Meya wa Jiji la Arusha, Gaudance Lyimo (CCM), ametamba kuwa wanaofikiria kumng'oa kwenye kiti chake wanaota ndoto za alinacha kwa sababu lazima wazingatie kanuni za uendeshaji wa Mabaraza ya...
Kijana mwenye mikakati madhubuti ya ushndi Godbless Lema, ametamka kuwa amemaliza Arusha kurudisha kata zote 4 kama zawad ya wananchi kwa Lema kurudisha Ubunge wake, sasa atamka kuwa anadondoka...
siasa na Sheria mbovu zinawakandamiza wastaafu. Mtu umestaafu ulikuwa unakatwa kodi kibao na hicho kilichokusanywa kwa muda mrefu ukiwa kama mfanyakazi kinakatwa kodi tena,jaman mm ni Mhasibu...
Tuesday, July 16, 2013
Mbowe mbaroni
Mhe. Freeman Mbowe
POLISI WAKWEPA GREEN GUARD YA CCM
MWENYEKITI wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe...
Wakati anahamia CHADEMA kutoka chama kingine cha siasa, niliweka maoni yangu wazi kwamba SIJAWAHI kumuamini na anapaswa kuogopwa katika siasa za vyama.
Anguko la Mrema na NCCR-Mageuzi ilikuwa ni...
Siku kadhaa uliletwa uzi wa kumsifia Mh.Lukuvi kuwa ameleta huduma nzuri za kijamii katk jimbo la Isimani,na kwamba haitaji upinzani kuleta mabadililko ktk jimbo lake...baadae alinukuliwa Bungeni...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) kimesema Msajili wa Vyama vya Siasa, John Tendwa alibariki kuundwa kwa makundi ya vijana ndani ya chama hicho, yanayoitwa Red Brigade.
Hatua hiyo ya...
Labda ni mambo ya kihistoria, labda wataudhoofisha muungano na labda wataonekana washamba wa siku za leo.
Mara nyingi hizi fikra huwa zinanijia na hasa ninapowasikia viongozi wetu wakitaja jina...
I LEAD TANZANIA,
Inataka wewe kuacha kunyoosha vidole ukizungumza na kuwalaumu wengine. Badala yake, inakusukuma wewe kusimama na kuhesabiwa.
Kwa mara moja katika maisha yako, kuwa mabadiliko...
Mimi ni mmoja kati ya wajumbe wa mabaraza ya katiba. Rejea tamko la m/kiti wa tume ya mabadiliko ya katiba,
"Tume ya Mabadiliko ya Katiba imesema vikao vya mabaraza ya Katiba ya Wilaya sasa...
Habari Wadau na wanafikra wenzangu; Kutokana na siasa za Arusha kama zinavyoitwa siku hizi kuanzia kampeni, mabomu, risasi na mauji hatimaye, wenzetu wa CDM wamepata kile wanachostahili...
Ndugu zangu wanajamvi ninaomba niwashirikishe tafakuri yangu juu ya usaliti wa vijana. Mimi ni kijana ambaye kwa kweli huwa ninapenda kukisimamia kile ninachokiamni kuanzia mwanzo mpaka mwisho...
Kwa hali ya kisiasa ilivyo sasa na viashiria vyake, kati ya CCM na Chadema hakuna mwenye uhakika wa 50%. Katika mazungumzo yangu na watu wa CCM wanasema wazi kuwa watawatumia CUF ili waunde...
Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema (katikati) akiwa na madiwani wapya wa Chadema waliochaguliwa juzi.
Kutoka kushoto mstari wa mbele ni
[*=4]Diwani - Jeremiah Mpinga (Elerai)...
Wakuu; kuna jambo naona tukiliweka sawa tunaweza kwenda vizuri zaidi mbeleni.
Kimsingi; Lengo letu watanzania kwa ujumla wetu (Kama Taifa) bila kujali ni nani yuko chama gani, kitengo au sekta...
Nikiwa namalizia kupata chai yangu asubuhi hii kwenye mgahawa moja unaitwa Udizungwa hapa Iringa Mjini mara akaingia mh. Msingwa na viongozi wengine wa CHADEMA wakiwa pamoja na kamanda wa anga Mh...
Kutokana na kurushiana maneno baina ya msajili wa vyama vya siasa (John Tendwa )na chama cha demokrasia na maendeleo (chadema) kunakoendelea hivi sasa mpaka msajili kutishia kukifuta chama hicho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.