Je,green guard imehalalishwa?

Je,green guard imehalalishwa?

amakyasya

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2013
Posts
3,480
Reaction score
918
Ndugu zangu watanzania,mimi ninatatizwa na mambbo haya :-

  • Kila anayelaumu kauli ya CHADEMA kuhusu Red Brigade, hatoi lawama yoyote kuhusu Green guard wa CCM ambao wanateka na kutesa wafuasi wa CHADEMA. Je, jeshi hili la green guard limeruhusiwa kufanya kazi hiyo? Swali hili nijibiwe na Kikwete, Said Mwema, Tendwa na Kisumo.
  • Wote tumeshuhudia jinsi jeshi la polisi linavyowatesa wafuasi wa CHADEMA badala ya kuwalinda kwenye harakati zao. Je, kwa nini ionekane ni kosa CHADEMA kujilinda wenyewe wakati waliodhaniwa kuwa walinzi wao wamegeuka kuwa watesi?
  • Hivi mtu kujilinda mwenyewe dhidi ya adui wako ni kosa?
  • Mwisho, hivi ni sahihi CCM kuwa na majeshi mawili ya ulinzi ya polisi na green guard?
 
Back
Top Bottom