by JOHN BUKUKU on JULY 26, 2013
Wananchi wa Muleba wakimshangilia Rais Jakaya Mrisho Kikwete alipowasili wilayani humo akiwa katika ziara yake ya siku sita Mkoani Kagera
Rais Kikwete akivikwa...
Kwanza Kabisa napenda kukupongeza kwa ujasiri uliotuonyesha ukiwa Bukoba. Kitu tunachotaka kukutaarifu ni kwamba tunaomba ulinzi na Usakaji wa majambazi unaoshirikisha vyombo vyote vya ulinzi...
Giza nene limetanda ndani ya CHADEMA kwa vile uongozi wa juu umekumbatia taarifa ya matumizi ya michango iliyotolewa na Mzee Sabodo kwa lengo la kujenga ofisi ya makao makuu na kuimarisha chama...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe jana alihojiwa tena na Jeshi la Polisi, lakini akaendelea na msimamo wake kwa kugoma kuwasilisha ushahidi wake kuhusu...
Kama alivyodai kuwa alifanya utafiti na kujilidhisha kwamba tozo la shilshiling 1000 hata mwananchi wa hali ya chini anaweza kumudu kuilipa kwa kila mwezi, tunaomba aweke hadhalani wapi alifanya...
Naomba ninukuu sehemu ndogo tu ya habari ktk gazeti la Mawio kuhusu ndoto za msajili wa vyama vya siasa ktk uwezekano wa kuifuta CHADEMA" Hilo likitokea ( la kuifuta CHADEMA) kwa kuongozwa na...
Tumesikia kauli ya mheshimwa rais kuwa Nchi yetu iko salama na atakayevuruga amani atakiona. Hapa nakubaliana na mheshimiwa kuwa nchi kwa maana ya ardhi ipo salama lakini si watu wake. Raia wa...
Tar 26/7 rais Kikwete anatembelea wilaya ya Ngara ikiwa ni sehemu ya ziara yake katika mkoa wa Kagera. Kwa mujibu wa taarifa za tume ya taifa ya uchaguzi, Ngara ni jimbo lilioongoza kwa kupiga...
Makubaliano baina ya CHADEMA na NCCR ya kushirikiana kuunda halmashauri ya wilaya ya uvinza yameingia dosari baada ya uongozi wa juu wa NCCR kukataa kushirikiana na CHADEMA yenye viti 8, NCCR viti...
taharuki ni kubwa, ntawajuza, ni bomu la machozi ni mbunge alienda kuwasalimia polisi kwenye gari lao, mara tukasikia kishindo cha bomu mtu mmoja amejuruhiwa
updates;
bomu la machozi limejeruhi...
Rais Kikwete amesema ana uhakika waliohusika ni kuwaua wanajeshi wetu ni raia wa Sudan, wawe ni waasi au kina nani, lazima wakamatwe, wawajibishwe ipasazvyo.
Rais wa Sudan Omar Al Bashir wiki...
Chenge (Mb) amesema kodi ya kadi za simu (SimCardTax) ni sahihi kwa utafiti wao; aulizwe kupitia 0754782577 atoe maelezo zaidi na vielelezo vya ziada
Leo tarehe 25 Julai 2013 chombo kimoja...
Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Joseph Warioba amewakosoa wajumbe wa mabaraza ya Katiba wanaokuja kwenye mikutano na matamko ama nyaraka za vyama, badala ya maoni ya wananchi...
Huwa ninachanganywa sana na kauli za Makada na Viongozi wa Chama Tawala cha CCM kwamba Chama chao kinafuata ITIKADI na SIASA za MRENGO wa KUSHOTO yaani za UJAMAA na KUJITEGEMEA lakini kiuhalisia...
Habari yako Mkurugenzi mkuu wa NIDA Bwana Dickson Maimu,
Mimi ni mfanyakazi wako wa muda wa nida kitengo cha uzalishaji, Mkurugenzi wangu nimeona labda hii ndo njia nzuri ya wewe kuelewa jinsi...
*Sijielewi nipo chama gani--Baba na Mama yangu wapo chama tawala,ndg zangu nao pia wapo chama hiki Tawala.,na haswa bii mkubwa kitu chochote nitakacho mweleza iliaachane na chama chake,iwe kwa...
Wadau, nimeona nilete uzi huu ujadiliwe kwa sababu waswahili husema Mzaha! Mzaha!...........
Hapa nchini kumekuwa na matukio mengi yanayoashiria wazi kutumika kwa jeshi la polisi kisiasa.Matukio...
Madiwani wa CHADEMA wa Halmashauri ya Geita wamefichua nyaraka za ufisadi kwenye mkutano wa Hadhara uliofanyika july 14 2013, zinazoonesha wilaya hiyo kupokea Ths Bilioni 11.1 kwa ajili ya...
Alisema suala la umeme na madaraja litashughulikiwa na viongozi wa mkoa wakishirikiana na wabunge na watakapokwama wafikishe kwake...
Mimi ndiye ninayetoa fedha za maendeleo hivyo hayo...
Wa Tz wenzangu tumeshuhudia na pia kusikia wakubwa wa nchi hii wakiongea na hata kuchangia mada mbalimbali kuhusu mambo fulani fulani na baadae vyombo vya habari vinaripoti kuwa eti 'SERIKALI...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.