Picha: Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa wilayani Muleba

Picha: Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa wilayani Muleba

nngu007

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2010
Posts
15,860
Reaction score
5,803

by JOHN BUKUKU on JULY 26, 2013 ​

Wananchi wa Muleba wakimshangilia Rais Jakaya Mrisho Kikwete alipowasili wilayani humo akiwa katika ziara yake ya siku sita Mkoani Kagera

Rais Kikwete akivikwa skafu na skauti baada ya kuwasili Muleba

Vikundi vya ngoma vikitumbuiza wageni

Rais Kikwete akisalimiana na mama wa Profesa Anna Tibaijuka

Waziri wa Ardhi Profesa Anna Tibaijuka akishiriki katika ngoma ya utamaduni wakati wa mapokezi ya Rais Kikwete wilayani Muleba

Rais Kikwete akiongea na viongozi wa wilaya ya Muleba baada ya kupokea taarifa ya maendeleo, akiwa na mawaziri watano anaoongozana nao katika ziara hiyo

Mbunge wa Muleba akitoa maoni na kero za jimbo lake

Waziri wa Uchukuzi Dkt Harrison Mwakyembe akiwahakikishia viongozi wa Muleba juu ya mipango ya serikali kuleta meli za abiria mpya mbili katika ziwa Victoria

Rais Kikwete akipata maelezo ya mpango kabambe wa maji wilaya ya Muleba

Rais Kikwete akizindua mradi mkubwa wa maji wilayani Muleba

Rais Kikwete akikata utepe kuzindua mradi wa maji

Rais Kikwete akimtwisha ndoo ya maji mmoja wa wananchi wa Muleba baada ya kuzindua mradi mkubwa wa maji kwa wilaya hiyo

Mwananchi mwingine akitwishwa maji

Ngoma ya utamaduni ikimlaki Rais Kikwete alipowasili katika mkutano wa hadhara

Rais Kikwete akisalimia wananchi

Rais Kikwete akiangalia mazao yatokanayo na uzalishaji mbegu ya kampuni ya Itente ya Muleba

Rais Kikwete akipozi na wafanyakazi wa kampuni ya uzalishaji mbegu ya Itente

Rais Kikwete akifurahia ngoma

Umati wa wananchi Muleba ukimsikiliza Rais Kikwete

Rais Kikwete akiongea na wananchi wa Muleba

Rais Kikwete akihutubia wana Muleba

Sehemu ya umati mkutanoni

Rais Kikwete akiendelea kungea na wananchi

Umati katika mkutano wa hadhara

Umati katika mkutano wa hadhara

Rais Kikwete akijiunga na waumini wa Muleba kusali swala ya Magharibi kabla ya kufuturu

Dua ikisomwa baada ya futari aliyoandaa Rais Kikwete kwa wananchi wa Muleba

Dua ikiombwa baada ya futari

Dua

Wananchi wa Muleba katika futari aliyoandaa Rais Kikwete wilayani Muleba

​
 
jana nilihudhuria mkutano wa mh.rais pale wilayani muleba ktk viwanja vya fatuma(calfornia),umati mkubwa ulihudhuria lkn c kwa sababu wana haja na chama cha zamani na serikali yake,bali ni ulimbukeni wa cc villagers(bushmen) tulifurahia msafara wa ma VX.Kwa taarifa mtu pekee aliyekonga nyoyo ni dr.pombe magufuri naye alishangiliwa kwa sbb aliongea kihaya jukwaani.Prof.Magembe aliposema CCM OYEEE...watoto wa sekondari ya kijwire walioandaliwa kama maskauti ndo waliinua vibendera na kupunga wakiitikia OYEEE...mpaka maghembe akashtuka akang'aka "sauti yangu mimi mmoja inazidi vijisauti vyenu nyinyi wote,si na mimi niko kwny saumu?" mara watu wakaanza kuzomea.Kwa hiyo muleba ccm haina issue wananchi wameshaichoka na serikali yake.
 
mbona kama hao raia wanaipenda ccm hawajatia jez na kubeba bendera kama ilivyo mikutano yachadema
 
jana nilihudhuria mkutano wa mh.rais pale wilayani muleba ktk viwanja vya fatuma(calfornia),umati mkubwa ulihudhuria lkn c kwa sababu wana haja na chama cha zamani na serikali yake,bali ni ulimbukeni wa cc villagers(bushmen) tulifurahia msafara wa ma VX.Kwa taarifa mtu pekee aliyekonga nyoyo ni dr.pombe magufuri naye alishangiliwa kwa sbb aliongea kihaya jukwaani.Prof.Magembe aliposema CCM OYEEE...watoto wa sekondari ya kijwire walioandaliwa kama maskauti ndo waliinua vibendera na kupunga wakiitikia OYEEE...mpaka maghembe akashtuka akang'aka "sauti yangu mimi mmoja inazidi vijisauti vyenu nyinyi wote,si na mimi niko kwny saumu?" mara watu wakaanza kuzomea.Kwa hiyo muleba ccm haina issue wananchi wameshaichoka na serikali yake.

Haya yana maana gani katika ujenzi wa tz. Ebu fanya hata kuact kiutu uzima hata kama una akili ya kitoto. Mambo ya itkadi za vyama wakati muda hayana umuhimu.
 
Mh.Dr.J.M.Kikwete katika ziara yake ya siku 6 mkoani Kagera ameambatana na mawaziri Prof.Maghembe,Prof.Tibaijuka,Dr.Magufuri,Dr.Mwakyembe na Hawa Ghasia.Pamoja na kwamba asilimia fulani inawaona mawaziri hawa kama"majembe" bado ziara yenyewe ktk wilaya mbalimbali alizokwishatembelea hazijakonga nyoyo za wananchi.Je,mh.huyu afanyeje hili chama chake cha zamani na serikali yake waungwe mkono na wananchi?Je,kama angeambatana na mawaziri Lukuvi na Wassira ziara yake ingevutia?Nasikitika kuona ziara za mheshimiwa zinazidiwa na zile za M4C zinazohutubiwa na madiwani wa chama cha watanzania.
 
Back
Top Bottom