Baadhi ya wanachama wa CCM jijini Arusha wametoa wito kwa viongozi wao wa mkoa na wilaya ya Arusha kujitathmini na kuachia ngazi mara moja kabla ya kutimuliwa kufuatia kushindwa vibaya sana katika uchaguzi uliofanyika jumapili ambapo CCM ilishindwa vibaya sana baada ya kata zote nne kuchukuliwa na CHADEMA kwa kishindo.
SOURCE:ITV(Habari)
SOURCE:ITV(Habari)