Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

CCM kinafahamika kama Chama Cha Mapinduzi. Neno CCM lilianza kutumika mwaka 1977 mara baada ya TANU kuungana na ASP. Neno mapinduzi na dhana nzima ya Mapinduzi namna vinavyotumika na CCM...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wiki hii nilibahatika kusoma gazeti Makini la Mawio litolewayo kila alhamisi. Ktk makala yaliyonisisimua ni pamoja na ile iliokua ikimzunguzia msajili wa vyama vya siasa John Tendwa kwa matamshi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ya ‘Papii Kocha’ na tweets za Nyalandu, Januari, Kikwete! Evarist Chahali Uskochi Toleo la 308 24 Jul 2013 WAKATI taifa likiwa katika maombolezo ya vifo vya mashujaa wetu saba waliouawa huko...
15 Reactions
135 Replies
18K Views
Kutokana na nchi za karibu kuatarisha amani za mipaka yetu .na viongozi wanaoanzia na JK (Jakaya Kikwete , Julius Kambarage ) ni viongozi ambao siasa zao ni kali aswa kwa maadui wanaotishia amani...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wana JF Heshima kwenu. kwa mujibu wa katiba ili uchaguliwe lazima uwe Mwanachama wa chama. Hata mpya uwezekano wa mtu kuwa Rais bila kuwa mwanachama ni Vigumu, sijasikia duniani mgombea binafsi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hapo Jully 25 rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri jeshi mkuu Mh. J. Kikwete atakuwa katika kambi ya mashujaa na wanaukombozi ya Kaboya wilayani Muleba mkoani Kagera. Kwa kuzingatia...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Diwani wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wa kata ya Tai Halmashauri ya wilaya ya Rorya, Christopher Masiori amenusurika kuuwawa na wananchi wenye hasira kali baada ya kufumaniwa...
0 Reactions
85 Replies
7K Views
Katika hali ya umasikini tuliyotiwa na CCM kwa miongo na miongo, daladala moja ilizima gafla huku abiria mmoja mwanamke akilalama eti huu ni upuzi mkubwa unapanda daladala uwahi kufika harafu...
4 Reactions
7 Replies
2K Views
Bomu la Arusha liliambatana na matukio mengi sana ya kustajabisha. Tukio la kwanza ni la bunge ya jamhuri ya muungano kuchunia mauaji yale bila kutoa pole na kutoa wasaa kwa wabunge hasa wa sehemu...
14 Reactions
120 Replies
8K Views
Hembu tueleweshane jamani kwa anayeelewa.Hizi kesi walizofungua mamluki ,huku wahusika wa CCM wakiwapa back Up mafichoni na baadaye kushindwa vibaya.Nani atawasaidia kupia fine zitakazowakabili...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Mchana huu M/kiti wa serikali ya mtaa wa Kurasini Mivinjeni ambaye pia ni kada wa CCM MASHAKA MGAYA, anagawa NOTICE YA SIKU SABA kwa wakazi hao kuhama kwenye nyumba zao kabla TINGATINGA...
1 Reactions
37 Replies
4K Views
Katika hali isiyokuwa ya Kawaida, Mamlaka za Serikali mjini Bukoba, baada ya kuona upepo wa kisiasa mjini Bukoba kwamba kuna hatari kubwa Rais Kikwete akakosa wananchi wa kumpokea na kushiriki...
9 Reactions
53 Replies
5K Views
Jana,Rais Jakaya Mrisho Kikwete alikaririwa akisema kuwa kila mkoa utakuwa na kiwanja cha kimataifa cha ndege katika kipindi kifupi kijacho. Ameyasema hayo akiwa ziarani mkoani Kagera.Wangapi tupo...
1 Reactions
74 Replies
5K Views
"Ufisadi na uongo ni kansa ambazo zinaondoa kabisa uwezo wa viongozi kuendesha nchi zao sawasawa. Hapa Tanzania kusema uongo ndio utamaduni wa kisiasa kiasi cha kwamba wanaosema ukweli ndio...
6 Reactions
45 Replies
5K Views
Ulianza vyema sana na hoja ya mabilioni ya Uswisi. Wengi wetu tulikuwa tayari kukuunga mkono na kusaidia kuwaanika waficha mabilioni kule. Ukawasilisha hoja yako Bungeni. Tangu wakati ule umekuwa...
8 Reactions
74 Replies
7K Views
Najiuliza mara zote iwapi misingi ya uzalendo na mapenzi kwa nchi yetu? Nyakati hizi tuandae uzalendo kwa watoto wetu,tuache uchumia tumbo na kutokujali vizazi vyetu; ufahari wa mabilioni na...
0 Reactions
0 Replies
942 Views
Kwakweli nimeliweka mkononi kwa bahati mbaya hata nilichokuwa nakitafuta gazetini humo sikijui. Lakini kwenye kurasa zake za katikati leo hii Gazeti la Uhuru linalomilikiwa na CCM, nimekutana na...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Kwa mshangao mkubwa leo nimeshuhudia katika taarifa ya habari channel 10 eti Wazanzibar wanapendekeza serikali mbili ziendelee. Nadhani walikuwa wanawapima Watanganyika wakidhani sisi tunahusudu...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Back
Top Bottom