimu uko vp huo. Na bado.
   
 3. George Maige Nhigula Jr.

  George Maige Nhigula Jr. Verified User

  #3
  Jan 23, 2011
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 470
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Jamaa mapema yote hii kishaanza kuomba msaada wa Dolla.
   
 4. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #4
  Jan 23, 2011
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  they didn't expect what they see now! and Tambwe political death is soon to come.
   
 5. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #5
  Jan 23, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  mkuu jamaa yuko hoi. Anatamani kuikimbia magogoni.
   
 6. George Maige Nhigula Jr.

  George Maige Nhigula Jr. Verified User

  #6
  Jan 23, 2011
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 470
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kum discredit Tambwe inabidi uwathibitishie watanzania kuwa alipohamia CCM alilala na mama yake kwanza? kama jibu ni hapana basi ni mtu asie aminika hata kidogo kwa kauli zake za hovyo
   
 7. George Maige Nhigula Jr.

  George Maige Nhigula Jr. Verified User

  #7
  Jan 23, 2011
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 470
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hana jinsi inabidi awasikilize CHADEMA for his own good
   
 8. Keynes

  Keynes JF-Expert Member

  #8
  Jan 23, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Achana na fikra za kikwete mkuu huyo ndo anaizika CCM.
  Ile laana ya baba wa taifa aliyoacha ikulu ya kutokuwepo kwa lowasa na kikwete kwenye madaraka makubwa ya nchi ndo inawatafuna.
  HUYO NDO KABURI LA CCM.
   
 9. Kiherehere

  Kiherehere JF-Expert Member

  #9
  Jan 23, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,804
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  popooooooooooooooooooooo!!! hajui hata kura zilizompa uraisi ni ngapi
   
 10. S

  Skype JF-Expert Member

  #10
  Jan 23, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 7,284
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  sema baba hawakufaham kama CHADEMA is the STRONGEST PARTY IN TANZANIA AND AFRICAN CONTINENT.
   
 11. S

  Skype JF-Expert Member

  #11
  Jan 23, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 7,284
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  atajuaje wakati hata ushindi wake ulikua umekwisha kuandaliwa na tume?
   
 12. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #12
  Jul 17, 2013
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Leo wakati nimekaa nikawa nawaza nirushe jiwe gani kwa magamba nikafikiria ana juu ya kauli aliyowahi kuitoa jamaa mmoja aliye wahi kuhongwa suti kisha akawapatia eneo waliomhonga suti lakini kabda sija ianzisha nikagoogle daa kumbe ipo banaaaaaaaa.....Kikwete upo chezea chadema wewe.....
   
 13. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #13
  Jul 17, 2013
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Siku hizi anaagiza mabomu ya kuja kukikabili chama cha msimu...
   
 14. mwangalizi

  mwangalizi JF-Expert Member

  #14
  Jul 17, 2013
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 652
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 60
  No mkuu! Suala si chadema! Suala ni PEOPLES POWER!
  Utakumbuka vema matumaini ya watanzania wakati wanampa kikwete (kijana) nchi ni kuwa atawashughulikia akina mramba, mkapa n.k. waliotajwa kwa ufisadi wakati huo.
  Hakuweza, akasilimishwa DHAIFU.
  Matumaini ya uongo ya maisha bora kwa kila mtanzania yametufanya tumchukie na kumwona msaliti, huku akihamia airport.
  Uhuni wake wa kubaka demokrasia kwa kutesa na kuua kwa kutumia jeshi ndivyo vinavyompeleka katika kaburi la sahau milele!
  Vitendo vyote hivi vitalipwa tu, na yeye mwenyewe, ama akina ridhi, ama wajukuu wake. TIME WILL TELL!
   
 15. f

  fikirikwanza JF-Expert Member

  #15
  Jul 17, 2013
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 5,935
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Alilopoka tu, hakumanisha kihivyo kama wananfunzi wanapata mimba ni vihelehele vyao, ukitaka cheo lazima na wewe ukubali kuliwa, sijui kwa nini tanzania ni maskini, maisha bora kwa kila mtanzania inawezekana, ni kulopoka tu asamahewe; hata kuna watanzania wengine walopokaji kama yeye ila wao sio marais.
   
 16. N

  Nikukumbushe JF-Expert Member

  #16
  Jul 17, 2013
  Joined: Jun 4, 2013
  Messages: 2,603
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Msameheni bure maana hajui alitendalo!
   
 17. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #17
  Jul 17, 2013
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,348
  Likes Received: 1,143
  Trophy Points: 280
  JK~ Jinga Kabisa
   
 18. sk2000

  sk2000 JF-Expert Member

  #18
  Jul 17, 2013
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 750
  Likes Received: 250
  Trophy Points: 80
  siku hizi anafagilia vyama vilivyokufa kama TLP.
   
 19. sk2000

  sk2000 JF-Expert Member

  #19
  Jul 17, 2013
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 750
  Likes Received: 250
  Trophy Points: 80
  CDM haina msimu bado watapata wazimu waache wapigiane simu polisi kuwalazimu wameleta uhasimu hadi kunyweshana sumu sera zao za urasimu Savimbi ajiheshimu. Tumechoka. 'Ccm hatuitaki tena!!!'
   
 20. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #20
  Jul 17, 2013
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  kuna kauli za viongozi wa nchi hii ukizifatilia utajiuliza mara 100 huyu ni kiongozi wa kitaifa au nikiongozi wa machizi..
   
Loading...